chumvi

Maji ya Chumvi is a settlement in Kenya's Coast Province.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania KERO Hivi mnakaa siku kadhaa maji hayatoki yakija kutoka ni maji yenye chumvi ndani yake na imeshakuwa mazoea sasa

    M ninaenda Moja Kwa Moja kwenye mada ni hali ya kawaida sana Kwa sisi watanzania hususani wa hapa Dar miaka na miaka toka enzi za Nuwa Hadi sasa dawasco kuwaamini wao katika kutupatia maji safi na salama Kwa matumizi mbalimbali kubwa likiwa ni ugidaji wa maji hayo tena bila ya kuyachemsha hiyo...
  2. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Je kuna kitu kingine kisicho hai tunachokula zaidi ya chumvi?

    Ni vipi hivyo?
  3. Mjusi Sharobalo

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli hapa ni mambo yamebadilika au chumvi tu

    Kwenu wakuu tuwekane sawa
  4. R

    JamiiForums Tanzania Unapoosha vitunguu kwa maji au Chumvi kwa ajili ya Kachumbari unaondoa Virutubisho

    Habari wakuu, Kuna jambo limekuwa likinipa mtatizo sana, wakati nakuwa nilikuwa nikipenda sana kusaidia jikoni kwenye mapishi hasa siku ya ubwabwa Maharage, huku nikimuangalia Bi mkubwa akiandaa kachumbari ya kunogeshea ubwaubwa. Inshort hadi sasa napenda sana kachumbari Niliona Bi Mkubwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kati ya samaki wa maji chumvi/bahari na maji baridi unapenda yupi?

    Kila mtu na anavyoonja ladha kinywani mwake, kuna sisi wengine samaki ni samaki tu bora atengenezwe vizuri hatuchagui maji bahari wala chumvi. Ila kuna watu wanasema mara samaki wa maji chumvi sio mtamu kama wa maji bahari na wengine wanasema samaki wa maji baridi ni matamu kuliko wa maji...
  6. Nyani wa Somanga

    JamiiForums Tanzania Kwanini Chumvi haipandi bei kama bidha nyingine!?

    Ndio, pamoja na umuhimu wa bidhaa hii katika asilimia zaidi ya 80 kwenye mapishi lakini bado emeendelea kutopewa heshima yake kama kiungo muhimu, Sizani kama napaswa kuelezea saaana wasifu wa Chumvi hapa, mana sizani kama kuna mtu anaweza pitisha siku 3 bila kutumia hiki kiungo. Hivi ni kwa...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Dr. Kabobe: Kuifuta CHADEMA itakuwa sawa na kutia chumvi kwenye kidonda

    Katika hali inayoibua hofu kuhusu mustakabali wa siasa za ushindani nchini Tanzania, Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiandikia chama cha CHADEMA barua ya kukitaka kujieleza kwa nini kisichukuliwe hatua za kisheria, ikiwemo kusimamishwa usajili au kutozwa faini kwa madai ya kukiuka Sheria...
  8. Scars

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Lutu: Hivi ni nani aliyegeuka nyuma kuthibitisha Mke wa Lutu amegeuka jiwe la chumvi?

    Hoja yangu; walijuaje kama Mke wa Lutu amegeuka jiwe la chumvi? Kwa sababu wote walikuwa wanatembea na wakiwa ndani ya sharti moja la kutogeuka nyuma. Sasa katika hao ni nani aliyethibitisha kuwa mke wa Lutu kageuka jiwe la chumvi. Swali lingine la nyongeza. Kwanini waganga wanapigwa vita...
  9. Marcy

    JamiiForums Tanzania Kwanini chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu na si sukari?

    Ni karne nyingi tumekuwa tukiaminishwa kwamba chumvi ni hatari katika mwili wa binadamu lakini sijawahi kusikia habari za sukar kupigiwa chapuo kuwa ina athari. Kama chumvi ina athari katika mwili wa binadamu kwann mgonjwa huwekewa dripu ya maji yenye chumvi ? na si sukari? 🤣🤣 tunafichwa nin...
  10. FORBIDDEN HISTORY

    JamiiForums Tanzania Niliwahi tumia chumvi kuzungushia katika kila angle ya kitanda, usiku nilihangaika sana kulala, ndoto mbaya na taflani kubwa ambayo sijawahi ona

    Sina cha kufaidika kuwadanganya katika hili ila ndio hali ilionipata usiku huo. Wala sikulala na taharuki na wlaa sikulala katika mawazo ya kitanda changu kuwa chumvi ila nilipitia hali ngumu aisee Ningependa kupata elimu nzuri kuhusu chumvi hii ya mawe, ili tusaidiane namna nzuri ya kuitumia
  11. R

