🌙 SAIKOLOJIA YA JIONI | R.J. COUNSELLING & ROBERT JAMES PODCAST
“Usimalize siku ukihukumu nafsi yako kwa makosa ya leo.”
Jioni ni muda wa kutulia, kujitafakari na kuupa moyo nafasi ya kupumzika. Huenda leo ulikutana na changamoto, ulifanya kosa, ulikatishwa tamaa au hukufikia malengo...
🌙 SAIKOLOJIA JIONI | R.J. COUNSELLING & ROBERT JAMES PODCAST
Usiku huu, ruhusu akili yako ipumzike.
Wakati mwingine tunamaliza siku tukiwa tumebeba mawazo mengi—wasiwasi kuhusu kesho, majuto ya jana, changamoto za mahusiano, kazi, familia au maamuzi ambayo bado hatujapata majibu yake.
Lakini...
🌿 UJUMBE WA LEO | R.J. COUNSELLING & ROBERT JAMES PODCAST
Usijifanye una nguvu kila wakati — ruhusu moyo wako upumue.
Katika maisha, kuna nyakati tunachoka, tunakata tamaa, tunajisikia kushindwa au tunabeba mambo ambayo hatuyawezi kuyaeleza kwa kila mtu.
Lakini kumbuka: kuwa na siku ngumu...
🌿 UJUMBE WA LEO JIONI
R.J. COUNSELLING & ROBERT JAMES PODCAST
🌱 “Usijilaumu sana kwa sababu ya makosa ya jana.”
Kila mwanadamu hukosea, hupitia changamoto na wakati mwingine hufanya maamuzi ambayo baadaye anatamani angeyafanya tofauti.
Muhimu si kubaki kwenye lawama, bali kujifunza...
Diamond Platnumz kamkaribisha Trey Songz kutoka Marekani pengine lengo lake nikufanya collabo
Ukweli ni kwamba huyu msanii alishashukaga thamani miaka mingi sana iliyopita na amesha ejected kwenye soko la Marekani
Kushirikiana na msanii kama huyu hakuletagi matokeo makubwa kwasababu hana...
Nina hoja kuhusu baadhi ya daladala zinazofanya safari kati ya Mwenge na Bunju, hasa nyakati za jioni. Kuna baadhi ya magari ambayo yamekuwa na utaratibu wa kuwatangazia abiria kuwa yanaishia Tegeta, hivyo abiria wanaosafiri hadi Tegeta hushuka hapo.
Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga...
Nimeikataa kabisa dhana ya kwamba wanawake tunatakiwa kuwa na aibu au kuaibishwa / kudhikakiwa (shame) kwenye kuzungumzia raha zetu (pleasure) au kufurahi kwa namna ambayo tunapendezwa nayo.
Nimeanza likizo, watoto wameenda kwa bibi na babu zao, shule zimefungwa, wasaidizi wa nyumbani tumewapa...
Kwa niaba ya wenzangu, naomba msaada wenu kuhusu changamoto tunazokutana nazo katika shule za msingi Wilaya ya Mbulu DC.
Wakuu wetu wa shule wamekuwa wakitunyanyasa kwa kutulazimisha kufundisha vipindi vya jioni bila ridhaa yetu. Aidha, tunatishiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu na viongozi wa...
Anonymous
Thread
bila
idara
jioni
kufundisha
mbulu
msingi
ridhaa
shule
shule za msingi
vipindi
wakuu
wakuu wa idara
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba jana Mei 11, 2026 alishiriki chakula cha jioni cha kitaifa kilichoandaliwa na Rais wa Kenya Dkt. William Ruto kwa heshima ya Wakuu wa Nchi na Serikali wanaoshiriki Mkutano wa Ushirikiano wa Afrika na Ufaransa
Dkt. Mwigulu yupo nchini Kenya akimuwakilisha Rais...
Wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kuanzia Ubungo hadi Kimara wanakabiliwa na changamoto kubwa kila siku wanapojaribu kuvuka Barabara ya Morogoro, hasa nyakati za asubuhi na jioni.
Msongamano wa magari huwa mkubwa, lakini kinachoongeza hatari ni kwamba madereva wengi hawaheshimu kabisa...
Anonymous
Thread
asubuhi
barabara
changamoto
hatarini
jioni
kimara
kuanzia
madereva
maisha
morogoro
morogoro road
nyakati
pundamilia
tabu
ubungo
wananchi
Kitu kimoja kizuri na cha kipekee kuhusu mwanadamu ni uwezo wa ustahimilivu...! Haijalishi siku imekuwaje au umekutana changamoto ni kubwa kiasi gani, kila unapolala na kuamka, unakuwa na nafasi mpya! ya kuanza upya! na kufanya vizuri zaidi...!!!
Je ulijua kuwa tabasamu pekee. . hata kama...
MANCHESTER CITY DHIDI YA ARSENAL: PAMBANO LINALOAMUA MSIMU ⚔️
Uchambuzi wa Mdau:
Manchester City
Rayan Cherki: Ndiye mchezaji wa kwanza kufikisha pasi 10 za mabao (assists) katika msimu wake wa kwanza wa Ligi Kuu tangu Dimitri Payet afanye hivyo msimu wa 2015-16.
Rekodi ya Nyumbani...
Mechi ya kiporo ya TRA SC dhidi ya Simba SC inatarajiwa kupigwa jioni saa 10:00 katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Stadium, ikiwa ni sehemu ya mashindano ya NBC Premier League, ambapo timu zote zinatarajia kuonesha ushindani mkali kusaka alama 3 muhimu.
Kikosi cha TRA United SC
Kikosi cha...
Sheikh aliyekuwa anawasomea dua Hezbollah Sadek Nabulsi naye aliangamizwa katika shambulio la Israeli kwenye eneo la Al-Zahraa huko Sidon leo asubuhi!!
Nawaomba tu Magaidi wa Hezboullah watafute tu Sheikhe mwingine!!!
============ For English Audience ====================
According to...
Jamani mimi kama mdau wa elimu kuna suala nimeliona na naomba lifike kwa mamlaka husika.
Ipo hivi baadhi ya Shule za Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe Mkoani Kagera zinafundisha watoto kuanzia asubuhi mpaka jioni wakati huo mtoto hajanywa uji wala kula chakula cha mchana.
Katika kufatilia...
Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu maarufu kama Bibi ambaye pia ni komando wa zamani wa Jeshi la Israel IDF ametumia ukurusa wake wa X kupost na kuzima tetesi ambazo zilikua zinasambaa kwa kasi kuwa kauwawa Myahudi amepost kuzima tetesi zote...
Pugu Majohe na Majohe yote ikiwemo kwa Ngozoma, Sondombwa, Halisi, Rada, Viwege, Bombambili na maneno ya jirani kuna changamoto ya kukatika umeme kila siku jioni kuanzia saa moja mpaka saa sita usiku.
Changamoto hii ilianza Mwezi Disemba 2025 na inaendelea hadi sasa, kuna muda unakatika mchana...
📍 – Bunju “B”
Kwa wanaopita barabara ya Bagamoyo jioni, hasa eneo la Bunju ‘B’, hali ya foleni imekuwa ya kawaida kila siku.
Tatizo kubwa ni:
Daladala kuegesha kiholela barabarani badala ya kuingia kituoni
Kusubiri abiria kwa muda mrefu (kupakia taratibu)
Wafanyabiashara wadogo (machinga)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.