kuzikwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. zee_latown

    JamiiForums Tanzania Ukisikia kauli hizi, jua umekwishakufa, bado kuzikwa tu

    Habarini ndugu zangu wa thamani sana, wa jukwaa zuri za Habari na Matukio. Nimekumbuka maisha ya miaka ya nyuma mno leo, kuna journal niliwahi kusoma inayohusu maisha. Kuna kauli ukisikia watu wanasema juu yako, ni lazima ujitafakari upya.. or otherwise you're already dead. Sisemi kwa nini ila...
  2. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia hakuna hata haja ya binadamu kuja duniani...

    Binadamu tunajiona viumbe waliobarikiwa kwa akili na maarifa. Tumegundua teknolojia, tumeandika vitabu, tumejenga miji mikubwa, na tumeunda tamaduni nyingi. Lakini tukichunguza kwa undani, yote haya hayajabadilisha ukweli wa msingi,,,, binadamu hakuja duniani kufaidika kwa namna ya kudumu. Kwa...
  3. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Inakuaje marehemu Ayatollah Ali Khamenei ni muisilamu ila mwili wake unachelewa kuzikwa?

    Tumekuwa tukiambiwa kuwa imani ya kiisilamu hairuhusu kuchelewesha kumzika marehemu. Ayatollah Ali Khamenei alifariki tarehe 28/02/2026. Mara ya kwanza niliwaelewa Iran kwa kuchelewesha mazishi ya kiongozi wao kwa kuwa hali ya kiusalama na kijamii ilikuwa haijatulia. Lakini hapo juzi juzi...
  4. Nyanda Banka

    JamiiForums Tanzania Africa unaweza kuzikwa ukizimia

    Kwanini watu wengi huikimbia Africa wanapopata fursa hata ndogo tu. Anthony Joshua ni bondia maarufu duniani na Tajiri wa mamilioni ya dollar na hivi karibuni ameingiza karibu dollar millioni 100/- Ila alipopata ajali hapo Logos Nigeria hakukua na huduma ya haraka, hakukua na Ambulance 🚑...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Jenista kuzikwa karibu na kaburi la Mume wake

    Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama unatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Senta B yaliyopo kijiji cha Ruanda, Halmashauri ya Mbinga mkoani Ruvuma, karibu na kaburi la mume wake, marehemu Leonard Mhagama. Mwili wa marehemu umewasili katika kijiji cha Ruanda tayari kwa...
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jenista Mhagama kuzikwa Desemba 16, Ruanda - Mbinga

    Ratiba rasmi ya mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama, imetangazwa, ikionyesha utaratibu wa maombolezo na ibada zitakazofanyika kuanzia Desemba 12 hadi Desemba 16, 2025. Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Bunge la Tanzania, maombolezo yameanza leo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Usisahau kujenga Kwenu, Nyumbani ndio sehemu inayofaa kurudi ikiwa maisha ya ugenini yamekuwa magumu, kuuguzwa, kuzeekea na kuzikwa

    Kila mtu ana KWAO !! Hata kama umezaliwa na kukulia mjini, si vibaya kujenga nje ya mji kidogo. Ndio sehemu inayofaa zaidi Kurudi pale maisha ya ugenini yanapokushida Kuuguzwa unapoumwa kumalizia maisha ya uzeeni kuzikwa makao makuu ya familia
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Huyu kijana Charlie Kirk alikuwa shujaa wa nini huko Marekani mpaka anapewa heshima ya kuzikwa kijeshi na serikali ya Trump?

    Hili taifa la Marekani ni kama sasa limechanganyikiwa na linaongozwa na wahuni tu. Huyu kijana anayeitwa Charlie Kirk nilikuwa namjua kwa muda mrefu kama podcaster, mfanya midahalo na mwanahabari(mtandaoni) wa mrengo wa kulia/right winger/MAGA. Serikali nzima ya Marekani ya Trump imempa hadhi ya...
  9. TheChoji

    JamiiForums Tanzania Zijue njia mbalimbali za kuzikwa wafu.

