huduma ya maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Huduma ya maji nchini, hakuna atakayeachwa

    Serikali imejipanga kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma ya majisafi, salama na yenye kutosheleza. Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso (Mb) amesema hayo katika kikao na Menejimenti ya Sekta ya Maji jijini Dodoma, Oktoba 9, 2026. Ameainisha kuwa mpango wa kufikisha maji katika vijiji ambavyo...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaelezea sababu ya kuyumba kwa huduma ya maji Goba River view

    Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inapenda kutoa ufafanuzi wa changamoto ya huduma ya Maji katika mtaa wa River view katika eneo Goba iliyorepotiwa hivi karibuni. Hoja ya Mdau ~ Mgao wa maji Goba - Mtaa wa River View (Dar) haufuati ratiba, tunauziwa maji Tenki Sh...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kafulila na PPP yake walete viwanda binafasi vya kuuza maji kutoa huduma ya maji majumbani kwa PPP.

    Tanzania ni nchi ya ajabu sana, unakuta sehemu nyingi zenye viwanda vya maji vinavyouza maji ya chupa nchi nzima raia wanaozunguka hivyo viwanda hawana maji safi laini ya bomba hata ya kunywa na kupikia tu. Sasa kwa sababu viwanda vya maji vya akina Azam, Kilimanjaro, GSM, Hill Water na vingine...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanakijiji wa Machemba - Tunduru wamwambia Ado Shaibu kuwa hawana huduma ya maji safi

    Wananchi wa Kijiji cha Machemba, Wilaya ya Tunduru wameiomba Serikali kuwapatia vyanzo salama vya maji baada ya kueleza kuwa wanategemea kisima ambacho, kwa mujibu wao, hakikidhi viwango vya usalama kwa matumizi ya kila siku. Ombi hilo limetolewa Seotemba 23, 2026 baada ya Mbunge wa Tunduru...
  5. BigTall

    JamiiForums Tanzania Kibaha Maili Moja - Muheza tumeanza kupata huduma ya maji japo mara chache baada ya kupita miezi kadhaa

    Kwa miezi kadhaa nadhani ni tangu mwishoni mwa Mwaka 2025, Wananchi wengi wa Kibaha Maili Moja, Mtaa wa Muheza tulipiga kelele kuhusu ukosefu wa huduma ya maji. Tatizo hilo lilitufanya tupate changamoto kubwa katika shughuli zetu za kila siku, lakini tunashukuru kwa sababu kilio chetu hatimaye...
  6. S

    JamiiForums Tanzania KERO Upatikanaji wa maji Kigongoni, Mto wambu na Losirwa kimekuwa changamoto kubwa inayowaumiza wananchi

    Kwa sasa suala la upatikanaji wa maji Kigongoni, Mto wambu na Losirwa kimekuwa changamoto kubwa inayowaumiza wananchi Kwa kukosa maji Kwa muda mrefu. Maji yanatoka Kwa zamu ambazo zimepangwa lakini watumishi wanaohusika na upatikanaji wa maji Kwa ratiba wakizopanga wanatengeneza mazingira ya...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wakazi wa Nyamhongolo, tunapitia shida kubwa ya maji, ni wiki ya 3 maji hayatoki na MWAUWASA hatuambiwi tatizo ni nini?

    Wakazi wa Nyamhongolo (Nyangugano) sasa tunapitia shida kubwa ya maji kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA. Tangu 27/7/2026 mpaka leo 13/8/2026 hatupati maji, na kibaya zaidi hatuambiwi tatizo ni nini. Wamekaa kimya tu, tumejaribu kuwapigia...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Nyamhongolo, sasa tunapitia shida kubwa ya maji. Hii ni wiki ya tatu hatupati huduma ya maji kutoka MWAUWASA

    Wakazi wa Nyamhongolo(Nyangugano), sasa tunapitia shida kubwa ya maji Kwa mara nyingine, hii sasa ni wiki ya tatu hatupat huduma ya maji kutoka MWAUWASA, tangu 27/7/2026 mpaka Leo hii 13/8/2026 hatupati maji. Kibaya zaid hatuambiwi tatizo ni nini, wamekaa kimya tu tumejaribu kuwapigia wanasema...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma ya maji huku Nyamongo inapatikana wakija viongozi tu, wakiondoka tunarudi kwenye ukavu

    Nyamongo iko Tarime DC ni miongoni mwa maeneo ambayo Waziri Mkuu alitembelea lakini hatujaona mwenendo wa tatizo la maji maana wakija kusoma matumizi ya maji kwenye Mita wanaleta bili unawauliza vipi tutapata maji wanakujibu hama line? Hakuna maji, yani hakuna maji ya uhakika toka mwaka 2025.
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kijiji cha Manga, Mkoa wa Singida tuna miezi miwili bila kupata huduma ya maji

