chuo

  1. BARD AI

    Vyuo Vikuu 2 vya Tanzania ndani ya Top 10 kwa Ubora wa Elimu Kusini mwa Jangwa la Sahara. UDSM haimo

    Ni Vyuo Vikuu maarufu zaidi barani Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara? Vigezo vifuatavyo vya uteuzi: Kukodishwa, kupewa Leseni au Kuidhinishwa na Shirika linalotambulika linalohusiana na Elimu ya Juu katika kila nchi. Kutoa angalau Digrii za miaka mitatu au Digrii za Uzamili au za Udaktari...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Licha ya kuambiwa chuo kuna watoto wakali. Lakini kuna Watu walimaliza chuo bila kupata demu yeyote

    Kwema Wakuu! Wakati tunakua moja ya mambo yaliyotupa hamasa ya kusoma mpaka kufika chuo ni stori za kuwa chuo kuna watoto wazuri alafu kuna Uhuru. Ni kweli. Tuliofika chuo kikuu hasa vyuo vyenye wanafunzi wengi tulijionea maua ya Dunia. Kulikuwa na warembo wa kila namna. Mimi ndoto yangu...
  3. Swahili_Patriot

    Zaidi ya %80 ya watanzania hawajafika chuo kikuu?

    Tukitumia evidence ya maoni ya WATANZANIA kwenye threads za Jamii forums na social platforms nyingine kama Facebook, IG nk, ni dhahiri kuwa Tanzania kama taifa, inabidi tubadilishiwe mfumo wetu wa elimu na tununue nguvu kazi kutoka nchi zilizopiga hatua kielimu waje kufundisha kwenye shule zetu...
  4. MK254

    Mhadhiri/lecturer wa chuo aliyejiunga Alshabaab, magaidi yenye mlengo wa dini

    Ni aibu sana kwamba hata ilmu ya dunia haiwakomboi mazombi wa kidini... https://twitter.com/ntvkenya/status/1756679714809205215
  5. conductor

    Mzumbe University, Mwalimu anapewa kazi ya kwenda ku-assess wanafunzi field lakini halipwi

    Staff na alumni wenzangu hili vipi? Tutumie nyenzo ipi kueleweka? Kwanini basi VCs kwenye vyuo hawalalamiki hali ya vyuo vya serikali sasa hivi?! Acha niongelee chuo kinachonihusu. Mzumbe University. Mwalimu anapewa kazi ya kwenda ku assess wanafunzi field, ratiba ikimtaka kuwa eneo la tukio...
  6. F

    Jumla ya ada ya kusoma degree ya udaktari katika chuo kikuu cha Kairuki kwa miaka yote mitano ni milioni 32, swali langu is it worth it ?

    Jumla ya Ada kwa Miaka yote mitano: 32,769,250 Tukumbuke hiyo ni ada tu haijajumlisha gharama za chakula, hostel, stationary, na mengineyo Swali langu kwa mliosoma ama kusomesha watoto wenu degree ya udaktari Kairuki Is it worth it ?
  7. Meneja Wa Makampuni

    Nilijiunga masters ili nimsomeshe mdogo wangu chuo

    Nilijiunga na masomo ya uzamili ili nimsomeshe mdogo wangu chuo. Hiki ni kisa cha kweli kilichonitokea mara tu baada ya kupata kazi katika Shirika fulani hapa nchini. Tangu zamani, ndoto yangu kubwa ilikuwa ni kusoma nje ya nchi kwa scholarship. Mara tu baada ya kuhitimu masomo yangu ya...
  8. Meneja Wa Makampuni

    Kisa cha kweli: Niliacha kazi nikajiunga masters ili nimsomeshe mdogo wangu chuo

    Kisa cha kweli: Niliacha kazi nikajiunga masters ili nimsomeshe mdogo wangu chuo Hiki ni kisa cha kweli ilinitokea mara tu baada ya kupata kazi katika Shirika fulani hapa nchini. Tangu zamani ndoto yangu kubwa ilikua ni kusoma nje ya nchi kwa scholarship. Mara tu baada ya kuhitimu masomo yangu...
  9. K

    Natafuta Chuo bora sana Cha ufundi cha private

    Wadau, Nina watoto wamejaribu kufanya mitihani ili waingie veta lakini ni shida ni na nafasi chache sana kuliko wanaoomba. Hivyo nafikilia kuwasupport waende private VETA. Je, ni chuo kipi Bora cha ufundi mnachokifahamu ukimpeleka mtoto miaka miwili anatoka na ujuzi wa kujiajiri. Asante kwa...
  10. D

    Chuo kikuu Ardhi na adha ya maji

    Chuo kikuu Ardhi Dar es salaam kuna changamoto kubwa ya maji ambayo hayatoki katika hostel za kike na kiume. Wanawake wanateseka sana wanaingia siku zao lakini maji hakuna na waziri anajitahid kufuatilia changamoto inakua ni kwa wakubwa kutekeleza. Hostel za wanaume Zina wakazi zaidi ya 300 na...
  11. M

    Chuo cha TIA kwanini mnawatia wazazi na wanafunzi hasara?

