mmiliki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo cha Sayansi ya Afya KAM college Kimara Korogwe Dar, es Salaam kinanyanyasa wafanyakazi wake

    Mmiliki wa chuo anawadharau waalimu na kutukana waalimu mbele ya wanafunzi jambo ambalo linapelekea waalimu kukosa sauti kwa wanafunzi. Mmiliki amegoma kulipa mishahara ya watumishi kwa mwezi wa July akidai hajafurahishwa na utendaji kazi japo yeye hakuwepo chuoni maana alisafiri. Jambo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi hatuna biashara, bali "TUMEJIAJIRI". Biashara ya kweli huendelea hata mmiliki asipokuwepo.

    Kuna tofauti kubwa kati ya kujiajiri na kumiliki biashara, lakini mara nyingi tunavitumia kana kwamba ni kitu kimoja. Wabongo wengi hatuna biashara bali tumejitengenezea ajira (tumejiajiri). Biashara ya kweli haimtegemei mmiliki kwa kila uamuzi. Ina mfumo wa uendeshaji, watu wenye majukumu...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ewe mmiliki wa kampuni, unafahamu ya kuwa leo 30 Juni 2026 ni siku ya mwisho kuwasilisha hesabu za kampuni yako Kwenda TRA?

    Hakikisha unawasilisha hesabu za kampuni yako kwenda TRA kabla ya 30 Juni 2026, tofauti na hapo kampuni yako itakuwa hatarini kulipa faini ya Tshs 300,000 kwa kila mwezi ambao hujawasilisha hesabu zako. Hii ni kwa mjibu wa kufungu 89 (1) ya Sheria ya usimamizi wa kodi (R.E 2023). Epuka kuingiza...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi katika Chuo cha St John unaibua maswali mengi kuhusu uwazi na uhalali wake

    Jana, Jumatatu tarehe 29 Juni, na leo Jumanne tarehe 30 Juni, Chuo kinaendesha uchaguzi wa Serikali ya Wanafunzi. Hata hivyo, ukifuatilia namna uchaguzi huo unavyoendeshwa, kuna maswali mengi yanayojitokeza kuhusu uhalali, uwazi na usimamizi wake. 1. Matumizi ya mfumo wa e-voting Uchaguzi...
  5. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hoteli ya Mapito Safari Camp, Serengeti, kulala Usiku mmoja ni Milioni 4.5 hadi Milioni 7. Nani mmiliki?

    Inadaiwa inamilikiwa na Mtanzania Patel. Lakini nimeongea na Mwarabu rafiki yangu, nilimuuliza kwanini Tangu Januari 2026 hii hotel inapokea Watu wengi kutoka Uarabuni hasa Oman? Gharama ya kulala pale usiku mmoja, inaanzia milioni 4 hadi Milioni 7 na kuendelea kutegemeana na Msimu. Akanijibu...
  6. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Oviedo iko wapi? Mmiliki wake ni nani?

    Kuna hii kama resort nzuri sana inaitwa Oviedo. Nimeona kuna landscaping ya maana, boti, sijui farasi nk. Iko wapi hii? Nimeona mmiliki wake, Dr Ibrahim Chenza(Phd)ana mishe gani? Nataka kujifunza.
  7. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa page ya ngono ya Only Fans afariki dunia

    Jamaa kafa na miaka 43 tu Alikua ni mwisrael na myahudi aliyekua sehemu ya mchango mkubwa kwa Israel Alikua anatoa mabilioni ya pesa kufadhili taifa la Mungu la Israel Alikua anamiliki page za ngono na pia alikua anamiliki makampuni ya kushoot video hizo sio hivyo tu jamaa alikua kaajiri...
  8. X

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki wa OnlyFans afariki dunia

    Bilionea Leonid Radvinsky, Mmarekani mwenye asili ya Kiyahudi aliyezaliwa Ukraine mmiliki wa mtandao wa OnlyFans (aliyezaliwa 1982), amekufa kwa saratani akiwa na umri wa miaka 43 mnamo Machi 20, 2026 huko Florida. "Tuna huzuni kubwa kutangaza kifo cha Leo Radvinsky. Leo alifariki dunia kwa...
  9. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mrina, mmiliki wa Mrina Bar za Arusha na Manzese afariki

    Mmiliki wa Bar ya Mrina Arusha nyuma ya Golden Rose na Mrina Bar and Hall ya Manzese karibu na Lambo Bar amefariki. Ninachojuwa, huyu gwiji alikuwa maarufu kwa matukio ya "front" kwenye magodown ya mali na kwenye utekaji wa magari ya transit.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Gari unazoweza kukuta ni namba E alafu mmiliki wake anatafuta mteja hata kwa bei chee na bado watu wanaikimbia

    BRAVIS NISSAN DUALIS NISSAN XTRAIL
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Nassor Hamdan Seif, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki Dunia

    Mfanyabiashara Nassor Hamdan Seif, Maarufu kama Mzee NBS, Mmiliki wa Mabasi ya NBS Tabora, amefariki leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam Mwili wa Marehemu Mzee NBS utasafirishwa kuelekea Tabora kwa Mazishi yake. Apumzike kwa Amani
  12. G Sam

    JamiiForums Tanzania Neema Peter Thomas, ambaye ni Mmiliki mwenza wa mabasi ya Esther ni nani?

