john

  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mkakati wa uzushi dhidi VC wa CHADEMA Mh John Heche hapa JF unaongozwa na chawa wa CCM wa4 wana: Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Troll J na Dr wa Manesi

    Hawakosi kuposti thread hata kumi kwa siku zote zikimshambulia.. Hawa chawa Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, Dr wa Manesi, Retired, Troll J kwa mrengo wao na kujinasibu kwao hujitanabaisha kwa ujasiri na bila kificho kuwa ni wana CCM na watetezi wa Samia Suluhu Hassan wakiapa kuwa hata ikitokea...
  2. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi amvaa John Heche asema haogopi kufukuzwa

    Sakata la tuhuma za ufisadi wa John Heche limechukua sura mpya baada ya mwenyekiti wa Chama hicho wilaya ya kilindi kutamka hadharani kuwa John Heche awapishe na tuhuma zake za Ufisadi na haogopi kufukuzwa ndani ya Chama. ========== Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Mathias...
  3. instinct desire

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mtimueni John Heche labda mseme hakuna accountability ndani ya chama

    Kuna shutuma za rushwa na matumizi mabaya ya resources ndani ya chadema, viongozi wa juu wanashutumiwa kujineemesha na misaada kutoka kwa mabeberu na zile donation za mitaani. Heche anashutumiwa kwa ubadhirifu wa Hela za chama lakini bado tupo ofisini mpaka muda huu....hii ndo maana halisi ya...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hakuna namna John Heche anaweza kuchomoka kwenye hili

    https://www.youtube.com/live/oLQsox2lUog?si=CJFvGWpLngaSv3H9 Hebu msikilize kiongozi huyu wa chadema anavyojaribu kutetea matumizi binafsi ya pesa za chadema :1Head: Mungu Ibariki Tanzania
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Je, Kilichomkuta Salum Mwalimu CHAUMMA kumkuta na John Heche CHADEMA?

    Kwasababu ni wazi, kwamba sababu wanazotuhumiwa nazo zina fanana, ni zile zile tu za matumizi mabaya ya fedha za chama, matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama kwa matanuzi, maslahi na manufaa binafsi na familia zao. Je, tutegemee wimbi...
  6. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Ninaomba Rasmi niwe Mlinzi wa John Heche,Viongozi wa Chadema mkipata huu Ujumbe tafadhali sana naomba mumfikishie John Heche

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane! Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mtakaopitia huu Ujumbe,Tafadhali sana naomba mumfikishie Mh.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya kwamba ninaomba kwa ridhaa yangu mwenyewe niwe mmoja ya Walinzi wake...
  7. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi John Heche kumuacha Dereva wake kwenda kulala Chumba cha Sh. 3,000/=?

    Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Combo ya Tundu Lissu na John Heche kila Mtanzania sasa anaielewa na kuiishi kwa mustakabali na ustawi jumuishi wa nchi yetu pendwa Tanganyika

    Hawa magwiji wawili wa siasa na jopo lao la viongozi ndani ya CDM wamefanya CCM wote kuchanganyikiwa na kupoteza legitimacy mbele ya wananchi kwa zaidi ya asilimia 80. Ni ukweli usiopingika kwamba Chadema kwa sasa ndio chama kikuu cha siasa Tanzania na raia wanashauku na matumaini makubwa kwa...
  9. figganigga

    JamiiForums Tanzania John Heche: Sema Meritocracy society. Sema Nepotism

    Meritocracy society ni mfumo ambao watu hupata nafasi, madaraka, ajira, au mafanikio kutokana na uwezo, juhudi na vipaji, badala ya kutokana na familia wanayotoka, utajiri, ukabila, dini, au uhusiano wa kisiasa. Nepotism ni tabia ya kumpa ndugu, jamaa, au marafiki wa karibu upendeleo katika...
  10. Eronda

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda President Museveni Appoints Hon. Dr. John Chrysostom Muyingo as Acting Minister of Education and Sports

    Hon. Dr. John Chrysostom Muyingo President Yoweri Kaguta Museveni has appointed Hon. Dr. John Chrysostom Muyingo as Acting Minister of Education and Sports. The appointment takes immediate effect, according to an official State House press release issued today. The move comes under Article...
  11. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Heche: Mbunge analipwa per diem na allowance Tsh. 800,000 kwa siku, mshahara wa Tsh. 18 milioni kwa mwezi

    Duh, kama ni ukweli basi tumekwisha, kuna vitu hapa Tanzania ni bora usivijue tu, maana ukivijua utapata pressure ya bure, imagine nchi maskini, Raia wanashindwa kuafford vitu vya msingi, lakini kuna mtu mmoja pale bungeni anakunja zaidi ya mamilion, bunge la budget ni siku 90, laki nane kwa...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Uhuru wa Tanganyika uzungumzii waliofikisha ila unazungumzia Nyerere na Zanzibar swala Mapinduzi umzungumzii John Okello.Kwa nini?

