wanyama

Victor Mugubi Wanyama (Kenyan English: [wɑˈɲɑːmɑ] (listen); born 25 June 1991) is a Kenyan professional footballer who plays as a defensive midfielder for Major League Soccer club CF Montréal and captains the Kenyan national team.Wanyama became the first ever Kenyan player to score in the UEFA Champions League when he scored the first goal in Celtic's 2–1 win over Barcelona on 7 November 2012. On 11 July 2013, Wanyama moved to Premier League club Southampton for £12.5 million making him the most expensive player sold by a Scottish club, surpassing the £9.5 million Russian club Spartak Moscow paid for Aiden McGeady in 2010.He has earned 60 caps for the Kenyan national team since making his international debut in May 2007 at the age of 15.

View More On Wikipedia.org
  1. 3

    JamiiForums Tanzania Miss Rwanda: "Wanaume wote ni wanyama"

    Aliyekuwa mshindi wa pili wa Miss Rwanda 2015, Miss Uwase Raissa Vanessa, ameingia kwenye mzozo mkali na watumiaji wa mitandao ya kijamii baada ya kuchapisha ujumbe kwenye Instagram akidai kuwa wanaume wote ni 'wanyama'. Katika mfululizo wa jumbe alizochapisha, mrembo huyo alionekana...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Simba 10 wauawa Ngorongoro, yadaiwa ni kisasi baada ya Simba kuwala punda wawili wa wafugaji

    Taarifa za awali kutoka eneo la Ndutu, Kata ya Endulen, Wilaya ya Ngorongoro, zinaeleza kuwa leo Septemba 19, 2026, simba wapatao 10 wameuawa katika tukio linalodaiwa kuhusishwa na kisasi baada ya simba hao kuwala punda wawili wa wafugaji katika eneo hilo. Taarifa zinaonesha kwamba awali simba...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Hivi viumbe wa baharini huwa wanajiwasha kama wanyama?

    Naomba kupata elimu hii kutoka kwenu wajuzi.
  4. TANAPA

    JamiiForums Tanzania Unadhani una mbio sana? Tazama Facts kuhusu wanyama wa porini!

    Unadhani una mbio sana? Kuna wanyama ukikutana nao hifadhini, mwonekano wao unaweza kukudanganya kabisa, wanaonekana wazito, watulivu na wa mwendo wa pole… lakini ukijua uwezo wao wa kukimbia, unaweza kuanza kuheshimu umbali salama zaidi na kukumbuka kwamba si salama kutoka nje ya gari bila...
  5. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania TALMUD: Adamu aliwaingilia kimwili wanyama wote duniani

    Talmud ni kitabu cha mafundisho ya kidini cha Wayahudi. Eti kinasema bwana Adamu aliwapiga nao wanyama wote hapa duniani kabla ya kuletewa bibie Eva. Dunia ina mambo sana. Ila hii inafanya nisishangae ukatili wa Wayahudi, akina Netanyahu. Oyaaaa, Echolima1 Myahudi wa Chanika, hii habari ya...
  6. Vien

    JamiiForums Tanzania Nina Bahati ya Kupendwa na Wanyama?

    Kuna jambo limekuwa likinitokea kwa muda sasa, na kila ninapolifikiria najiuliza kama ni jambo la kawaida au kuna watu wengine pia wamelipitia. Ninaishi kwenye apartment ya kupanga. Jirani yangu anafuga mbwa, na cha kushangaza ni kwamba mbwa huyo ameonekana kunizoea sana. Karibu kila usiku...
  7. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Wanyama sio mchezo kabisa

    Nipo zangu home nikijiburudisha na kipindi changu ya Wanyama hapa. Sasa Kuna kipande cha video nakiona kuna swala alikuwa anakunywa maji kwenye kibwawa kidogo cha maji kumbe ndani Yake kuna Mamba mdogo mdogo. Mamba kamlia timing kamdukua Yule swala amejitahidi saana kuchomoka lakini mwisho wa...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania si binadamu pekee wanaofanya tendo la ndoa kwa starehe baadhi ya wanyama hawa pia wanafanya hivyo

    Toka zamani nilikuwa najua wanyama wote hufanya tendo la ndoa kwa ajili ya kuzaliana tu. Kumbe si kweli. Tafiti zinaonyesha kuna baadhi ya wanyama kama dolphins na sokwe ambao pia hufanya tendo la ndoa kwa sababu za kijamii, kuimarisha mahusiano, kupunguza migogoro, na inaaminika pia kwa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Nuhu aliwezaje kuwatambua wanyama wote na kuwaingiza kwenye Safina?

    Nuhu aliwezaje kuwatambua wanyama wote na kuwaingiza kwenye Safina? Biblia inatuambia kuhusu kazi aliyopewa Nuhu, ya kuviingiza katika Safina, viumbe virukavyo, vya kiume na vya kike kwa jinsi yake, na kila namna ya wanyama wa kiume na wa kike kwa jinsi yake. Kitabu cha Mwanzo 7: 2 “Katika...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna afisa wa wanyama pori anasema tembo wanatumia dawa ya kulevya. Hivi unajielewa kweli?