    Kuzika wafu ni moja ya desturi muhimu katika jamii zote duniani, na njia zake hutofautiana kulingana na imani za dini, tamaduni, mila na mazingira. Hapa kuna njia mbalimbali zinazotumika: 1. Kuzikwa ardhini (kaburini) Hii ndiyo njia maarufu zaidi duniani. Mwili wa marehemu huoshwa, huvikwa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Mwili wa Rais wa Zamani wa Zambia, Edgar Lungu kuzikwa Afrika Kusini

    Familia ya aliyekuwa Rais wa Sita wa Zambia, Dkt. Edgar Lungu imetangaza kuwa mazishi yake yatafanyika nchini Afrika ya Kusini kwa ibada ya faragha Taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Familia hiyo Mheshimiwa Makebi Zulu leo Juni 20 imeeleza kuwa nchini ya Afrika ya Kusini imeridhia kuipa familia...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Familia na Serikali zakubaliana Lungu kuzikwa Juni 22 Lusaka, Zambia

    Baada ya tamko la Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia Edgar Lungu ambalo yalikuwa ni maagizo yake ya kwamba mpinzani wake wa kisiasa na Rais wa sasa Hakainde Hichilema hapaswi kufika popote karibu na mwili wake familia imefikia makubaliano na serikali juu ya mazishi ya Kiongozi Huyo na mpango wa...
  12. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Acheni kulishana Upepo. Simba haiwezi kuchukua kombe hili la CAF. Anaenda kuzikwa South Africa

    Ile kushinda jana kuna mabwege wameshaanza kuandika upuuzi. Yaani hii Simba tia maji tia maji ya kufika Fainali? Nyie mnafanya masikhara sana. Labda umri wenu ndo changamoto. Mnaanza kulishana upepo mkidhani mtashiba kutokana na njaa kali ya Makombe mliyo nayo kwa miaka hii 4. Na mwaka huu...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Wanakaribia kuzikwa, kijani anawasubiria tu

    Hii katuni inasadifu wanakoelekea, inasikitisha sana.
  14. Magical power

    JamiiForums Tanzania Barua ya marehemu mama kwa mwanae - siku tatu baada ya kuzikwa

    BARUA YA MAREHEMU MAMA KWA MWANAE - SIKU TATU BAADA YA KUZIKWA!!! Mwanangu Mpendwa, Nataka ujue kwamba nilikufa kama mwanamke masikini wakati nina Mtoto kama wewe. Mwanangu, nilitaka kukubariki kabla sijafa, lakini sasa nimeenda na baraka zangu. Chai ya asubuhi, chakula cha mchana na...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero afariki dunia kwa Ajali, kuzikwa leo Mbagala, Kingugi

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Yanga, Abdulrahman Mnero aliyefariki dunia jana kwa ajali ya barabarani anatarajiwa kuzikwa saa 10:00 jioni ya leo huko Mbagala Kingugi, jijini Dar es Salaam. Munelo alipata ajali jana katika eneo la Mbagala Zakhem baada ya bodaboda aliyokuwa amepanda...
  16. econonist

    JamiiForums Tanzania Miili ya wanajeshi wa Hizbollah yaanza kuzikwa

    Baada ya cease fire kutngazwa, miili ya wapiganaji wa Hisbollah imeanza kufukuliwa na kukabidhiwa kwa wanafamilia kwaajili ya kuzikwa. Miili msingi ya wanajeshi ilifikiwa kwenye makaburi ya halaiki kwani kutokana na mashambulizi ya Israel wasingeweza kukabidhi miili hiyo kwa familia za wahusika...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Dkt. Faustine Ndugulile kuzikwa leo, Kigamboni

    Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika (WHO-Afrika) na Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile kuzikwa leo, Novemba 3, 2024 katika Makaburi ya Mwongozo yaliyopo Kigamboni Taarifa hii imetolewa na watoto wake Martha na Melvin Novemba 2, 2024 katika hafla ya kumuaga...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Albert Chalamila: Nimeandika wosia nikifa nizikwe Kiislamu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miongoni mwa mambo ambayo anayapenda ni kuhusu jinsi waumini wa Dini ya Kiislam wanavyowazika wapendwa wao na kueleza kuwa ameandika wosia kwamba atakapofariki, anataka kuzikwa kama Waislam wanavyozikwa.
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi ile ya mwili wa marehemu kugoma kuzikwa mahala fulani huwa imekakaaje? Huwa kuna energy fulani au ni mazinga ombwe tu?

    https://youtu.be/KyKBrBjCuf4?si=riIJh0YWtQ-9mt8o
Back
Top Bottom