hatarini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Uhaba wa Ventilator: Maisha Yapo Hatarini Hospitalini, hata katika hospitali kubwa ni changamoto

    Asante. Mimi binafsi sijui hii niite kero, kitendawili au hata dudumizi ndani ya sekta ya afya nchini. Ninaandika hili si kama hadithi ya kusikia, bali kama jambo nililolipitia mwenyewe. Naamini kama mtafanyia uchunguzi wa kina, linaweza kuwa makala inayoweza kusaidia kuokoa maisha ya...
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uhuru wa Vyombo vya Habari hatarini: Waandishi wa Standard Media wazuiwa kwenye tukio la Rais Ruto

    Waandishi wa habari kutoka Standard Media Group wamezuiwa kuingia katika event ya Rais William Ruto huko Naivasha wakati wa Second National Education Conference. Kisa hiki kimeibua mjadala mkubwa kuhusu freedom of speech na haki ya wanahabari kufanya kazi yao bila vitisho au ubaguzi. Inadaiwa...
  3. Akotia

    JamiiForums Tanzania Tanzania ipo hatarini. . Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa

    Ted cruz akituchongea kua kuna machafuko yakidini Tanzania Oyaaa Tanzania ipo hatarini. Wenye ulimwengu washaanzisha script kua Tanzania kuna machafuko ya kidini na Wakristo wanaonewa. Mzalendo hiki sio ukweli. Ted Cruz wa Marekani ni muongo na mchonganishi. Tupambane tusichonganishwe zaidi...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Kuvuka Barabara ya Morogoro Nyakati za Asubuhi na Jioni. Madereva hawaheshimu alama za Pundamilia

    Wananchi wanaoishi na kufanya shughuli zao kuanzia Ubungo hadi Kimara wanakabiliwa na changamoto kubwa kila siku wanapojaribu kuvuka Barabara ya Morogoro, hasa nyakati za asubuhi na jioni. Msongamano wa magari huwa mkubwa, lakini kinachoongeza hatari ni kwamba madereva wengi hawaheshimu kabisa...
  5. UTPC

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mabilioni biashara ya kaboni hatarini kutoweka

    KATAVI; Licha ya vijiji vinane vya Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kujiingizia zaidi ya Sh bilioni 29 kupitia uuzaji wa kaboni, biashara hiyo ipo hatarini kutokana na uwajibikaji usioridhisha wa waliopewa dhamana ya kulinda na kuhifadhi misitu na kukithiri kwa shughuli za kibinadamu...
  6. UTPC

    JamiiForums Tanzania Mabilioni biashara ya kaboni hatarini kutoweka

    KATAVI; Licha ya vijiji vinane vya Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kujiingizia zaidi ya Sh bilioni 29 kupitia uuzaji wa kaboni, biashara hiyo ipo hatarini kutokana na uwajibikaji usioridhisha wa waliopewa dhamana ya kulinda na kuhifadhi misitu na kukithiri kwa shughuli za kibinadamu...
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Meta yajiondoa, Over 1,100 Jobs ziko hatarini Wafanyakazi Sama Nairobi wapigwa na Shock!

    Wadau, hii ni noma! Kampuni ya Sama imetoa taarifa rasmi kwamba kuna mass redundancy inakuja kwa ofisi yao ya Nairobi . Sababu kubwa? Mteja wao mkubwa Meta ameamua ku-terminate contract yao. Kwa mujibu wa taarifa ya April 16, 2026, Sama walisema walijaribu ku-engage Meta ili kuokoa situation...
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Afya za Wananchi Kata Nyaishozi-Karagwe zipo hatarini, wanatumia maji ya madimbwi

    Wananchi wa vitongoji vya Kikungili, Omukajiji, Rushanje na Rwandalo Kata ya Nyaishozi, wilayani Karagwe mkoani Kagera, tunakabiliwa wanalazimika kutumia maji yasiyo safi na salama kutoka kwenye madimbwi kwa matumizi ya nyumbani, kufuatia kuharibika kwa kisima walichokuwa wakikitumia takribani...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Dkt. Dugange (Miaka 3 bila Uhamisho), Kilio cha Watumishi, Afya ya Akili na Ndoa zilizo Hatarini. Nini Kifanyike?

