Ndege JOHN nakupa mchongo uufanyie kazi, deal na breakfast ya vyakula vya asili

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,989
46,096
Anzisha mgahawa weka wafanyakazi wawili tafuta eneo zuri deal na breakfast ya vyakula vya asili tu. Nunua sahani 20 za udongo na Uma 20 na vijiko 20 na sufuria 5. Mazingira yawe masafi yenye maji ya kutosha na yanayovutia bila kusahau jiko kubwa la gas na friji liwepo.

Asubuhi nenda sokoni kanunue boga kubwa 1, tango 1, papai 1 parachichi 2, nyanya za buku 1, mayai ya kienyeji yawepo, Maharage na njugu, karanga kidogo, nyama utaamua wewe kama ukiinunua nusu ukakata vipande vidogo sana Safi na Mihogo vipande kidogo kidogo.

So unachofanya una wawekea mixer moja ya kibabe yaani kipande kidogo kidogo cha boga, tango, nyama zenye bamia kidogo, Maharage nusu upawa na bei yako uza 2500 tu watu Wana hela asubuhi asikudanganye mtu watu hawana hela za kujenga ila za kula wanazo na kwa sababu ya lifestyle yao wanakuwa waoga wanapenda kula Chakula tiba so ukiwakorogea vitu hivyo hukosi hela ni kufanya tu ubunifu na kusafiri unawakomba wote.

Naomba kuwasilisha.
 
Attachments

  • IMG_20211007_075310.jpg
    IMG_20211007_075310.jpg
    353.6 KB · Views: 7
  • DSC_0066.JPG
    DSC_0066.JPG
    2.6 MB · Views: 7
  • IMG_20210930_194717.jpg
    IMG_20210930_194717.jpg
    491.8 KB · Views: 6
  • DSC_0187.JPG
    DSC_0187.JPG
    1.9 MB · Views: 7
  • DSC_0029.JPG
    DSC_0029.JPG
    2.4 MB · Views: 6
  • IMG_20210727_123134.jpg
    IMG_20210727_123134.jpg
    238.2 KB · Views: 5
  • DSC_0195.JPG
    DSC_0195.JPG
    1.6 MB · Views: 7
Anzisha mgahawa weka wafanyakazi wawili tafuta eneo zuri deal na breakfast ya vyakula vya asili tu. Nunua sahani 20 za udongo na Uma 20 na vijiko 20 na sufuria 5..mazingira yawe masafi yenye maji ya kutosha na yanayovutia bila kusahau jiko kubwa la gas na friji liwepo.

Asubuhi nenda sokoni kanunue boga kubwa 1, tango 1, papai 1 parachichi 2,nyanya za buku 1,mayai ya kienyeji yawepo, Maharage na njugu, karanga kidogo, nyama utaamua wewe kama ukiinunua nusu ukakata vipande vidogo sana Safi na Mihogo vipande kidogo kidogo.

So unachofanya una wawekea mixer moja ya kibabe yaani kipande kidogo kidogo cha boga, tango, nyama zenye bamia kidogo, Maharage nusu upawa na bei yako uza 2500 tu watu Wana hela asubuhi asikudanganye mtu watu hawana hela za kujenga ila za kula wanazo na Kwa sababu ya lifestyle yao wanakuwa waoga wanapenda kula Chakula tiba so ukiwakorogea vitu hivo hukosi hela ni kufanya tu ubunifu na kusafiri unawakomba wote. Naomba kuwasilisha.
Ahsante sana
 
Ndege John wakati flani unakuwa na akili.
 
Anzisha mgahawa weka wafanyakazi wawili tafuta eneo zuri deal na breakfast ya vyakula vya asili tu. Nunua sahani 20 za udongo na Uma 20 na vijiko 20 na sufuria 5. Mazingira yawe masafi yenye maji ya kutosha na yanayovutia bila kusahau jiko kubwa la gas na friji liwepo.

Asubuhi nenda sokoni kanunue boga kubwa 1, tango 1, papai 1 parachichi 2, nyanya za buku 1, mayai ya kienyeji yawepo, Maharage na njugu, karanga kidogo, nyama utaamua wewe kama ukiinunua nusu ukakata vipande vidogo sana Safi na Mihogo vipande kidogo kidogo.

So unachofanya una wawekea mixer moja ya kibabe yaani kipande kidogo kidogo cha boga, tango, nyama zenye bamia kidogo, Maharage nusu upawa na bei yako uza 2500 tu watu Wana hela asubuhi asikudanganye mtu watu hawana hela za kujenga ila za kula wanazo na kwa sababu ya lifestyle yao wanakuwa waoga wanapenda kula Chakula tiba so ukiwakorogea vitu hivyo hukosi hela ni kufanya tu ubunifu na kusafiri unawakomba wote.

Naomba kuwasilisha.
bonge la idea aseeee
 
Back
Top Bottom