peter msigwa

Peter Simon Msigwa (born 8 June 1965) is a Tanzanian CHADEMA politician and Member of Parliament for Iringa Town constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mch Peter Msigwa: Serikali na Rais Samia Suluhu Hassan, swallow your pride & ego. Mwachieni Tundu Lissu, hana hatia..!

    https://youtu.be/MlQRJzlk_JM?si=6mw_RwolPu_sNa9P Ameyasema haya leo akiongea na waandishi wa habari huko Iringa. Ameitaka serikali chini ya CCM ikiongozwa na Rais Samia kuweka kiburi na majivuno (pride & ego) pembeni na wasione haya, soni wala aibu kukiri kuwa wameshindwa, wamwachie Tundu Lissu...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Kinachomponza Tundu Lissu ni Akili. Mmeamua kufungia Akili yake ndani ya Gereza

    Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, amesema Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hapaswi kulazimishwa kuomba msamaha ili aachiwe huru, akisisitiza kuwa hana kosa linalohitaji msamaha. Soma: Mchungaji Msigwa: Niliishauri CCM imuachie Lissu haikunisikiliza Akizungumza na waandishi wa habari...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Niliishauri CCM imuachie Lissu haikunisikiliza

    Kada wa CHADEMA, Mchungaji Peter Msigwa, ametoa wito wa kuachiwa huru kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akidai kuwa hana hatia na kwamba amekuwa akizuiliwa kutokana na misimamo na uwezo wake wa kujenga hoja. Akizungumza na waandishi wa habari, Julai 14, 2026, Msigwa amesema Lissu amekaa...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Imekuwa ni ngumu kutofautisha CCM, Serikali na Dola

    Kada wa CHADEMA aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) @ccmtanzania , Mchungaji Peter Msigwa amesema baadhi ya wanachama wa CCM wanajiona kuwa ni sehemu ya dola, huku serikali ikijiona kama mmiliki wa dola. Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Msigwa amefafanua...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: CCM imepoteza ushawishi, mikutano yao ni 'rented crowd', wamepata doa Oktoba 29, lazima wataporomoka

    Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema CCM haina ushawishi kwa sasa hivyo haiwezi kushinda uchaguzi. "Ukiwa mwanasiasa, kama huna ushawishi kwa wananchi, you are not a politician, fanya kazi...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Msigwa: Tanzania kila kitu kimepangalanyuka, imekuwa ngumu kutofautisha CCM, Serikali na dola

    Kada wa CHADEMA aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema baadhi ya wanachama wa CCM wanajiona kuwa ni sehemu ya dola, huku serikali ikijiona kama mmiliki wa dola. Akizungumza katika mahojiano maalum na Jambo TV, Msigwa amefafanua kuwa, kikatiba...
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mch Peter Msigwa: Wengi wa viongozi wa CCM na Serikali yao wanaonekana kucheka mbele ya kamera, lakini ndani wamejaa hofu, wasiwasi na upweke mkubwa

    ================== Kadiri miaka inavyokwenda, nimejifunza jambo moja muhimu sana: Maisha ya bandia ni maisha ya gharama kubwa sana. Gharama yake si fedha tu, bali pia ni gharama ya kiroho, kihisia, kisiasa na hata kimahusiano. Ukweli ni rahisi kuishi nao. Uongo, kwa upande mwingine, unahitaji...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania John Heche: Peter Msigwa atajitetea mwenyewe kwa wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema mwanasiasa Peter Msigwa, ambaye amerejea hivi karibuni ndani ya chama hicho atajitetea mwenyewe kwa wananchi kuhusu sababu na mazingira ya maamuzi yake ya kisiasa ya kuhama na kurejea CHADEMA. Akizungumza leo Juni 13, 2026, katika kipindi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Nilienda CCM kutokana na Uongozi uliokuwepo CHADEMA ulikuwa unakiuka Misingi ya Demokrasia

    Edwin Odemba: unaamini kwamba Chama cha Mapinduzi ndicho kilikuwa ni chama sahihi eh ya wewe kuwepo kwa wakati ule?" Peter Msigwa: "In a way ndio na in a way no. Uh lakini kwa..." Edwin Odemba: "Uliwezaje sasa kwenda mahali ambapo in a way was no, in a way was yes?" Peter Msigwa: "Nilienda...
  10. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: Taifa ni kuu kuliko Rais; Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu na Bunge ni kuu kuliko Spika. Uzalendo ni kulipenda taifa sio serikali..!

