kivuko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Msumbiji: Zaidi ya Watu 90 wadaiwa kufariki baada ya Kivuko kikichokuwa na Watu 130 kuzama eneo la Nampula

    MSUMBIJI: Mitandao ya BBC na Reuters imeripoti kuwa zaidi ya Watu 90 wamefariki katika ajali ya Kivuko kinachodaiwa kilikuwa na takriban Watu 130 jirani na jimbo la Nampula, huku Watu 5 wakiokolewa Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na uongozi wa eneo hilo, imeeleza kuwa miongoni mwa waliopoteza...
  2. T

    Changamoto ya Vivuko Kigamboni kwa sasa kunafanya kazi kivuko kimoja tu

    Wasaaaalamu Hali ya usafiri Kigamboni imekuwa mbaya sana wananchi wanahaha na kuhangaika,kwa sasa ni kivuko kimoja tu MV KAZI ndio kinatoa huduma hii inasababisha mrundikano wa raia wanaosubiri kupata huduma ya kivuko na kuleta kero kubwa sana Mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote alietolea...
  3. BigTall

    Abiria tunaovuka Kivuko cha Kigamboni leo ni kero tupu, kivuko kimoja tu ndio kinafanya kazi

    Leo Novemba 28, 2023 sisi Wakazi hasa wa Kigamboni tumepata changamoto ya Kivuko. Yaani leo kivuko kinachofanya kazi ni MV Kazi tu, kingine wanasema ni kibovu, watu wanachelewa makazini, Azam ameleta kivuko kidogo kimoja nacho ni kama kinazidiwa kutokana na idadi ya watu wanaohitaji kuvuka...
  4. Suley2019

    Lindi: Wananchi wasota na kivuko kwa siku 21. Waiangukia Serikali

    Wakazi wa Kata ya Kitumbikwera katika manispaa ya Lindi, wameiomba Serikali kuharakisha matengenezo ya kivuko kilichopo katika eneo lao ili waendelee na shughuli za uzalishaji mali. Kuharibika kwa kivuko cha MV Kitunda, kumesababisha wananchi hao kutumia boti zinazodaiwa si salama zenye...
  5. Erythrocyte

    Songwe: TARURA yakamilisha kivuko, chagharimu Tsh. Milioni 207 huko Momba

    Kivuko hicho muhimu kinaunganisha maeneo na Mjini na Vijijini. Hiki hapa; ==== Wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Momba mkoani Songwe wameunganishwa baada ya Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) kukamilisha ujenzi wa kivuko cha waenda kwa miguu katika mto Nyamba chenye...
  6. A

    DOKEZO Kivuko cha Busisi - Kigongo Ferry kuna mazingira ya upigaji, Tiketi hazichanwi na hawazi-scan

    Nianze kwa kusema kuwa inawezekana matumizi sahihi ya tiketi zinazotumika katika Kivuko cha Busisi - Kigongo Ferry Mkoani Mwanza hayapo sawa au kuna watu wachache wanatengeneza mazingira ya kukosekana kwa usawa. Kwanza kabisa Hakuna utaratibu wa ku scan tiketi kama ilivyokuwa zamani, wakati wa...
  7. P

    Mtu mmoja ajirusha ziwani kutoka kwenye kivuko Mwanza. Kivuko kimeendelea na safari

    Muda huu niko kwenye kivuko, kuna mbaba wa makamo amejirusha kwenye kivuko cha Busisi, yaani kivuko kimesimama dakika kadhaa halafu kikaendelea na safari bila msaada wowote R.I.P jamaa
  8. nzahaksm

    Uongozi wa Kivuko (Ferry) uchukue hatua za haraka kwenye usimamizi wa kushusha na kupakia

    Kuna kitu kinanishangaza kwenye utaratibu unaotumika kushusha na kupakia abiria na vyombo vya usafiri pale kivukoni feli. Napenda utaratibu unaotumika wa kuanza kupakia magari kwanza na vyombo vingine vya usafiri kama baiskeli na pikipiki. Lakini shida yangu linapokuja swala la kushusha hapa...
  9. BigTall

    Charles Kitwanga: Inanichekesha kuona kivuko chetu kinapelekwa Kenya kutengenezwa

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Zamani wa Tanzania, Charles Kitwanga amesema “Tunachukua kivuko chetu, sijali kama ilinunuliwa kwa Bilioni 8 na inaendwa kutengenezwa kwa bilioni 7.5, tunashindwaje kuitengeneza sisi Watanzania hadi kupeleka Kenya. “Tuangalie nani yupo nyuma wa huo mpango, inanipa...
  10. lugoda12

    UKARABATI WA KIVUKO

    Hii INSHU ya matengenezo ya Kivuko cha MV Magogoni ipoje? Inasemekana kuwa GHARAMA za matengenezo ni bil. 7.5 ilhali bei ya Kivuko kipya ni bil. 8🙄! "SWALI" kuna ulazima gani wa kutengeneza kivuko kibovu badala ya kununua Kivuko kipya kama bei zinashabiana🤗?
  11. DR HAYA LAND