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange, ametoa agizo kuwa waajiriwa wote wapya wa Serikali lazima wafanye kazi kituo kimoja kwa muda usiopungua miaka mitatu (3) kabla ya kuruhusiwa kuomba uhamisho, isipokuwa kwa changamoto za kiafya zilizothibitishwa na jopo la...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaidhinisha Tsh. Trilioni 1.422 kwa ajili ya Tanzania ili kuimarisha ajira na kusaidia kaya zilizo hatarini

    Benki ya Dunia imejitolea kutoa kiasi cha dola milioni 550 kusaidia jitihada za upatikanaji wa ajira na usaidizi wa kijamii nchini Tanzania. Benki ya Dunia imemidhinisha ufadhili mpya wa dola milioni 550 kwa ajili ya Tanzania, ukilenga kutengeneza fursa za ajira na kusaidia kaya zenye uhitaji...
  11. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali Yashitakiwa! Billions Ziko Hatarini as Katiba Institute Storms Court

    Katiba Institute imeenda kwa Milimani High Court kujaribu kusimamisha utekelezaji wa National Infrastructure Fund Act, 2026, ikisema sheria hiyo ni unconstitutional. Petitioners wanataka court itoe conservatory orders kuzuia serikali kuimplement Act na pia kusitisha kupeleka pesa za...
  12. Troll JF

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hatarini kufutwa na kusambaratika kabisa

    Ndani ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA hali si shwari baada ya baadhi ya wanachama kutaka kuingia kwenye Uchaguzi ili kumchagua Mwenyekiti baada ya Tundu Lissu kusota Rumande kwa mda mrefu ambapo kijana Makini John Mnyika huenda akashika wadhifa huo kwani anaungwa mkono nje ya Chama...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hivi kakakuona kawa nani.Wakati ni kiumbe ambacho kipo hatarini kutoweka kutokana na imani za kishirikina

    Vyombo vya habari vimekuwa vikikipa uzito huyu mdudu kama kuonesha imani potofu bado zina pewa nguvu. Huyu mdudu ni kama wadudu wengine sawa na kipindi cha nyuma fisi kuwa kwenye maeneo ambayo nyie mlivamia kuwa mji. Baada ya kuanzisha kampeni wasitoweke nyie mnaleta imani za ajabu.
  14. Inside10

    JamiiForums Tanzania Wakili Nyaronyo Mwita Kichere: Nipo Hatarini Nafuatiliwa Nawasiojilikana

    MWANDISHI wetu Nyaronyo Mwita Kichere, ametujulisha kwamba kuna hatari inaninyemelea. "Gari aina ya Landcruizer ikiwa na watu saba ndani yake, inaranda jirani na nyumba yangu eneo la Monduli mtaa wa Mkwajuni, kata ya Vijibweni, wilaya ya Kigamboni, mkoani Dar es Salaam." Source Mwanahalisi Digital
  15. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi na maisha ya Watanzania hatarini kwasababu ya Samia, Rostam na Kikwete

    Hawa wadau watatu ndiyo wametufikisha hapa na huko mbele wakibaki wataharibu uchumi wa TZ vibaya sana lazima Mama atolewe na kuwe na serikali ya mpito
  16. lost files

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 WARNING:⚠️Namna Serikali inavyowakamata Wanaotuma picha Za Mauaji Mtandaoni: Na jinsi unaweza kujilinda

    Bila Salamu., Nilitaka kuandika hili kama comment katika Uzi Fulani days ago but sikufanya hivyo Sababu niliogopa kwamba kwa kufanya hivyo nitaogopesha watu wanaotuma picha na videos,pili niliogopa kua kama Serikali haifanyi nilichofikiria basi nitakachosema ndio kitawapa mbinu na nini Cha...
  17. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Kampuni za mabasi zasitisha safari kupisha kimoja kati ya uchaguzi au maandamano. Matajiri hawataki kuweka Mali Hatarini

  18. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa Tanzania hatarini! Kila uchwao ni kutekwa!

    Ni muda wa kujitetea umewadia sasa
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Yanga hatarini kuadhibiwa na FIFA kwa kuichangia CCM Tsh. 100 Milioni

    Wakuu! Kabla hili la Yanga SC halijapoa, tuzungumze kidogo kuhusu kilichotokea. Labda wengi hawakutarajia kwamba klabu maarufu ya Yanga (Wananchi) ingejikuta katikati ya mjadala mkubwa wa Kitaifa hivi karibuni. Yanga imejikuta ikijadiliwa sana na kukosolewa vikali baada ya kuchangia kiasi cha...
  20. lost files

    JamiiForums Tanzania Taifa Lipo Hatarini, Kila Mtu Anaona Anaweza Kua Kiongozi.. FAILED POLITICAL CULTURE

    Habari Kwenu wote,..Nani hajastushwa na "Trend" ya Kila Mtu maarufu kuchukua Form ya Kugombea Ubunge??.Ni haki ya Kila Mtu ya kikatiba kuchagua au kuomba ridhaa ya wananchi kuchaguliwa kua Muwakilishi wao.. Lakini Jambo Hilo Lina maana gani?kukua Kwa demokrasia??Muamko wa Vijana??Mimi Nina...
Back
Top Bottom