maji

 1. Suriya

  Maji yamenifika shingoni kwa huyu bidada

  Wakuu naomba niende moja kwa moja kwa mda yangu. Swala linalo nisibu ni kwamba..nampata vipi huyu bi dada nileitokea kumpenda toka siku ya kwanza namuona machoni pangu, Kiukweli she is kind, wanawake wapo wengi lakini yeye ndie nataka. Swala la sifa zake i wish ipo siku karibuni nimepanga...
 2. mkiluvya

  Mradi wa Kufua Umeme Rufiji (MW 2115) uchimbaji kina cha lango la kuingilia maji kwenye mitambo wakamilika

  Ujenzi wa eneo la lango (Water Intake) la kuingilia maji kwenda kwenye mitambo ya kufua umeme katika Mradi wa Julius Nyerere (Mw 2115) unatarajiwa kukamilika Februari 2022. Mhandisi Dismas Mbote, Mhandisi wa ujenzi njia za maji pamoja na Bwawa kwenye Mradi wa Julius Nyerere amesema utekelezaji...
 3. Mfukua Makaburi

  Baada ya ujio wa corona ndio nimemuelewa Jacob Zuma aliposema kuhusu kuosha na maji na sabuni

  Miaka flani aliekua rais wa Afrika kusini bwana Jacob Zuma aliulizwa dawa ya ukimwi. Alitamka maneno machache tu kua baada ya mechi nenda ukaoshe na maji na sabuni (usanitiise) vitu vyako ukae utulie. Baada ya miaka mingi ndio naelewa maana ya maneno aliyoyasema Zuma mwaka 2006. Of course kwa...
 4. superbug

  Je, ni sahihi kwa mwanaume kwenda haja ndogo chooni na kopo la maji kama wanawake?

  Bila kuchoshana. Ni kawaida wadada kwenda maliwatoni na kopo la maji ili kutawadha kwasababu ya maumbile yao. Je, ni sahihi kwa sisi wanaume kufanya hivyo wakati maumbile yetu hayatulazimishi kufanya hivyo? Ushawahi kumuona me akibeba kopo kwenda short call? Pia soma Je, hii ni njia sahihi...
 5. CCM MKAMBARANI

  Mkambarani-Morogoro: Wizi, hujuma na ufisadi usiochukuliwa hatua na viongozi kuhusu mradi wa maji

  Habari zenu wakuu wangu?.(Mh.Lowata Ole Sanale- Mkuu wa mkoa),Mh.Regina Chonjo-Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Katibu Mkuu wizara ya Maji Mh.Kitila Mkumbo na wote mnaohusika bila kuwasahau Wana-JF mtakaounga mkono uzi na andiko hili muhimu. Bila shaka ni wazima wa Afya Kuhusiana na kichwa cha...
 6. mamayoyo1

  Ufaransa yaipatia Serikali mkopo nafuu kujenga mradi wa maji mjini Morogoro

  Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA). Mkataba wa...
 7. L

  Siku hizi Maji na rambaramba vimeadimika wakati wa mchana

  Wakuu siku hizi maji ya kunywa na zile icream (rambaramba)za bhakresa zimeadimika sana wakati wa mchana ,ni kama sizioni kabisa kwenye folen barabarani hapa Dar.kulikoni? au ndiyo mambo ya mfungo? na hawa machinga wanaishije? vipi huko mikoani
 8. Prince Mhando

  Natafuta kazi, maji yamenifika shingoni

  ndugu zangu wanajamiiforums, poleni kwa majukumu mazito yanayotukabiri kila kukicha. maisha yamenipiga Mtanzania mwenzenu, hali yangu kiuchumi inazidi kuwa mbaya kila kukicha nipo kwenye ajira sekta binafsi, lakini naishi nikiwa nimeshaumaliza mshahala kabla sijaupokea. Naona kabisa kwenye hii...
 9. Magonjwa Mtambuka

  Maji yaadimika Nairobi

  Na hii covid-19 hawa nyang'au sijui watanawa wapi wiki hizi mbili zijazo. Wao wamekalia kuilaumu Tanzania tu.
 10. P

  Msaada wa kiufundi: Gari kupoteza maji kila siku

  Gari yangu 1KZ inapoteza nusu lita ya maji kila siku, lakini haichemshi kamwe. Radiator ilishasafishwa hivi majuzi, mfuniko ushabadilshwa mara mbili, lakini bado inapoteza maji. Kwenye reserve tank yako hayaongezeki hayapungui, na hakuna dalili zozote za engine oil kwenye radiator wala reserve...
 11. FRANCIS DA DON

