john

  1. Nipe Maji

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania SI KWELI Heche amesema yale hayakuwa maandamano bali uharibifu uliojificha kwenye maandamano

    Wakuu naomba kupata ukweli, hii kauli imetolewa na Heche?
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche azidiwa, akimbizwa hosptali ya taifa ya Muhimbili

    MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche, amekimbizwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili, jijini Dar es Salaam, baada ya hali yake ya kiafya kuripotiwa kudorora. Taarifa hizi, zimethibitishwa na mmoja wa wanafamilia wa mwanasiasa huyo. Anasema, Heche...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kocha Miguel Gamondi atangaza kikosi cha Stars, amrejesha Kelvin John kikosini

    Kaimu kocha mkuu wa Taifa Stars Miguel Gamondi ametangaza kikosi kitakachoingia kambini Oktoba 10 kwaajili ya maandalizi ya mechi ya kirafiki ya kalenda ya fifa dhidi ya Kuwait. Mchezo huo kati ya Tanzania na Kuwait utachezwa Oktoba 14 katika mji wa Cairo nchini Misri.
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Joh Makini: Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu

    Msanii wa muziki nchini Joh Makini ameungana na watanzania katika kipindi hiki kigumu "Pole yetu sote Watanzania lakini zaidi kwa ndugu jamaa na marafiki waliopoteza wapendwa wao Mwenyezi Mungu atufanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu".
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania John Heche kusitisha kula kuanzia leo akiwa mahabusu

    Katibu wa familia na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Mara, Mwalimu Chacha Heche, ametoa taarifa kuhusu hali ya kaka yake, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara, John Heche, ambaye kwa siku 13 sasa amekuwa mikononi mwa Jeshi la Polisi, katika mahabusu ya Mtumba, Dodoma. Kupitia taarifa hiyo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Day 14: John Heche ahamishwa kituo cha Polisi, haijulikani anapelekwa wapi

    Leo, 04 Novemba 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alichukuliwa mahabusu ya Polisi kuwa anahitajika kwa RPC Dodoma. Heche amechukuliwa huku mke wake akishuhudia akiwa na Katibu wa Kanda ya Kati (CHADEMA) Bi ashura Masoud. Walijaribu kuongozana na gari la Polisi lakini magari hayo...
  7. simplemind

    JamiiForums Tanzania Je, Jerry John Rawlings Aliimarisha au Kudhoofisha Demokrasia ya Ghana?

    Jerry John Rawlings anabaki kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri na wenye utata mkubwa katika historia ya kisasa ya Ghana. Uongozi wake ulidumu kwa zaidi ya miongo miwili — kuanzia utawala wa kijeshi hadi mfumo wa vyama vingi. Swali la kama aliimarisha au alidhoofisha demokrasia ya Ghana linaweza...
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania Familia John Heche yasema, haiko tayari kuona ndugu yao akipoteza maisha bila sababu ya msingi kwa sababu ndugu yao hana makosa

    Polisi polisi na Serikali ya Samia mbona mnazidi kutengeneza chuki zaidi kwa Watanzania, Hivi hivi utasikia Heche haonekani tena au kafungulia kesi nzito ilimradi tu wahodhfishe CHADEMA. Hii si sawa. ================== Wakati Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikihoji alipo Makamu...
  9. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Tarime wamchukua Makamu Mwenyekiti John Heche kwa usalama zaidi

    Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga alikuwa rafiki wa mwanaCCM John Pombe Magufuli sio Heche wala Lissu

    Tusitafute kiki bila mpangilio. Kwenye uchaguzi wa 2015 CHADEMA iliwahi kulalamika kumuona Raila Odinga anamuendorse Magufuli kwenye kuwania urais . Hii kiki ya makamu mwenyekiti wa chadema kulilia kwenda kumzika Odinga ni unafiki wa hali ya juu.
  11. Yoda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Trump aendelea kuwatia nyavuni wakosoaji wake, John Bolton ashitakiwa kwa makosa ya ujasusi na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri

    Balozi John Bolton aliyekuwa mshauri wa masuala ya ulinzi wa Trump kabla ya kutofautiana pakubwa na kugeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Trump na utawala wake ameshitakiwa kwa makosa mazitio yanayohusu ujasusi dhidi ya nchi, umilikaji na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri za serikali.
  12. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Tata John Heche hakikisha unaendelea kuwachanganya wasijue unapolala