    Kuna baadhi ya wanafunzi wa Bachelor's walichaguliwa kujiunga na chuo mwaka jana wakapokelewa chuoni na wazazi wakalazimishwa kulipa 60% ya ada halafu sasa hivi wazazi wanapigiwa simu na kuambiwa watoto wao hawana sifa za kuendelea na masomo, huo ni uhuni chuo kimefanya na haijulikani kama fedha...
  12. S

    Sadio Mane amruhusu mkewe kwenda kusoma chuo, siku chache tu baada ya ndoa. Tumwambie au tumwache?

    Anachokifanya Sadio Mane kwa mkewe kinaweza kumgharimu sana. Maana dunia hii ni tambara bovu, linaweza kuchanika mahala asipotarajia. Eti kamruhusu mkewe aende chuo akaendelee na masomo ili hali wamefunga ndoa hivi majuzi tu. Na mke hana mimba wala nini. . Vyuoni kuna wakware waliopinda...
  13. Inyasi Priscusi

    Chuo kinachotoa certificate in Biomedical engineering

    Kama kichwa cha mada kinavyoeleza,naombeni wanajukwaa mnifahamishe chuo gani kinatoa certificate ya hiyo course na fee structure imekaa je?. Asanteni
  14. A

    Msaada location chuo cha Uandishi wa habari Mbeya

    Naomba kujuzwa kinapopatikana chuo ambacho kinatoa kozi ya Uandishi wa habari kwa maeneo ya Mbeya mjini.
  15. Jamii Opportunities

    Fursa ya Masomo ngazi ya Umahiri Chuo Kikuu Tsukuba Japan, 2024

    TAARISA YA FURSA YA MASOMO NGAZI YA UMAHIRI, PROGRAMU YA SERA YA UMMA NA UCHUMI KATIKA CHUO KIKUU TSUKUBA NCHINI JAPAN Ubalozi umepokea taarifa kutoka Chuo Kikuu Tsukuba kilichopo nchini Japan kuhusu fursa za mazomo ngazi ya Umahiri, Programu ya Sera ya Umma na Uchumi kwa Mwaka wa Masomo 2024 –...
  16. BAKIIF Islamic

    Elimu ya dini iwekewe mkazo mashuleni na iwe ni somo la lazima kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu

    Maadili hutoa maana au muundo dhahiri wa maisha ya mwanaadamu, Maadili ni kanuni fulani za msingi ambazo zinapaswa kushikiliwa katika maisha. Maisha ya kuishi bila maadili hatimaye mtu ataishia kuhisi kutoridhika, kuhisi mwenye hatia na huzuni. Kama mtoto asipolelewa bila sheria ni haraka zaidi...
  17. A

    DOKEZO Kimara mwisho njia ya kuelekea Matosa imekuwa kero baada ya kutomaliza maboresho ya daraja lililopo nyuma ya chuo

    Na kusababish kero kubwa kwa wananchi ni bora hata wangeliacha lilelile daraja la mwanzo kwani ni kero tu hakuna matengenezo yyte yanayoendelea na njia imefungwa. Rais na mbunge wa Ubungo liangalie hili kwa jicho la tatu TUNATESEKA
  18. Stephano Mgendanyi

    MNEC ASAS Achangia Shilingi Milioni 15 Ujenzi wa Bweni la Chuo Kikuu cha Iringa

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduz (MNEC) na Mfanyabiashara wa Makampuni ya ASAS, Salim Abri Asas amechangia zaidi ya Tsh. milioni 15 kwa ajili ya ujenzi wa bweni la Wanafunzi wa Chuko Kikuu cha Iringa lenye uwezo wa kuchukua Wanafunzi zaidi ya 40 kama sehemu ya kuunga mkono...
  19. sky soldier

    Taabu za kusomea vyuo private ama vya makanisa/misikiti, ni heri usomee chuo cha serikali kwa hapa Tanzania.

    - Wifi internet ni tatizo, vyuo kibao hata free wifi haipo na kama ipo kuipata access yake ni shughuli ama ipo slow sana, kwa vyuo vya serikali angalau ttcl nayo ni taasisi ya serikali huwa wanajitahidi kuwasambazia, - Umeme ukikatika vyuo private ni wao wenyewe wayajitegemea kwenye mafuta...
  20. Nyani Ngabu

    Rais wa Harvard University ajiuzulu kutokana na Plagiarism iliyobainika kwenye machapisho yake

    Hii ni baada ya kugundulika kuwa kwenye baadhi ya machapisho yake, alinyakua maandiko ya wengine bila kuweka bayana alikoyatoa, na hivyo kuleta taswira ya uongo kwamba ni maneno yake [plagiarism]. Haya yote yalijitokeza baada ya yeye Bi. Gay na marais wengine wawili wa vyuo vya Ivy League...
Back
Top Bottom