Mnakumbuka ajali mbaya ya gari ya Ginimbi (2020)?
Na sasa hii ya helikopta ya Wicknell Chivayo (2026)?
Kiuhalisia vifo hivi vinaacha maswali mazito yanayogubikwa na hofu, ushirikina na siri nzito za ulimwengu wa giza.
Kwenye macho ya jamii, vifo hivi si ajali za kawaida tu za barabarani au...
Mtaji wa wahubiri wa imani yetu ya Kikristo huo. Ulimwengu wa kiroho, mambo ya kiroho.....blah blah blah. Swali nimeuliza countless times , ROHO NI NINI? An invisible matter? A wave energy? What actually is a spirit? Maana hata hizo atoms,protons, neutrons na subatomic particles hatizioni kwa...
Leo tujadili ya rohoni kidogo!
Katika safari ya maisha ya mwanadamu, jua la kiroho na mwezi wa kiroho ni alama kuu zinazowakilisha nguvu mbili zilizopo ndani ya kila nafsi.
Wakati Jua linasimama kama chimbuko la mwanga, utashi wa kimungu, na nishati ya utendaji, mwezi unawakilisha ulimwengu...
Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania.
Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu...
Wakuu, salamu.
Je, inawezekana kuwa hofu kuu ya taasisi zote kubwa za kiroho duniani haikuwa watu kutenda dhambi, bali ilikuwa ni hofu ya waumini kugundua kuwa wanaweza kuwasiliana na Mungu moja kwa moja bila kupita kwenye milango ya mifumo yao na bila kulipa kodi ya kiroho?
Ukitaka kuona swali...
Kuna viio vingi sana kwa wanawake kushindwa kudumu katika mahusiano,kushindwa kuolewa,na kushindwa kuzaa.
kushindwa kuolewa na kudumu katika mahusiano yaweza kusababishwa na mambo mengine pia kama tabia ya mtu lakini kwa kiasi kikubwa wengi chanzo ni spiritual attack.
Wapo wanaume ia ambao...
November 15 mwaka huu nafunga miaka 39.
Kwa mazingira niliyozaliwa, kukua na sasa nilipo nathibitisha pasi na shaka kuwa matatizo yanayowapata watu 98% ni vifungo vya kiroho ambavyo watu hufungwa na mapepo, wachawi au shetani mwenyewe.
Hii 2% ndio matokeo ya ujinga. Mtu anapokosa maarifa juu...
Unapoingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na mwanamke aliyekuzidi sana umri, fedha, au uzoefu wa maisha, wengi huona tu miili miwili ikikutana au akaunti ya benki ikiongezeka. Lakini katika ulimwengu wa roho—iwe ni kupitia elimu za kale za Afrika (African Metaphysics), miiko ya kiasili, au hata...
MAFANIKIO NI YA KIROHO
Ikiwemo pesa na mafanikio aina nyingine yote yanaanzia katika ulimwengu wa roho na kuja kudhihirika katika ulimwengu wa nyama unao onekana ulimwengu wa kimwili.
KIROHO ZIPO NGUVU ZIPO ZA AINA MBILI TU NYUMA YA MAFANIKIO YA MWANADAMU YEYOTE
Nguvu za NURU MUNGU au nguvu za...
Mimi namwamini Mungu katika Yesu kristo na President ambitionist
SINA KANISA HUDUMA YANGU NI ONLINE
Anzia page ya 5 post ya 100 ndo mistari inapoanzia na itakupa mambo yafuatayo
Itakupa wazo jipya kwenye fikra zako na mbinu za kufanya ili utoke hapo ulipo
Kama kuna roho chafu itaziondoa...
Kiroho, nyakati ngumu zinazopita katika nchi ya Tanganyika hazitokei kwa bahati mbaya, bali hutafsiriwa kama kipindi cha mageuzi makubwa na mtikisiko wa kiungu ili kuandaa taifa kwa hatua mpya.
Katika mtazamo wa kinabii, dhoruba za kijamii, kiuchumi, au kisiasa ni ishara kuwa ulimwengu wa roho...
Wakati wa sasa ni watu wengi sana wanafahamu habari ya maandiko kutoka kwenye vitabu vya dini. Jamii ya kiswahili inafahamu uwepo wa dini nyingi na hasa dini mbili uislamu na ukristo.
Watu wa zamani pamoja na mambo yote walielewa uwepo wa nguvu za aina mbili katika uwepo, yaani uwepo wa nguvu...
Nina heshima kubwa sana na viongozi wa kikatolic waliomlea Nchimbi na Mpango. Hawa jamaa wapewe heshima kubwa,
Ni catholic church pekee ambalo limesimama na Watanzania
Ni hawahawa Catholic walimfanya JPM ajutie kuwa Mkatolic! It is no joke hawa watu wana utimamu wa akili against all myths na...
DHANA YA KUELEZEA MAMBO KWENYE USAWA imewagharimu sana Wanawake hususan linapokuja suala la kuelezea masuala ya muundo wa kiroho kati yao na Wanaume. Wanadhani gharama ya ZINAA inavyomuathiri Mwanamke ni sawia linavyomuathiri Mwanamume. Wanashindwa kuelewa kuwa, miili yetu ina operate kwenye...
Ndoa ni suala la kimila. Inatakiwa kufanyika kwa kufuata taratibu za mila na desturi za utamaduni husika.
Unaenda kufunga ndoa yako kanisani kwa mujibu wa mila na desturi za wazungu/wayahudi kwani wewe mzungu/myahudi? Utamaduni wa wazungu/wayahudi unakuhusu vipi wewe msambaa wa Lushoto...
Kwa karne nyingi, paka hawajawahi kuwa wanyama wa kawaida wa kufugwa. Tangu enzi za Misri ya Kale hadi zama za wachawi wa Ulaya, viumbe hawa wameonekana kama madaraja kati ya ulimwengu wa nyama na ulimwengu wa roho. Hizi hapa ni siri saba zinazothibitisha nguvu zao za kichawi:
Macho yao huona...
NDUGU YANGU EPUKA MAMBO HAYA (7) KIROHO SIO MAZURI
1)USIPENDE KUFAGIA USIKU
🌘kufagia usiku kiroho nikutupa baraka za mafanikio gizani
2)KUSHIKWA KICHWA
💆ukiona nafasi yako ya mafanikio ipo sawa epuka kabisa mtu kushika kichwa chako mtu anaweza kukugeuzia mambo kupitia kichwa chako
3)SEHEMU...
Tarehe 1 Julai inawakilisha lango kuu la kiroho la katikati ya mwaka (Mid-Year Portal) linalogawa kalenda katika pande mbili sawa.
Katika mifumo ya kiroho, tarehe hii si siku ya kawaida, bali ni majira ya mpito ambapo milango ya kiroho hufunguka ili kuruhusu mabadiliko ya kiutawala, tathmini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.