mieleka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. bless on

    JamiiForums Tanzania Mieleka ya WWE ni michezo ya kweli au ni movie live?

    Unakumbuka zama za utotoni tukibishana kuhusu John Cena au The Undertaker? Wengi tuliamini wanauana kweli. Lakini leo tuweke mihemko pembeni na tuseme ukweli mchungu: WWE sio mchezo wa mapigano halisi, ni tamthilia (movie) inayochezwa live jukwaani! Hapa kuna ukweli wa mchongo huu: 1. Kila...
  2. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Mke wa mwana mieleka wa WWE Jay Uso, Takecia Fatu, adai talaka, ataka mgao wa mali pasu kwa pasu pamoja na pesa za matunzo

    Wawili wao walioana mnamo mwaka 2014 kabla ya hapo walikuwa wachumba wa mda mrefu tangia wapo shuleni Takecia Fatu, adai talaka toka kwa mumewe huyo, akidai kuchoshwa na usaliti ambapo Jay Uso anadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwana mieleka mwenzake wa NXT, Jaida Parker Takecia Fatu...
  3. Damaso

    JamiiForums Tanzania Picha ya Chris Benoit baada ya kufanya mauaji ya Mke na mtoto wake

    Aliyekuwa nyota wa WWE Marehemu Chris Benoit anaonekana akipiga picha kwa ajili ya shabiki katika ofisi ya Dk Phil Astin mnamo Juni 22, 2007, kwa kuitazama watu walidhani ni vile Benoit ni mcheshi na anapenda sana mashabiki zake. Ila ajabu ni kuwa baadaye ilijulikana wakati anapiga picha hii...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu hutazama mieleka licha kujua ni mchezo bandia?

    Watu hutazama mieleka ingawa inachukuliwa kuwa "bandia" kwa sababu hutazamwa kama aina ya burudani, inayotoa hadithi za kuvutia, matukio ya kusisimua, maonyesho ya riadha na ukuzaji wa wahusika, sawa na filamu au kipindi cha televisheni, ambapo matokeo yameamuliwa mapema lakini utendajikazi na...
  5. nergomafioso

    JamiiForums Tanzania UFC na mieleka ni kwa ajili ya wazungu ngozi nyeusi tunatafutiana kesi hapo

    Inasemekana Mieleka ni maigizo yenye uhalisia🤨 Mzungu ameweza kuyaaminisha macho ya watazamaji kila kinachoonekana ni kweli😅 Wanatengeneza pesa ndefu sana kwa ile drama yao, Tatizo Lipi hapo kwa ndugu 👇🏾👇🏾zangu Africans wameamua waonteshe hatuwahi kushindwa na kitu chini ya hii🌍 SASA...
  6. W

    JamiiForums Tanzania John Cena Atangaza Kustaafu Kucheza Mieleka (WWE) Ifikapo 2025

    Mcheza mieleka na mwigizaji maarufu kutoka Marekani John Cena, ametangaza kustaafu kushiriki katika Mashindano ya Mieleka (WWE) wakati wa hafla ya WWE Money in the Bank iliyofanyika Canada tarehe Julai 6, 2024. John Cenna amesema atashiriki mashindano yake ya mwisho yatakuwa mwaka 2025 kama...
  7. mlinzi mlalafofofo

    JamiiForums Tanzania Je Wajua Mchezo wa Mieleka Uliwahi Kuwepo Hapa Nchini?

    Kijana wa leo akisikia mieleka anaweza kudhani ni mchezo unaochezwa tu huko marekani na akina John Cena, The Undertaker, CM Punk n.k. Nipo hapa kukujuza kuwa huo mchezo ulikuwa moja ya michezo maarufu hapa nchini miaka ya nyuma (hadi kufikia miaka ya tisini hivi). Mchezo ulichezwa kwenye...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Njoeni muone shetani kapigwa mieleka huku

  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania CRISTIANO RONALDO na JOHN CENA kuzichapa ngumi nchini Saudi Arabia

    MICHEZO: Kampuni inayojihusisha na michezo ya mieleka duniani maarufu kama "WWE" World Wrestling Entertainment ina mpango wa kuandaa pambano kati ya nyota wa klabu ya Al Nassr Cristiano Ronaldo dhidi ya nguli wa mchezo huo wa mieleka John Cena kama sehemu ya uzinduzi wa mashindano ya mieleka...
Back
Top Bottom