    Wakazi wa Kijiji cha Manga, Mkoa wa Singida, tunaomba msaada wenu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji, tumefikisha takribani miezi miwili bila kupata huduma ya maji. Hata kabla ya kipindi hiki, maji yalikuwa yakitoka kwa kusuasua, mara moja tu kwa wiki au wakati mwingine...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Tumeingia mtaani kuboresha huduma ya maji Mtaa wa King'ongo - Kimara

    Baada ya Mdau kuandika hoja hii ~ Wakazi wa Kimara King'ongo tumekuwa tukiteseka kwa kukosa huduma ya maji ufafanuzi umetolewa na mamlaka husika. UFAFANUZI WA DAWASA... Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam kupitia Ofisi za DAWASA Ubungo imechukua jitihada za makusudi za...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ombi la kuomba msaada wa huduma ya maji mtaani terrynite street, Segerea Magereza

    OMBI LA KUOMBA MSAADA WA HUDUMA YA MAJI MTAANI TERRYNITE STREET, SEGEREA MAGEREZA. Sisi wakazi wa Mtaa wa Terrynite Street, Segerea Magereza, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu upatikanaji wa maji. Tatizo: Kwa muda mrefu tumekuwa tukipata maji mara moja tu kwa wiki, siku ya Alhamisi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mamlaka ya maji Wilaya ya Musoma imeshindwa kazi, kwani wiki mbili sasa hatuna maji na hakuna taarifa rasmi

    Mamlaka ya Huduma ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Wilaya ya Musoma, Mkoa wa Mara, imeshindwa kutoa huduma ya maji kwa wananchi wake kwa kipindi cha zaidi ya wiki mbili sasa. Wananchi wa kata za Buhare, Rwamlimi na Nyakato wameathirika kwa kiasi kikubwa kutokana na ukosefu wa huduma hiyo...
  14. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaanza kufunga pampu zitakazoimarisha huduma ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), imeanza rasmi zoezi la kufunga Pampu 3 kati ya Pampu 7 zilizowasili mapema Mwezi Mei Mwaka huu zinazotarajia kuimarisha na kupunguza changamoto za kihuduma katika Mikoa ya Dar es salaam na Pwani. Pampu hizo zitakazofungwa katika...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania RC wa Pwani, Kunenge aitaka DAWASA kuongeza kasi ya maboresho ya huduma ya maji ili kukidhi mahitaji

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Aboubakar Kunenge ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuongeza kasi ya maboresho ya huduma ya maji ili kukidhi mahitaji yanayoendelea kuongezeka kutokana na kasi ya uwekezaji na ukuaji wa viwanda mkoani humo. ‎Kauli hiyo imetolewa...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Kundo: Sekta binafsi itumike kuimarisha huduma ya maji

    Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Mathew Kundo amesisitiza juu ya umuhimu wa Wizara ya Maji kushirikiana na Sekta binafsi nchini kwa lengo la kuongeza ufanisi katika kufanikisha malengo ya Serikali ya utoaji wa huduma ya majisafi kwa wananchi wote kwa asilimia 100 ifikapo mwaka 2030. Hayo ameyasema...
  17. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Maji - Mtaa wa Kanisa la Hija, Pugu

    Mamlaka husika ishughulikie maana bili ya maji inakuja tunalipa lakini huduma ya maji ni ya kuvizia. Maji yanatoka dakika kumi mpaka tano yanakata. Na mamlaka husika zinalijua hili, tunaomba DAWASA walifanyie kazi tumechoka.
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa Maji kwa Wiki 3 – Maeneo ya Chuo cha SAUT - Mwanza

    Kwa zaidi ya wiki tatu sasa, maeneo ya karibu na Chuo Kikuu cha SAUT hususan mitaa ya Nyamalango, Maduka Tisa–Buhima na Sweya yanaishi bila maji kabisa. Hali imekuwa mbaya kupita kiasi na inaathiri moja kwa moja maisha ya kila siku ya wakazi. Mara chache sana maji yanaporudi inakua ni usiki wa...
  19. D

    JamiiForums Tanzania DAWASA yaboresha kisima Keko Bora kuimarisha huduma ya maji

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekamilisha zoezi la kufufua na kuboresha kisima cha kuzalisha maji cha Keko Bora kilichopo Mtaa wa Bora, Kata ya Chang’ombe, Wilaya ya Temeke, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha upatikanaji wa huduma ya maji kwa wakazi wa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Huduma ya Maji imerejea maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imesema huduma ya maji katika maeneo ya Shekilango NHC na Ubungo Magufuli Hosteli imeanza kuimarika na huduma kuwafikia Wananchi. Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa DAWASA, Everlasting Lyaro amesema wamehakikisha upatikanaji wa...
Back
Top Bottom