maji

 1. 1987SANAWA

  Namna Duwasa-Dodoma Ilivyopoteza Mwelekeo Baada Ya Serikali Kuhamia Dodoma

  Habari za mchana! Miaka ya 2016 kurudi nyuma Mamlaka ya maji safi Dodoma(DUWASA) ilikuwa inafanya vizuri sana Kwa kuwa matumizi ya maji hayakuwa makubwa sana na hii ilipelekea wawazuie baadhi ya wasambazaji Wa Huduma za maji kama water project iliyokuwa inasambaza maji maeneo ya Miyuji proper...
 2. J

  Charles Kitwanga apinga bajeti ya Wizara ya Maji akituhumu ufisadi mkubwa kuliko wa Lugumi. Pia ametishia kupinga Bajeti Kuu

  Msikilize hoja yake hapo chini. Wabunge wote wanastahili pongezi kwa kutomkatiza Mh.Kitwanga kwa "taarifa" wakati akichangia. Sina uhakika kama mbunge wa upinzani angeweza kutoa maoni kama ya Mh.Kitwanga bila kusumbuliwa na kubezwa na wabunge wa CCM.
 3. B

  Taharuki!kiwanda cha A-Z chadaiwa kutiririsha maji yenye sumu ,watu na mifugo wako hatarini

  Taharuki!kiwanda cha A -Z chadaiwa kutiririsha maji machafu yanayosababisha athari kwa watu na mifugo. Katika hali isiyo ya kawaida baadhi ya wananchi wa kata ya Ormoti jijini Arusha wamekilalamikia kiwanda cha A -Z kwa kutiririsha maji machafu yanayoleta athari kwa wananchi na mifugo...
 4. blue bahari

  Kwanini kuna baadhi ya watu hupenda kumwaga maji yaliyotumika njiani/barabarani?

  Wakuu kwema! Katika tembea yangu mikoa/maeneo mengi ya Tz, nimeshuhudia bahadhi ya maeneo kuna watu hupenda kumwaga maji yaliyotumika njiani au barabarani ktk eneo aidha analofanyia shughuli za kibiashara au nyumbani kwake. Katika uchunguzi wangu nimebaini kwamba wamama/wakina dada ndiyo...
 5. Sky Eclat

  Tunayo maji ya bomba Tanzania? Maelekezo yote ya corona ni kwa ndoo na madumu

  Wananchi wa kawaida wana huduma ya maji safi na salama yanayotoka kwenye mabomba? Misaada miningi ya kupamabana na corona ni madumu ya kunawia mikono. Kama tungekuwa na uhakika wa maji misaada ingekuwa sabuni za kunawia mikono.
 6. J

  Unafanyaje kuimarisha kinga ya mwili kipindi hiki cha mlipuko wa COVID-19?

  Ugonjwa wa Corona Virus (COVID-19) huathiri zaidi wale ambao kinga yao ya mwili iko chini kama wazee, wajawazito na wale wenye hali nyingine za kiafya kama magonjwa ya pumu na mengine ya mfumo wa upumuaji. Tumekuwa tukipeana mbinu za kujikinga na ugonjwa kama kunawa, kutoshika uso, kukaa ndani...
 7. Sky Eclat

  Wizara ya Maji ingekuwa imetataua kero za wananchi mapambano ya corona yangekuja kwa mtindo mwingine

  Corona imetusaidia kupigia mstari tatizo la uhaba wa maji yanayotiririka katika jamii yetu. Hii ni kero tunayoiimba kila mwaka wa uchaguzi na waheshimiwa sana wakishaapishwa huwa na vipaumbele mbadala. Ni wazi Waziri Ummy pia amefahamu kuwa si mikono wala vijijini watu wanahitaji madumi ya...
 8. J

  Sheikh Alhad Salum: Misikiti isiyoweka vitakasa mikono, maji tiririka na sabuni kufungwa, atangaza kufunga ofisi ya Sheikh wa mkoa kwa siku 30

  Shehe mkuu wa mkoa wa Dsm Alhad Mussa Salum amewataka mashehe wote mkoani Dsm kuzingatia maelekezo ya wizara ya afya ya kuweka vitakasa mikono na maji tiririka na sabuni na watakaopuuza misikiti yao itafungwa. Pia ukaaji wakati wa ibada uwe ni wa kuachiana nafasi kiasi cha kutopumuliana. Aidha...
 9. G

  Idara ya Maji Mwanza-MWAUWASA: Kukatwa kwa maji siku ya pili leo na hili tatizo la Corona!! Huu ni ukatili dhidi ya binadamu viongozi mko wapi?

