didy muhenga
Member
- Nov 8, 2022
- 8
- 5
Chuo kikuu Ardhi Dar es salaam kuna changamoto kubwa ya maji ambayo hayatoki katika hostel za kike na kiume.
Wanawake wanateseka sana wanaingia siku zao lakini maji hakuna na waziri anajitahid kufuatilia changamoto inakua ni kwa wakubwa kutekeleza.
Hostel za wanaume Zina wakazi zaidi ya 300 na za wanawake makongo Zina wanawake zaid ya 589 na bado hostel za wanawake ndani pia hadi hostel za wanazokaa foreigners na watu wa masters maji hakuna.
Ni mtihani kwakweli, chanzo ni pump zimeharibika zaidi ya miezi hakuna matengenezo. Hostel za wanawake makongo hazina hata furniture kwa hiyo wanafunzi hawawezi kusomea hostel mpaka waje chuo na wanarudi usiku sana na bado jengo lilifunguliwa na viongozi hakuna sewage system ya kueleweka ndo maana walishtakiwa🙄.
Maji ni uhai bhana.