    Kuna clip inayosambaa mtandaoni na itakuwa inakipindi. Ukimsikiliza kiufupi unaona kabisa watu wanajipendekeza au kufurahisha kwa kumuona fulani sekta fulani imefanya vizuri. We ukitaka kujua nchi hii inawatu wabovu hata mtu akipata ajali anamshikuru raisi. Tuje kwa huyu afisa wa nyama...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kumbe kuna wanyama wanakula madawa ya kulevya😂

    Ni tembo na nyati ni walaji wazuri wa mirungi.. Na wanakula ile fressh kabisa halafu free of charge na hawakamatwi na police Zinaitwa raha za mwituni😋😎😀 https://www.facebook.com/share/v/1CJ11maTpt/
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Kuajiriwa kuna muda unadharirika sana: Jana mimi wa kupangishwa foleni Mnazi Mmoja na HR anipe Elfu 50!

    Sawa nina njaa kali. Ila jana nimejitafakari sana, Kati ya kuendekeza njaa au kulinda dignity. Kwanza tumeenda Mnazi Mmoja saa 1 kamili tupo pale, mgeni rasmi RC wa Jiji akafika saa 3 Asubuhi. Tukaanza kupita na mabango yenye jumbe mbalimbali mbele yake. Saa 8 HR akatuita kwenye gari...
  13. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Damu za wanyama

    Sio viumbe hai wote wana damu moja inayofanana rangi Ingawa mara nyingi tunafikiria damu kuwa nyekundu kabisa, jamii ya wanyama inaonyesha wigo mzuri wa uhandisi wa kibiolojia. Rangi ya damu imedhamiriwa na rangi maalum za kupumua zinazotumiwa kusafirisha oksijeni kupitia mwili. Unaweza...
  14. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Kuna limit ya Ku-clone wanyama

    Baada ya miaka 20 na panya 1,200, idadi ya panya waliokopiwa ( clone ) ilishuka kabisa. Kwa miongo miwili, mwana sayansi wa kibiolojia Teruhiko Wakayama na timu yake katika Chuo cha Yamanashi walipanua mipaka ya sayansi ya vinasaba kwa kukopi ( ku-clone ) vizazi 58 mfululizo vya panya...
  15. Ileje

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz ndiye kidume pekee hapa Tanzania; Gesi yake, media yake, dhahabu yake, Mbuga za wanyama zake!

    Pia soma:Uhuru wa habari umepigwa kitanzi; Rostam Aziz anunua gazeti la Mwananchi
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tumbili na Ngedere - Ni wanyama tofauti!

    Tumbili na Ngedere mara nyingi huchukuliwa kama wanyama sawa, lakini kwa lugha ya kawaida ya Kiswahili, Ngedere (Vervet monkey) anajulikana kwa uso mweusi wenye manyoya meupe kando, huku Tumbili (kwa ujumla) akijumuisha aina mbalimbali za kima wenye rangi tofauti. Wote ni jamii ya kima...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Je, wanyama huwa wanaona aibu?

    Mimi paka wangu huwa anaona aibu hata nikimuangalia
  18. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kwamba kabla ya Wazungu kuja Waafrika wote walikuwa wanaishi porini kama wanyama

    Nigeria pekee ina makabila 400, Tanzania ina 120. Hizi nchi mbili tu zina jumla ya makabila 520+ leo hii Bado Africa nzima, kuna maelfu ya makabila. (Hapa naongelea Africa ya watu weusi- Sub Saharan Africa) Kila kabila lilikuwa na culture yake Hizi narrative kwamba Waafrika walikuwa wanaishi...
  19. FlyingDutchman

    JamiiForums Tanzania Mbinu ya kisaikolojia iliyotumika kuwauwa ndugu zetu watanganyika kikatili kama wanyama

    Mbinu hii inaitwa " Ishara ya Usalama ya Uongo" in English "false peace signal" Nisameh sana ndugu britanicca mnamo tarehe 26 ulitupa taarifa nyeti kuhusu askari 320 wenye order ya shoot to kill siku ya tarehe 29 , nakili tumekuangusha sana tungeokoa vifo vya watu wengi kama tungesambaza...
  20. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Kama Binadamu na mtu mwenye utu unajitofautisha vipi na wanyama wengine!?

    Kama Binadamu ulieumbwa kwa mfano wa Mungu ukapewa akili na utashi, haupaswi kushindwana au kugombana na mtu hata kufikia hatua ya kupigana hadi kuuwana. Kwasababu akili na utashi huo unao kupitia hekima(intelijensi) unauwezo wa kumudu changamoto au sintofahamu yoyote kupitia maelewano ya...
Back
Top Bottom