  Jamani enyi Viongozi wa Mamlaka ya Maji Mwanza, Ina maana hamlioni hili? Au majumbani mwenu kuna uhakika wa maji muda wote? Siku ya pili sasa Mitaa ya Nyakato, National Buzuruga kote hakuna maji na haya ni maeneo ya stand kunakohitajika maji ya uhakika kwa watu kunawa mikono angalau kujikinga...
 10. Scars

  Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

  Poleni na majukumu ya hapa na pale sasa na kale yanayowafanya msilale, niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kama kweli maombi yanafanya kazi kwa namna ambayo tunaaminishwa, kwanini viongozi wa dini wameungana kutekeleza agizo la kuvunja mirundamano ikiwemo mijumuiko ya kiibada ili kuikwepa...
 11. J

  Sheikh wa mkoa wa Dar, Alhad Salum awachachamalia ITV kwa kutoweka vitakasa mikono na maji mlangoni

  Shehe wa mkoa wa Dar es Salaam alhad Mussa Salum jana aliwahoji watangazaji wa kipindi cha Malumbano ya Hoja kwanini hawaweki vitakasa mikono na maji tiririka mlangoni? Sheikh alilalamika kuwa yeye alipita bila kunawa popote hadi kufika hapo meza kuu alipokaa. Mtangazaji Kivuyo alisema...
 12. simplemind

  Kenya kufuta malipo ya umeme na maji kuwapa unafuu wananchi

  Pamoja na viongozi kupunguza mishahara kwa hadi asilimia 80, kupunguza malipo ya kodi na kuanzisha foundation za kusaidia ambao watathirika zaidi kiuchumi Uongozi unapendekeza kufuta malipo ya umeme na maji kwa miezi sita.
 13. N'yadikwa

  ULINGANISHO WA UBORA: Tanki la Maji la Plastiki vs, Tanki la bati au chuma. Lipi imara?

  Tanki la kuhifadhia Maji la Plastiki dhidi ya tanki la chuma Unapotafuta tanki la kuhifadhia maji ya mvua au hata ya bomba kwa ajili ya matumizi ya baadae huko sokoni utapata matanki ya kila sampuli ambayo yametengenezwa kutokana na malighafi tofauti. Sasa kwa leo tuangalie haya mawili. Kama...
 14. J

  Je, ni kweli kunywa maji kwa wingi kunazuia kupata maambukizi ya COVID19?

  Japokuwa ni muhimu kunywa maji kwa wingi wakati unaugua ugonjwa wowote unaosababishwa na Virusi, maji hayo hayazuii wewe kupata virusi hivyo. Madai kuwa maji hayo yatazuia virusi kutoka kwenye koo kwenda kwenye mapafu, si kweli #Coronavirus huambukizwa kwa kupitia maji maji yaliyopo kwenye...
 15. Showio

  Kozi za Chuo cha Maji zina soko?

  Naomba kujua kozi za chuo cha maji zipoje sokoni,vipi uhitajika wake kwenye jamii upoje. Asante
 16. Mwanamayu

  Elimu nzuri sana ya namna ya kunawa mikono, ila je watanzania wangapi wanamudu au kufikiwa na mfumo huo wa maji na sabuni haina hiyo?

  Maelekezo ni mengi na mazuri kabisa, na yamekuwepo hata kabla ya Corona mpya kusumbua watu. Namna inayoonyeshwa kwenye video ni nzuri sana, ila je ni watanzania wangapi wanaweza kumudu mfumo huo wa maji? Au ni wangapi wamefikiwa na mfumo huo wa maji? Je, watanzania wangapi wanamudu aina ya...
 17. Analogia Malenga

  Maadhimisho ya siku ya maji duniani, UN wasisitiza kunawa

  Siku hii, Machi 22 kila mwaka Umoja wa mataifa huangalia umuhimu wa maji safi, na kuwafahamisha watu zaidi ya bilioni 2.2 ambao hawana uwezekano wa kupata maji safi Kwa mwaka 2020 Umoja wa mataifa wanasema ‘Maji na sabauni dhidi ya #CoronaVirus” Usafi wa mikono ni muhimu kupunguza kuenea kwa...
 18. B

  Barabara Jangwani yajaa maji, yafungwa

  March 19, 2020 Dar es Salaam, Tanzania. Barabara Jangwani jijini Dar es Salaam Tanzania yajaa maji, yafungwa. Ingawa mvua haijanyesha leo lakini eneo hilo lililo katika ya vitongoji maarufu vya Magomeni na Kariakoo jijini Dar es Salaam hali imekuwa tete ktk bonde hilo la Jangwani. Source ...
 19. isajorsergio

  Mie maji mwenzangu chura, unanitosha sina papara

  Tukipata tutakula na tukikosa tulala, zimewashuka sura waliojichosha na makafara. Mie maji mwenzangu chura unanitosha sina papara, tuwanyooshe kama ruler wakijitosa kutuvagaraa. iii Ayaaya kuolewa utarudi nyumbani kutembea...🎺🎺🎺 yani mimi upepo yeye bendera haki ya Mungu aisee
 20. rodian

  Mwanafunzi mmoja amefariki baada ya kuzama maji.

  Mtu mmoja ambaye inasadikika kuwa Ni mwanafunzi wa QT jinsia ya kuume katika shule ambayo haikujulikana Mara moja,amezama maji katika ufukwe wa Ununio.Tukio Hilo limetokea majira ya SAA 10 jioni,inasemekana alikuwa akiongelea na wenzake wanne wasichana watatu na mmoja wa kuume ambao...
Top Bottom