    Kama kuna mtu muhimu kwasasa basi ni wewe. Endelea kuchukua tahadhari na kuendelea kuwachanganya!
  13. Richard

    JamiiForums Tanzania Kapteni John Tesha ni chambo tu ila kumtuma kanali Mlunga akaimu nafasi ya msemaji wa JWTZ badala ya luteni kanali Ilunda yafikirisha

    Kapteni John Tesha ambae ni mkufunzi (Instructor) wa wanafunzi wa kurusha ndege za kivita kajitokeza akisema alosema. Mengi alosema Kapteni Tesha yamezungumzwa pia na aliekuwa balozi wa Tanzania nchini Cuba (Kuba) balozi Humphrey Polepole. Kama ni kweli huyo ni Kapteni Tesha basi na ni kweli...
  14. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 John Mnyika: Said Mohamed ametoa madai ya Uongo, Tunasubiri uamuzi ya Jaji Septemba 29, 2025

    Leo Septemba 26, 2025 Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa kauli kufuatia madai ya aliyekuwa Makamu Mwenyekiti Zanzibar Said Issa Mohammed kuwa ni ya uongo, hii ikiwa ni muendelezo wa Kesi ya Mgawanyo wa Mali CHADEMA ambayo itasikilizwa tena...
  15. sonofobia

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wananchi mnachukuliaje kocha kuwaamnini Andambwile na Edmund John

    Najua Yanga wengi walikuwa na kikosi chao kichwani. Mara kocha mpya kaja na selection yake ambayo haikutegemewa. Edmund John Aziz Andambwile Leo wamecheza vizuri wote lakini bado hatujawaona mechi kubwa zenye presha. Vipi wananchi mmewaonaje awa mastaa wapya? Ni wa kuwategema kuvusha team?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Watoto wa captain John Komba na nyimbo za baba Yao za kuudhihaki upinzani!! Kweli hakuna aijuae kesho yake!!

    Kweli tusiichezee Dunia!? John Komba wakati anaimba nyimbo za kuwatukana na kuwazodoa wapinzani hakikua nn kitaikuta familia yake,akidhani hiyo ndio Dunia atakayoishi yeye na familia yake!!! !! Naomba hili liwe fundisho!! Wewe ua Teka lakin Saa yaja!! " Nawavimbe wapasuke,waacheni waandamane...
  17. USSR

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kishindo cha Balozi Dkt Emanueli John Nchimbi na Eng Ezra John Chiwelesa kinasubiliwa kwa hamu kubwa Biharamulo 6/9/2025

    Wanabiharamulo na wananchi wote wa Mkoa wa Kagera mnaalikwa kushiriki kwa wingi katika mkutano mkubwa wa hadhara tarehe 6/9/2025 katika Uwanja wa Mpira wa CCM Biharamulo Mjini. Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Balozi Dkt. Emanueli John Nchimbi, atapanda jukwaani...
  18. M

    JamiiForums Tanzania John Cheyo aliwahi kupata kura Moja kwenye kata yake wakati ana familia ya watu zaidi ya 59 ikiwemo make na watoto,CCM wizi haikuanza leo

    Wananzengo mliokuwepo miaka hiyo mnaikumbuka hili kituko Cheyo aliibiwa kura mpaka akabaki kushangaa,kidogo ndoa ife,Ina maana make na watoto walimpigia mpinzani? Jibu No,kura ziliibwa🥴
  19. Melubo Letema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rogath John Stephen Akhwari Rais Mpya RT

    Kocha Rogath John Stephen Akhwari Ashinda urais wa shirikisho la riadha Tanzania -RT kwa kura 27 na kumbwaga mpinzani wake Nsolo Malongo Mlozi aliyepata kura 20. Mpinzani wake baada ya kushindwa aliandika hivi kwenye mitandao ya kijamii " Kura hazikutosha kushinda, nimeshika nafasi ya 2 (kura...
  20. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Edmund John aliyesajiliwa Yanga ni mchezaji hatari sana, nimeumia kusajiliwa Yanga

    Kama makocha wetu wangekuwa na uwezo wa kutambua vipaji basi kiungo wa pembeni Edmund John ni namba moja, dogo anajua sana boli, awali alipokuwa Singida nilidhan ni mchezaji wa kigeni lkn baadae nikaambiwa ni mbongo. Sipepesi macho, kwa sasa Tanzania ukimuondoa Kibbu Dennis, anayefuatia upande...
Back
Top Bottom