    JamiiForums Tanzania KERO Kibamba - Dar es Salaam wengi bado tunalazimika kununua maji ya chumvi

    Kibamba wengi bado tunalazimika kununua maji ya chumvi Licha ya Serikali kukiri kuwa Tanzania si masikini wa vyanzo vya maji, bado kero ya maji imeendelea kukithiri hasa kwa miji mikubwa kama Dar es Salaam. Kero hiyo imedhihirika tena mwisho mwa mwaka 2025, kwa jiji la Dar es Salaam kukumbwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa maji chumvi walia na uchimbaji haramu wa mchanga unaotishia kuangusha nyumba zao

    Wakazi wa Majichumvi Mtaa wa Tembomgwaza-Kimanga, wilayani Ilala jijini Dar wamefunua vinywa vyao kulalamikia uchimbaji haramu wa mchanga pembeni ya Mto Luhanga unaofanywa na vijana, hivyo kusababisha mmomonyoko unaohatarisha kuanguka kwa nyumba zao. Kwa mujibu wa baadhi ya wakazi wa eneo hilo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba, Tahadhari: Huwezi Kugeuzwa kuwa Jiwe la Chumvi

    Umesimama vyema kabisa katika kupigania maslahi ya taifa hili kila mara, lakini umepuuzwa na kudharauliwa na hao hao wanaotaka sasa uwe dodoki la kufuta uchafu. Umekuwa ni sauti pekee iliyosalia ikisikika kushauri na kuonya juu ya mwelekeo mbaya linakoelekezwa taifa hili bila ya kukata tamaa...
  14. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kukaanga Karanga na Chumvi

    Hello Kwanza zioshe vizuri sana karanga zako kisha weka chumvi ya kutosha, then una ziaacha kwa muda fulani ndio una weka jikoni kwa moto mdogo kama hivi Endelea kukologa pole pole mpka zibadirike kama hivi Uku una zio onja ili zisije ungua zikiwa teyari ziache zipoe Baada ya hapo mm...
  15. Wickama

    JamiiForums Tanzania Mto Mara na Chumvi

    Hizi ni kingo za Mto Mara (Rorya). Ukiupita Mto Mara hutajua kuwa unaweza kuua bustani ya mtu. Huu weupe ni Chumvi. Chumvi hii inabebwa na mto toka unakoanzia hadi ziwa Victoria. Kutumia maji haya kwa kilimo kama bustani inabidi kuchukua tahadhari ya kupambana na maji haya vinginevyo...
  16. Gudasta

    JamiiForums Tanzania Samaki gani wa baharini (maji chumvi ) ni mzuri kwa supu......

    Wataalam wa samaki wa baharini, naomba kujua ni samaki gani wa baharini ni mzuri kwa kupika supu.. Aksante.
  17. kajekudya

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tieni chumvi kwenye mchuzi wa Kiroboto kabla haujapoa

    Ni hayo tu, ndugu Kiloboto kashaweka ngozi Kwenye box, lishambulieni kwa nguvu zote.
  18. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri: Suluhisho la Maji ya Chumvi kwa Kutumia Teknolojia ya Reverse Osmosis.

    Habari wanajukwaa, Nipo kwenye eneo ambalo maji ni changamoto kubwa sana, tatizo kubwa ni kwamba maji yanayopatikana hapa ni ya chumvi (hayafai kunywa moja kwa moja, pengine hata kuoga wala kufulia). Kutokana na hali hiyo, nimekuwa na wazo la kuanzisha huduma ya kusafisha maji kwa kutumia...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde: Serikali Inakuja na Mkakati wa Kuwawezesha Wazalishaji Chumvi Nchini

    Katika kuwajengea uwezo wazalishaji wa chimvi nchini,Serikali imekuja na mikakati mbalimbali kufikia azma hiyo ikiwemo upunguzaji wa ada ya pango kwa mwaka ya leseni (Annual Rent) za uchimbaji mdogo wa chumvi nchini ili kusaidia kupunguza gharama za uzalishaji na kuchochea uzalishaji wa wingi wa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Nimependwa na Mzungu; tunaweza kudumu bila kumlamba chumvi? Nisaidieni wazoefu

    Na msimamo huu wa kutoweza kwenda chumvini nitaishi nae vp huyu mtoto wa Kinorway?!!! Nasikia huko kunyonyananyonyana ndo mtindo wao wa mahaba. Isitoshe, huu utumiaji wao wa toilet paper tu wakienda chooni ndo unazidi kuniweka mbali na ufyonzaji huo wa chumvi. Nifanyeje?!!!
Back
Top Bottom