    Kuhusu kivuko naomba nipatiwe majibu ya maswali yangu kwa ufupi

    Endapo kivuko kimenunuliwa mwaka 2008 je watu walikuwa wanavuka bure? Kama hapana je hizo pesa mnazopata Kama nauli ya Mtu kuvuka katika kivuko Cha MV Magogoni Tangu 2008 hadi 2023 je hazitoshi kununua kivuko kipya na kukarabati kilichopo. Mbona Mimi bodaboda naweza kuendesha bodaboda...
  12. Elli

    Endapo Kivuko kingekarabatiwa Tanzania kwa zaidi ya bilioni 7.5, haya yangetokea...

    Kwenye manunuzi huwa hatuangalii bei peke yake labda uwe mwehu wa kutupwa! Kuna factors nyingi zinakua considered na mara nyingi price inakua ndio ya mwisho, mnaweza mka-negotiage price. Sasa, tunaambiwa kuwa Kivuko kipelekwa Kenya kwenye ukarabati kwa Bei ya 7.5B kwakua wale competitors wa...
  13. S

    Dhana ya Local Content imeishia wapi? Kivuko kukarabatiwa nje ya nchi

    Kuna Dhana ilianza kupigiwa debe na Serikali ya kuwawezesha watanzania kunufaika na fursa zilizoko nchini ili kuchochea ajira na kukuza uchumi wa nchi yetu, Leo Bilioni 7.5 zinakwenda kunufaisha nchi jirani wakati angepewa Songoro Marine ambaye ni mtanzania fedha zingezunguka Tanzania. Vijana...
  14. saidoo25

    Kwanini Watanzania wengi wameshtuka ukarabati kivuko cha Bilioni 7.5

    Kwanini watanzania wengi wameshtuka kuhusu ukarabati wa kivuko cha MV Magogoni cha kwa gharama za Bilioni 7.5 kwenda kukarabatiwa nchini Kenya. Lakini ukipitia Tovuti ya TEMESA kwenye eneo la Zabuni hakuna mahali ilipotangazwa zabuni ya kukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni. Lakini nimepitia...
  15. Sir robby

    Kwanini tukarabati kivuko kwa Tsh. bil 7.5 wakati kipya ni bil 8.5?

    Wadau nawasabahi. Nikiwa mlipa kodi pamoja na tozo mbalimbali najisikia uchungu sana kusikia kuwa Serikali inataka kukarabati kivuko cha Mv Magogoni kwa bil.7. wakati bei ya kuunda kivuko kipya ni kati ya bil.8.5 -9 Najiuliza kwanini ufanyike ukarabati? Kwanini kisinunuliwe kivuko kipya...
  16. nzahaksm

    Hafla ya utiaji saini Mkataba wa Ukarabati wa Kivuko cha MV Magogoni

    Leo wakati navuka kutokea Kigamboni nimekutana na suala la kustaajabisha sana. Viti na mapambo yamewekwa eneo la mbele kidogo ukishuka kwenye kivuko kutoka Kigamboni. Kulikuwa na kivuko chetu kimesimama kutoa huduma na leo ndio kuna sherehe ya kutia saini ili ukarabati uanze mara moja. Kuna...
  17. U

    Hali ya vivuko vya Kigamboni inazidi kuwa mbaya

    Naomba kwanza nikiri mimi ni mkazi wa Kigamboni ambaye karibu Kila siku ya Mungu natumia vivuko vya feri. Najua sio mada mpya Sana hapa jukwaani wengine wengi wameshaijadili hapa lakini kwa msisitizo naleta hii mada tena nikiwa naamini JamiiForums ni jukwaa pana, mada za humu ndani zinasomwa na...
  18. Nyankurungu2020

    Haiwezekani kivuko kilichoghraimu bil 7.3 kukarabatiwa kwa bil 4.4

    Pesa za umma zinaliwa huku wananchi wakiteswa na tozo. == Ujenzi wa kivuko cha Mv Kazi uligharimu Sh7.3 bilioni na kina uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 sawa na jumla ya tani 170. Kupitia Ukurasa wa twitter wa TEMESA wamesema Kivuko cha MV. KAZI kimerejea rasmi katika eneo la Magogoni...
  19. Moshi25

    Kivuko cha MV Magogoni kibebe abiria tu asubuhi

    Huwa naona watu ni wengi sana asubuhi saa 12 hadi saa 3 wakiwa tayari kuvuka kutoka Kigamboni kuja Ferry na Mv Magogoni ikijaza magari tu na watu wengi kubaki wakiwa wamefungiwa kama kuku kusubiri kivuko kiende na kurudi ndo kiwachukue, wagonjwa wanachelewa hospitali na wafanyakazi wanachelewa...
Back
Top Bottom