Na Martin Maranja Masese
Taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri za wateja, kuzingatia kanuni ya Usiri wa Kibenki (Bank Secrecy and Confidentiality Principle). Nguzo kuu inayojenga uaminifu kati ya benki na wateja.
Kisheria, taarifa za kibenki za mteja zina ulinzi mkali wa siri...
WAZIRI MKUU AKUTANA NA VIONGOZI WA BENKI YA CRDB
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai 20, 2026 amekutana na viongozi wa Benki ya CRDB katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam.
Katika mazungumzo hayo, wamejadili masuala mbalimbali yenye lengo la kuendelea...
Takriban mwezi mmoja umepita nilinunua umeme wa Shiling 50,000 kwa kutuia APP ya simbanking.
Nilisubiri kutumiwa token zangu za Luku akini sikuzipata. Kesho yake niliwapigia sim Tanesco nikidhani tatizo lipo upande wao lakini wakanihakkishia kwamba crdb hawaja 'generate' token.
Nikachukua...
Na Mwandishi Wetu
Njombe. CRDB Bank Plc imeendelea kuonesha dhamira yake ya kuunga mkono wafanyakazi na maendeleo ya taifa kwa kudhamini na kushiriki kikamilifu maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani kwa mwaka 2026 yaliyofanyika kitaifa mkoani Njombe.
Maadhimisho hayo yameongozwa na Rais...
Kikao cha pamoja baina ya Ubalozi wa Tanzania nchini Uswidi, kampuni ya Raddy Energy, Benki ya CRDB na wawakilishi wa taasisi za fedha za Serikali ya Uswidi wakiendelea na kikao jijini Stockholm, hivi karibuni.
TATIZO KUBWA – WITO WA HAKI NA UWAZI KIFEDHA TANZANIA
Kampuni ya Peachy Village Company Limited, yenye makao yake makuu Dodoma, Tanzania, imejikuta katika hali mbaya kifedha baada ya kufunguliwa kwa akaunti za benki zisizo halali kwa jina lake. Tukio hili limeleta hasara kubwa, likiathiri...
Wanabodi,
Niko hapa hoteli ya Willard Intercontinental Hotel mtaa wa Pennsylvania Ave NW Washington, D.C kuwaletea yatokanayo na hili kongamano kubwa la uwekezaji la Benki ya CRDB.
Anzia hapa
Baada ya ule mchaka mchaka wa kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA jijini New York, kisha...
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT), Emmanuel Tutuba (kushoto) akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Mussa Nsekela (kulia) wakati wa mkutano wa kujadili utekelezaji wa mageuzi ya mfumo mkuu wa benki hiyo, hatua ya kimkakati inayolenga kuboresha huduma, kuimarisha usalama...
Wasalaam nyote.
Wakuu sipo kwa ajili ya kuharibu biashara au brand ya kampuni yoyote ile, kwani mie sina ubiya wala ushindani na yeyote.
Ila Wallah, leo hii katika kutoa pesa zangu katika benki ya CRDB kiasi kilichokuwepo na kile nachopaswa toa kuna shilingi 24,000/= imemegwa
Kwanza hakukuwa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela ameendelea na ziara zake katika baadhi ya matawi ya jijini Dar es Salaam kukutana na wateja ikiwa ni siku chache baada ya Benki kukamilisha maboresho makubwa ya mfumo wake mkuu wa utoaji huduma (Core Banking System).
Akiwa katika tawi la...
Taingia juzi akaunti yangu kwenye benki ya CRDB imepunguzwa balance kiasi cha Milioni 1.7. Cha kushangaza sijawahi fanya huo muamala.
Nimejaribu kuandika email CRDB hawajajibu. Nimewasiliana kupitia pages zao za Social Media hawajajibu.
Leo ni siku ya 3 kiasi hicho hakijarudi na nikiomba Bank...
Buhigwe. Tarehe 27 Agosti 2025: Akizindua tawi la Benki ya CRDB wilayani Buhigwe pamoja na kupokea madarasa mawili ya shule ya sekondari, Makamu wa Rais, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango ameisifu Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kutanua huduma jambo linalosaidia kuongeza ujumuishaji wa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaa, Albert Chalamila ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kuwaelimisha wajasiriamali wa mtandaoni kuhusu fursa zilizopo na namna wanavyoweza kushirikiana na taasisi hii kubwa zaidi ya fedha nchini kujikwamua kiuchumi.
Pongeza hizo zilitolewa mwishoni mwa wiki...
Matukio ya pesa za wateja katika akaunti zao kukwapuliwa ndani ya benki ya CRDB yanaongezeka.
Kuna rafiki yangu alikwapuliwa milioni 17 toka tawi moja la benki hiyo hapa Dar es sslasm.
Tena hili lilifanyika katika week end.
Hizo zote ni insider jobs: wafanyakazi wa benki.
Hii clip ya malamiko...
London / Dar es Salaam, 20 Julai 2025 – Benki ya CRDB imetangazwa kuwa Benki Bora Tanzania, Benki Bora kwa Masuala ya Mazingira, Jamii na Utawala Bora (ESG), na Benki Bora kwa Biashara Ndogo na za Kati (SME) na jarida la kifedha la kimataifa la Euromoney, wakati wa hafla ya kutuza washindi wa...
Benki ya CRDB imeweka historia kwa kuorodhesha rasmi hatifungani yake ya kwanza ya kijani maarufu kama ‘Kijani Bond’ katika Soko la Hisa la Luxembourg (LuxSE). Hatua hii inaifanya Benki ya CRDB kuwa miongoni mwa benki za kwanza za biashara Kusini mwa Jangwa la Sahara kuorodhesha hatifungani ya...
Dar es Salaam. Tarehe 23 Juni 2025: Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano ambaye pia ni Mbunge wa Ilala, Mheshimiwa Mussa Zungu amesema kutokana na vifaa vya kisasa vitakavyofungwa katika Shule ya Mfano ya Benki ya CRDB basi itakapokamilika na kuanza kupokea wanafunzi itazalisha wahitimu...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kulia) akimkabidhi zawadi Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika, Profesa Mohammed Janabi kumtakia utumishi mwema wa majukumu anayoenda kuyaanza hivi punde. Hafla hiyo fupi ilifanyika katika Hospitali ya Taifa...
Zanzibar. Tarehe 21 Mei 2025: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa jitihada zake za kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo baada ya kusaini mkataba wa mkopo nafuu wa takriban Euro milioni 80 (shilingi bilioni 240)...
Arusha 16 Mei 2025 - Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, amezindua rasmi Shule ya Sekondari ya Mfano ya Benki ya CRDB, itayojengwa katika Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam kama sehemu ya maadhimisho ya miaka 30 ya Benki ya CRDB.
Shule hiyo ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.