    Jana nilisikia Mwigulu akimtaja mke wake kuwa anaitwa Neema Peter. Na kwamba haitwi Esther kama tunavyodhani. Leo katika putapita zangu nikakuta wamiliki wa mabasi ya Esther ni Joseph Didas Ngeleuya na Neema Peter Thomas. Kwa anayemjua huyu Neema msaada tafadhali. Halafu kumbe mmiliki wa haya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Arusha: Mwandishi wa Habari ambaye pia ni Mmiliki wa Kusaga Tv na Mwandishi wa AyoTv wakamatwa na Polisi

    Picha: Alphonce Kusaga (Mei 2025) Mwandishi wa kituo cha habari cha Sunrise Radio cha jijini Arusha, ambaye ni miliki wa Kusaga Tv, ndugu Alphonce Kusaga amekamatwa na Jeshi la polisi Arusha jana 04 Novemba 2025. Baada ya kukamatwa, alipelekwa nyumbani kwake kufanya upekuzi, kisha wakamrudisha...
  14. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

    Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya
  15. Think2

    JamiiForums Tanzania Pole kwa mmiliki wa kituo cha mafuta Lake Oil company

    Huyu mmliki amepata hasara kubwa sana sheli zake nyingi zimeharibiwa vibaya kwa moto, watu wamepora mitungi ya gesi yotee yaani kweupe. Lakini pia nitoe pole kwa watz waliouawa kwenye maandamano, pia natoa pongezi kwa JW walikuwa maeneo ya Igoma jijini Mwanza hakuna raia aliyepigwa risasi .
  16. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa Akaunti ya DAUDI T BALALI pale X ni Mwanamtandao, Alihusika Kumteka BALOZI POLEPOLE , Leo katwt Samia ANASHINDA 83%

    Wakuu, Mnakumbuka huyu Mpuuzi Daudi Balali ,alitoaga Twiti yake alisema 2030 Uchaguzi utakua usotabirika Kwa CCM. Ni hivi huyu jamaani Mwanamtandaoo, na Ndie aliyemteka Mh Polepole . Tarehe 21/8/2025 Huyu Jamaa alisimamia Mpango wa kumteka Mh BALOZI POLEPOLE, baada ya kujihakikishia kua...
  17. Spectophotometer

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumtoa signatory wa benki ambaye si mmiliki wa kampuni

    Habari wanasheria na wanajukwaa kwa ujumla. Naomba kuelekezwa utaratibu wa kumtoa SIGNATORY wa nyaraka za benki ambaye si mmiliki wa kampuni. Amepata dharura ya kuumwa,na yuko nje ya nchi kwa matibabu.Ni utaratibu gani ili atolewe kama signatory? Natanguliza shukran
  18. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Bastola ya dogo janja anamiliki kihalali??Tuanzie hapa kama sio nani mmiliki?

    Ndugu wa jeshi la polisi. Nimeona hii kashfa ya dogo janja msanii kumpiga mwanafunzi. Imenihuzunisha sana sana. Awali ya yote chunguzeni. Uhaalali wa hio siila kwa dogo janja..anamiliki kihalali. Kama sio nani alimpa? Na nani mmiliki mtujuze mapema tu. Na kama anamiliki kihalali nashairi...
  19. britanicca

    JamiiForums Tanzania Bashe umeudanganya Umma , nani mmiliki wa ndege ya kupuliia dawa?

    Nani ni owner wa hii ndege ya kupulizia dawa? Mwezi May tuliaminishwa kuwa serikali ya TZ imeinunuwa kwa hela nyingi sana. Current data zinaonyesha owner ni Africair walioko Miami, FL, USA. Britanicca
  20. ubongokid

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mmiliki Kampuni ya TOP Maasai Company Limited, Joram Lukumay amefariki Dunia

    Habari nilizopata Usiku huu ni kwamba Mmiliki na Mwanzilishi wa Kampuni ya TOP Maasai Company Limited Ndugu Joram Lukumay Amefariki Dunia. Bwana Lukumai alikuwa mfanyabiashara katika Sekta za Nishati na Sekta za Madini Mkoani Arusha. Mwenye taarifa zaidi naweza kutupa zaidi.Ila nimpe Pole...
Back
Top Bottom