Mzumbe University, Mwalimu anapewa kazi ya kwenda ku-assess wanafunzi field lakini halipwi

conductor

JF-Expert Member
May 29, 2013
733
587
Staff na alumni wenzangu hili vipi? Tutumie nyenzo ipi kueleweka?

Kwanini basi VCs kwenye vyuo hawalalamiki hali ya vyuo vya serikali sasa hivi?! Acha niongelee chuo kinachonihusu. Mzumbe University. Mwalimu anapewa kazi ya kwenda ku assess wanafunzi field, ratiba ikimtaka kuwa eneo la tukio mwezi wa December. Ila chuo kinashindwa mlipa mwalimu kufanya huo mzunguko na hatimae mwalimu kushindwa kwenda na mwanafunzi kushindwa kupata haki yake ya kutembelewa.

Je, ni serikali imeshindwa leta pesa vyuoni? Je ni wanafunzi wameanza kusoma bure? Hawalipi?

Swala la pili. Mwalimu anasimamia wanafunzi 20 research zao kwa kipindi cha semester nzima na kuhakikisha wanafikia malengo yao. Mwalimu huyo halipwi stahiki ya usimamizi huo. VC anaangalia hasemi neno, anachosisitiza ni quality, quality itatoka wapi kwa aina hii ya treatment.

Sasa tumechoka na tuna maswali. Kuna nini vyuoni nikisisitiza Mzumbe University to be specific.

Wasimamia vyuo haswa TCU nendeni Mzumbe makao makuu na waulizeni tatizo liko wapi. Hii imejirudia mfulilizo kwa miaka mitano. Tukiendelea kuwa wakweli, wakubwa wa hivi vyuo au tuseme Mzumbe hawana tofauti na mawaziri, wanazurura tu na V8 za serikali kupita campuses kuangalia quality huku hawalipi walimu stahiki zao.

Tunahitaji solution.

image_d4dac0ed-217a-45f1-b507-8a1286757ad320230915_223837.jpg
 
Mkuu hali ni mbaya sana kote sio vyuoni tu hata kwenye taasisi nyingi kujiendesha imekuwa kazi sana sijui tunapoelekea kwa kweli nasikia skia wanasema eti uchaguzi ndo chanzo hivi ni kweli?
 
Staff na alumni wenzangu hili vipi? Tutumie nyenzo ipi kueleweka?

Kwanini basi VCs kwenye vyuo hawalalamiki hali ya vyuo vya serikali sasa hivi?! Acha niongelee chuo kinachonihusu. Mzumbe University. Mwalimu anapewa kazi ya kwenda ku assess wanafunzi field, ratiba ikimtaka kuwa eneo la tukio mwezi wa December. Ila chuo kinashindwa mlipa mwalimu kufanya huo mzunguko na hatimae mwalimu kushindwa kwenda na mwanafunzi kushindwa kupata haki yake ya kutembelewa.

Je, ni serikali imeshindwa leta pesa vyuoni? Je ni wanafunzi wameanza kusoma bure? Hawalipi?

Swala la pili. Mwalimu anasimamia wanafunzi 20 research zao kwa kipindi cha semester nzima na kuhakikisha wanafikia malengo yao. Mwalimu huyo halipwi stahiki ya usimamizi huo. VC anaangalia hasemi neno, anachosisitiza ni quality, quality itatoka wapi kwa aina hii ya treatment.

Sasa tumechoka na tuna maswali. Kuna nini vyuoni nikisisitiza Mzumbe University to be specific.

Wasimamia vyuo haswa TCU nendeni Mzumbe makao makuu na waulizeni tatizo liko wapi. Hii imejirudia mfulilizo kwa miaka mitano. Tukiendelea kuwa wakweli, wakubwa wa hivi vyuo au tuseme Mzumbe hawana tofauti na mawaziri, wanazurura tu na V8 za serikali kupita campuses kuangalia quality huku hawalipi walimu stahiki zao.

Tunahitaji solution.

View attachment 2897504
Daah mpaka vyuoni mna matatizo kumbe?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Pesa zinalipia ziara ya mwenezi mikoani

Hamkuona ile miburungutu ya pesa aliyomlipa yule jamaa aliyecharangwa mapanga kwa kuvamia shamba la mwekezaji kule rukwa.

Alisema posho yake ya siku atampa yeye.
 
Staff na alumni wenzangu hili vipi? Tutumie nyenzo ipi kueleweka?

Kwanini basi VCs kwenye vyuo hawalalamiki hali ya vyuo vya serikali sasa hivi?! Acha niongelee chuo kinachonihusu. Mzumbe University. Mwalimu anapewa kazi ya kwenda ku assess wanafunzi field, ratiba ikimtaka kuwa eneo la tukio mwezi wa December. Ila chuo kinashindwa mlipa mwalimu kufanya huo mzunguko na hatimae mwalimu kushindwa kwenda na mwanafunzi kushindwa kupata haki yake ya kutembelewa.

Je, ni serikali imeshindwa leta pesa vyuoni? Je ni wanafunzi wameanza kusoma bure? Hawalipi?