  Fahamu nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mithili ya kujaza maji kwenye ndoo iliyotoboka

  YOYO ni kidude cha kuchezea ambacho kinakuwa na kamba kama ya spring ambacho kinashikwa mkononi na kuchezewa ambapo kinashuka chini na kupanda juu chenyewe. Nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ ni kwamba, ni either uweke lockdown hadi wagonjwa wafike 0 kabisa (practically impossible) au usiweke...
 12. FRANCIS DA DON

  Fahamu kwa undani nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ , mchezo wa kujaza maji ndoo ilitoboka

  YOYO ni kidude cha kuchezea ambacho kinakuwa na kamba kama ya spring ambacho kinashikwa mkononi na kuchezewa ambapo kinashuka chini na kupanda juu chenyewe. Nadharia ya ‘Lockdown YOYO effect’ ni kwamba, ni either uweke lockdown hadi wagonjwa wafike 0 kabisa (practically impossible) au usiweke...
 13. Great God

  Naibu Waziri Awesso : " Wasoma mita za maji mnaongeza bili"

  Serikali imewaagiza Wakurugenzi wa Mamlaka zote za Maji nchini wahakikishe watumiaji wa maji wanashirikishwa kikamilifu katika usomaji mita ili kutambua gharama halisi wanazopaswa kulipa na kuepuka kubabikiziwa bili kubwa kuliko matumizi Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa maji Jumaa Aweso...
 14. J

  Serikali yazitaka mamlaka za maji kuwarejeshea huduma waliokatiwa ili waweze kukabiliana na Corona

  Naibu waziri wa maji Mh. Awesu amezitaka mamlaka za maji kuwarejeshea Huduma wale waliokatiwa na kisha kuwawekea utaratibu wa kulipa polepole. Mh Awesu amesema wakati huu wa janga hili la Corona kila mtu anapaswa kuwa na maji ya uhakika ili kuweza kukabiliana nalo. Source: Clouds tv! =====...
 15. FRANCIS DA DON

  Dar es Salaam kila baada ya mita tatu kuna ndoo ya maji na kitakasa mikono, hivi mbona Marekani utaratibu huu umewashinda, au ndoo kwao ni ghali sana?

  Hapa Dar es Salaam kila baada ya mita 2 au 3 kuna ndoo ya maji safi yenye koki ya kunawia pamoja na sabuni ya kubonyeza kwa ajili ya kutakasa mikono, na unaweza kuitumia huduma hiyo ya kunawa popote na muda wowote bila hata kumuuliza mwenye eneo husika. Kwakuwa njia kuu hasa na ya uhakika ya...
 16. Victoire

  Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, aagiza kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii na Meneja udhibiti na ubora

  Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi. Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona Dr...
 17. Analogia Malenga

  Mjue Jesus Christ Lizard, mjusi aneyeweza kutembea juu ya maji

  Ni mijusi wanaopatikana kwa wingi Marekani ya Kati na Kusini, ni mijusi aina ya Basiliscus basiliscus, wanatoka katika familia ya Corytophanidae Mjusi huyu anaweza kutembea/kukimbia juu ya maji hadi mita 20 kwa kutumia miguu yake ya nyuma huku mwili wake ukibaki jua anapokuwa anawakimbia adui...
 18. pdpr4662

  Jipatie kisima cha maji lita laki tisa

  JIPATIE KISIMA CHA MAJI KWA LAKI TISA #0754397178 (Nchini kote) Water for All for Africa, Gharama za mradi ni laki tisa kuchimba, Kama kitakuwa ndani ya Mita 20, Na Kila mita moja itakayoongezeka utalipia 50,000/= Ukihitaji kufungiwa Water pump ya Umeme ni laki 7, ya mkono laki 5, zote...
 19. P

  Jinsi ya kupika tambi

  Wadau wa jukwaa hili naombeni utaalamu wenu kuntu, hatua kwa hatua ya namna bora ya kupika tambi zikawa hazikatiki katiki wala kushikamana kama wali. Zikawa nzuri na wakati wa kula unaweza kuifyonza tambi moja mwanzo mwisho kama tuonavyo kwenye matangazo. Natanguliza shukrani. ==========...
Top Bottom