bibi harusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Kanisa la Kilokole Lavunja ndoa baada ya Bibi harusi kukutwa hana Uke!

    Habari wadau, Mchungaji wa kanisa la kilokole akitoa ushuhuda wa kilichotokea kwenye ndoa ya waumini wake. Bwana harusi na yeye anaeleza kwa urefu alichokutana nacho kwenye usiku wa kwanza wa ndoa yake. Ndoa hiyo ilifungwa katika kanisa la Pentecostal Assemblies of God (PAG) na kuvunjwa...
  2. O

    Bibi harusi mtarajiwa, mama yake wafa ajalini wakielekea Kilimanjaro kwenye maandilizi ya harusi yake

    Bibi harusi mtarajiwa, Rehema Chao (37) na mama yake mzazi, Agness Chao (75) wamefariki dunia baada ya gari walilokuwa wakisafiria aina ya Toyota Raum kugonga lori. Ajali hiyo iliyotokea baada ya Rehema aliyekuwa dereva wa gari hilo kukwepa shimo na kugongana na lori, pia imesababisha kifo cha...
  3. J

    Mama wa bibi harusi aona aibu: kwenye harusi wa binti yake. Aona aibu mbele ya wageni

    Habari wiki iliyopita nilikuwa kwenye harusi moja hivi nilialikwa. Sasa nda wa ukumbini na maharusi kuingia. Sasa katika utambulisho binti aliwatambulisha wazazi wake wa kumzaa na BABA mlezi. Iki hivi binti anawazazi wake kwenye kabisa wa kumzaa ila hawakuweza kuishi pamoja Baba alioa kwingine...
  4. Zikwe

    Unahitaji mpishi mzuri wa chakula kwenye shughuli yako. Usiache kupita kwenye huu uzi

    Tunaamini Chakula Ndio Kitu Pekee Kinachoweza Kuifanya Shughuli Yako Iwe Bora Zaidi hasa pale Kinapoandaliwa vizuri Katika hali Ya Usafi Na Chakula Kuwa Na Ladha Nzuri Sana. TUPIGIE SASA 0657 33 2814 Ukiwa Na Shughuli yako Yoyote Ile Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation, Private...
  5. M

    Ni kwanini tarehe ya Harusi ( Ndoa ) huamuliwa kwa Mwanamke ( Bibi Harusi ) kutokuwepo 'Period' Siku hiyo?

    Kazi yangu Kubwa katika huu Uzi ( hii Mada ) ni Kusoma tu Mirejesho ( Comments ) za Wana JamiiForums.
  6. Joao de Matos

    Je, katika Biblia Takatifu kuna kifungu kinachoelezea ulazima wa Bibi Harusi kuvaa shela?

    Za ijumaa wana JF, Suala ya uvaaji shela limenilete changamoto kweli baada ya kutafuta Sana katika mtandaoni. Shela Ni like vazi analojifunika Bibi harusi siku akifunga ndoa. Katika Biblia tunaona mfano mmoja Rebeka alivaa shela alipo kutana na Isaka. Ila sijapata fungu lililosema Ni agizo...
  7. MamaSamia2025

    Kufungisha ndoa takatifu huku Bibi Harusi akiwa mjamzito ni kuhalalisha uzinzi

    Nawasalimu katika jina la chama pendwa CCM. Leo nimekuja kitofauti. Leo ninatoa maoni yangu kuhusu mambo ya mapenzi na ndoa. Kabla sijaelezea nataka kila msomaji ajikumbushe ule msemo usemao "fuata maneno yangu sio matendo". Leo nitaongelea kitendo cha madhehebu yetu hasa ya kikristo...
  8. C

    Napeleka Mahari Upareni - Maombi yenu

    Nimeamua kuoa binti wa kipare kutokea Kijiji Cha Masandare ( Same) hivi Leo tunaelekea huko kulipa mahari Kama sehemu ya mchakato. Maombi yenu, nimekamatika kwa binti huyu Veronica mtoto wa kipare. Japo mnene mauno Kama yote naenjoy kiukweli. UPDATE: Nilituma 2m Tsh kuandaa sherehe ndogo ya...
Back
Top Bottom