    Katika demokrasia: 👉Mahakama ni kubwa kuliko Jaji Mkuu. 👉Bunge ni kubwa kuliko Spika. 👉Taifa ni kubwa kuliko Rais. 👉Katiba ni kubwa kuliko chama tawala. Hii ni kwa sababu taasisi zinapaswa kudumu, wakati viongozi ni wa muda. 1. TAIFA NI KUBWA KULIKO RAIS Rais ni kiongozi wa muda. Taifa ni la...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ally Hapi: Msigwa alikuwa anasubiri kupata ukuu wa wilaya akaona hauji

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Chama cha Mapunduzi (CCM), Ally Hapi amemtaja aliyekua kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa kama mtu ambae alihamia CCM kwa maslahi na alipokosa maslahi hayo akaamua kurudi chama chake cha awali. Hapi anaeleza kuwa Msigwa alienda CCM akitarajia kupata...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchungaji Msigwa: Mauaji ya Oktoba 29 ni ya kihistoria, kuna maiti hazijaonekani, kuna maiti hazikuzikwa

    "Katika nchi yetu mauaji haya ya nini, ni ya kihistoria. Hatujawahi kupata shida kama hii. Ni mauaji makubwa, makubwa sana. Haya mauaji yaliyotokea ni makubwa sana, kuna maiti hazionekani, kuna maiti hazikuzikwa, kuna watu wengine walienda Mochwari wakiwa hai, kuna mambo ya ajabu ya hovyo...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: CCM haiwezi kushinda tena Uchaguzi kwa ushawishi wa hoja, wameacha dola iwafanyie Siasa

    "CCM inabidi wajitafakari. Kwa mtazamo wangu sioni kama wana future nzuri kisiasa. Kwa sababu CCM wameacha kufanya siasa, wameacha dola iwafanyie siasa. CCM haiwezi kushinda uchaguzi tena kwa ushawishi wa hoja. Bila dola, CCM haiwezi kufanya nini? Kushinda. na hii yote kwa sababu hamna watu...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Msigwa: CHADEMA hakuna hela, Pesa na vyeo viko CCM. Ningetaka cheo, ningeamua niwe napiga makofi "Mama kaupiga mwingi"

    "Nimekuwa waziri kivuli wizara ya mambo ya nje, maliasili, kilimo. Kwa hiyo I know namna gani serikali inafanya kazi. Sasa, lakini kama haitoshi, wakati ule nafanya kazi tuko CHADEMA anaingia marehemu Magufuli, ambaye kwa namna fulani alikuwa tuna uhusiano naye, alinipa offer kubwa sana...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchungaji Msigwa: Najutia kwenda CCM, bora ningefanya maamuzi tofauti

    Mchungaji Msigwa ameonesha kujutia uamuzi wake wa kujiunga na CCM, akisema kuwa bora angefanya maamuzi tofauti. Akizungumza katika mahojiano Juni 2, 2026, Msigwa ameeleza kuwa uamuzi wake wa awali uliathiriwa na hisia na kile alichokiita “ego,” hali iliyomfanya kufanya maamuzi ambayo sasa anaona...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: CHADEMA ya sasa ndiyo chama cha upinzani kweli kweli, CHADEMA iliyopita tulikuwa tunapiga fix tu

    Mchungaji Peter Msigwa akihojiwa na Wasafi FM, Juni 2, 2026 amesema; "Chadema ya kwanza ambayo nilitoka wakati ule, ilikuwa compromised. Iliondoka katika misingi ya malengo na makusudi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Na sababu niliziweka bayana. Tulikuwa tunahubiri (preach) demokrasia...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchungaji Msigwa: Msajili wa vyama vya siasa ana matatizo, hayupo kwa maslahi ya Taifa

    Mchungaji Peter Msigwa akihojiwa na Wasafi FM, Juni 2, 2026 amesema; "Mvutano kati ya Msajili na Chadema haujanza leo. Lakini tukiwa wakweli ambao, hatupepesi macho, na tunalipenda taifa kuliko vyama vyetu vya kisiasa itikadi; nadhani Msajili hayuko sawa, mizani haija—balance. Kwa sababu maneno...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Peter Msigwa: Nilitishiwa nikiondoka CCM watanimaliza! Kuua watoto wetu, kuwachinja halafu niendelee kusema 'Idumu CCM'?

    "Hatuwezi kuwa na taifa ambalo halitaki ukosowaji, halitaki uwajibikaji yaani siku hizi Tanzania ukikosoa ni kosa yaani. Yaani ukikosoa wanaona huyu ni msaliti, huyu anafanya nini, eeh, kosa! Tayari unaona unaogopa watu wasijulikane." "Haya maamuzi niliyoyafanya sio madogo. Nilitishiwa na watu...
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tittle ya file la vetting ILIYOFANYWA dhidi ya Peter Msigwa ndani ya ccm kimeandikwa: "MALAYA WA SIASA". Na lipo mezani kwa mama.

    Yawezekana msomaji unajiuliza mie sifi Leo wa jf nayakuaje ya mafile yaliyopo mezani kwa mama tena ndani ya ikulu mpya? Unapijiuliza hivyo jiulize niliwezaje enzi za jiwe kuwa namtajia mafile aliyokuwa anayarika ruka wakati wa UTAWALA wake dhidi ya operesheni yake ya kupasua jipu? Enzi hizo...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Ukiwa na Mahakama dhaifu, Jeshi la Polisi linalopendelea chama kimoja nchi haiwezi kusimama

    Maneno ya Mchungaji Peter Msigwa wakati akikaribishwa ndani ya chama baada ya kurejea akitokea CCM amesema; "Ukiwa na mahakama dhaifu, nchi haiwezi kusimama. Ukiwa na jeshi la polisi dhaifu linalopendelea chama kimoja, lazima migogoro ya nchi itatokea. Ukiwa na mifumo ambayo—kwa sababu hiyo...
Back
Top Bottom