    Kuna mzee hapa JF ni mzee wetu ana mchango mkubwa wa kutupa historia ya uhuru wa tanganyika na waliofikisha naombeni mtag. Ila kwa kuwa ndio wajanja wakatumia njia hiyo kuonesha wao hakuna utofauti kama ule wa mzee shayo na koyi mzungu. Ukija Zanzibar kuna jamaa alikwenda kufanya kipindi...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania John Heche: Jeshi la Polisi mrejesheni Ibrahim Myovela kwa familia yake

    https://www.youtube.com/live/Ex4phmqWLxY?si=-kvbHkryi4LV2ROJ Video: MATUKIO DAIMA MEDIA Makamu Mwenyekiti wa chama cha Demokrasi na maendeleo (Chadema) John Heche ametaka jeshi mkoa wa Iringa kusema wapi alipo aliyekuwa mwenyekiti wa Bavicha mkoa wa Iringa, Ibrahim Myovela anayedaiwa kutoweka...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania John Heche: Peter Msigwa atajitetea mwenyewe kwa wananchi

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema mwanasiasa Peter Msigwa, ambaye amerejea hivi karibuni ndani ya chama hicho atajitetea mwenyewe kwa wananchi kuhusu sababu na mazingira ya maamuzi yake ya kisiasa ya kuhama na kurejea CHADEMA. Akizungumza leo Juni 13, 2026, katika kipindi...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania John Heche amjibu Saada: Wazanzibari wanaoishi Tanganyika nao wanyimwe matibabu?

    Mambo yanazidi kuwa mengi.... Wazanzibari ni wabaguzi sana. Hawataki tumiliki ardhi Zanzibar, hawataki tufanyekazi Zanzibar, hawataki tutibiwe Zanzibar na mengine yanakuja soon. Anaandika John Heche Makamu Mkiti Chadema. ============== Huyu Saada Mkuya Salum amekua mbunge na waziri wa fedha...
  16. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na John Heche hayati JPM alikuwa serious kudhibiti uzembe na ufisadi. Na ninaongezea asingethubutu kutembea na mtoto kama tunavyoshuhudia

    Naona wanaChadema wameanza kukubaliana na mimi juu namna hayati Magufuli alivyokuwa shujaa na mpambanaji kuzuia uzembe na ufisadi. Kwanza asingeweza kwenda Urusi na na mtoto wake au delegation kubwa namna ile na kuharibu pesa za Watanganyika.
  17. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Jaji John Ruhangisa: Kwenye Katiba inayopendekezwa, askari hatakiwi kutekeleza amri ambayo sio halali

    Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Prof. John Ruhangisa, ametoa onyo kali kwa vyombo vya ulinzi na usalama, akisisitiza kuwa kwa mujibu wa misingi ya Katiba, askari yeyote hatakiwi kutekeleza amri kutoka kwa bosi au kiongozi wake ikiwa amri hiyo si halali. "Hata nilikuwa ukisoma Katiba...
  18. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Jaji John Ruhangisa: Wabunge wanapoongea bungeni, wanayoyaongea ni kweli wametumwa na wananchi?

    Yaani kwa alichokisema huyu baba kwenye hii video na kinachoendelea ni kwamba TANZANIA HATUNA BUNGE ----------------------------------- Aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Prof. John Ruhangisa, amesisitiza kuwa ni wajibu wa kisheria na kikatiba kwa wabunge kurudi kwa wananchi...
  19. Nyendo

    JamiiForums Tanzania John Heche:Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa inafanya kazi ya kuchochea machafuko

    Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa inafanya kazi ya kuchochea machafuko. Sisty Nyahoza aliekwenda kwa marehemu mama Komu na kumshawishi kusaini karatasi ya kufungua kesi ambayo ilifungia chama chetu kufanya kazi siku 309.. Madhara mengi walitaka kukifuta chama kupitia kesi hiyo ya Said Issa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania John Heche Anaweza: Kikwazo Chake ni Lissu

    Umofia wakuu... Katika ulimwengu tangu kale,jamii zote hupitia vipindi tofauti mara zote,Msosholojia Auguste Comte aliwahi kuzitaja kuwa ni metaphysical,religious na positive science. Hali hizo pia kwa wataalamu wa siasa na utawala tunakubaliana kuwa chadema imepitia vipindi hivyo tangu...
Back
Top Bottom