Swala la pili. Mwalimu anasimamia wanafunzi 20 research zao kwa kipindi cha semester nzima na kuhakikisha wanafikia malengo yao. Mwalimu huyo halipwi stahiki ya usimamizi huo. VC anaangalia hasemi neno, anachosisitiza ni quality, quality itatoka wapi kwa aina hii ya treatment.

Sasa tumechoka na tuna maswali. Kuna nini vyuoni nikisisitiza Mzumbe University to be specific.

Wasimamia vyuo haswa TCU nendeni Mzumbe makao makuu na waulizeni tatizo liko wapi. Hii imejirudia mfulilizo kwa miaka mitano. Tukiendelea kuwa wakweli, wakubwa wa hivi vyuo au tuseme Mzumbe hawana tofauti na mawaziri, wanazurura tu na V8 za serikali kupita campuses kuangalia quality huku hawalipi walimu stahiki zao.

Tunahitaji solution.

View attachment 2897504
Hii ni Trade Union Issue. Nakushauri upele kwenye chama cha wafanyakazi mukali address. Kama mutali handle nje ya mfumo wa grievance procedure, inaweza ikawa cost mukaonekana mna

Kusimamia field siyo privilege bali ni necessity. Kila mwanafunzi lazima aende na lazima afanyiwe assessment na Lecturer husika. Naye Lecturer lazima alipwe stahiki zake kwa kazi hiyo
 
Staff na alumni wenzangu hili vipi? Tutumie nyenzo ipi kueleweka?

Kwanini basi VCs kwenye vyuo hawalalamiki hali ya vyuo vya serikali sasa hivi?! Acha niongelee chuo kinachonihusu. Mzumbe University. Mwalimu anapewa kazi ya kwenda ku assess wanafunzi field, ratiba ikimtaka kuwa eneo la tukio mwezi wa December. Ila chuo kinashindwa mlipa mwalimu kufanya huo mzunguko na hatimae mwalimu kushindwa kwenda na mwanafunzi kushindwa kupata haki yake ya kutembelewa.

Je, ni serikali imeshindwa leta pesa vyuoni? Je ni wanafunzi wameanza kusoma bure? Hawalipi?

Swala la pili. Mwalimu anasimamia wanafunzi 20 research zao kwa kipindi cha semester nzima na kuhakikisha wanafikia malengo yao. Mwalimu huyo halipwi stahiki ya usimamizi huo. VC anaangalia hasemi neno, anachosisitiza ni quality, quality itatoka wapi kwa aina hii ya treatment.

Sasa tumechoka na tuna maswali. Kuna nini vyuoni nikisisitiza Mzumbe University to be specific.

Wasimamia vyuo haswa TCU nendeni Mzumbe makao makuu na waulizeni tatizo liko wapi. Hii imejirudia mfulilizo kwa miaka mitano. Tukiendelea kuwa wakweli, wakubwa wa hivi vyuo au tuseme Mzumbe hawana tofauti na mawaziri, wanazurura tu na V8 za serikali kupita campuses kuangalia quality huku hawalipi walimu stahiki zao.

Tunahitaji solution.

View attachment 2897504
Tatizo la kwanza ni mama Kizimkazi.
 
My University a.k.a MU (Military University)pole kwa changamoto uliyokutana nayo nikutie moyo kazi yenu ni njema mno na mnaandaa watalaam haswa wa fani ya elimu
Fikisha Salam zangu kwa
Harun Machumu,Okoa,Mustapha,n.k
 
Staff na alumni wenzangu hili vipi? Tutumie nyenzo ipi kueleweka?

Kwanini basi VCs kwenye vyuo hawalalamiki hali ya vyuo vya serikali sasa hivi?! Acha niongelee chuo kinachonihusu. Mzumbe University. Mwalimu anapewa kazi ya kwenda ku assess wanafunzi field, ratiba ikimtaka kuwa eneo la tukio mwezi wa December. Ila chuo kinashindwa mlipa mwalimu kufanya huo mzunguko na hatimae mwalimu kushindwa kwenda na mwanafunzi kushindwa kupata haki yake ya kutembelewa.

Je, ni serikali imeshindwa leta pesa vyuoni? Je ni wanafunzi wameanza kusoma bure? Hawalipi?

Swala la pili. Mwalimu anasimamia wanafunzi 20 research zao kwa kipindi cha semester nzima na kuhakikisha wanafikia malengo yao. Mwalimu huyo halipwi stahiki ya usimamizi huo. VC anaangalia hasemi neno, anachosisitiza ni quality, quality itatoka wapi kwa aina hii ya treatment.

Sasa tumechoka na tuna maswali. Kuna nini vyuoni nikisisitiza Mzumbe University to be specific.

Wasimamia vyuo haswa TCU nendeni Mzumbe makao makuu na waulizeni tatizo liko wapi. Hii imejirudia mfulilizo kwa miaka mitano. Tukiendelea kuwa wakweli, wakubwa wa hivi vyuo au tuseme Mzumbe hawana tofauti na mawaziri, wanazurura tu na V8 za serikali kupita campuses kuangalia quality huku hawalipi walimu stahiki zao.

Tunahitaji solution.

View attachment 2897504
Mkuu mimi mwenyewe natarajia kuhamia huko chuo kikuu kama Technical Staff. Vipi maokoto yakoje nje ya salary?
 
Back
Top Bottom