degree

An academic degree is a qualification awarded to students upon successful completion of a course of study in higher education, usually at a college or university. These institutions commonly offer degrees at various levels, usually including bachelor's, master's and doctorates, often alongside other academic certificates and professional degrees. The most common undergraduate degree is the bachelor's degree, although in some countries there are lower level higher education qualifications that are also titled degrees (e.g. associate degrees and foundation degrees).

View More On Wikipedia.org
  1. E

    JamiiForums Tanzania Bachelor of Nutrition and Catering with Education ya Sokoine inahusu nini?

    Habari ndugu zangu nilikua nauliza kuhusu bachelor degree of nutrition and catering with education iliyoanza kutoka chuo Cha sokoine inahusu nini?
  2. H

    JamiiForums Tanzania HOJA Tunaomba mamlaka husika kuangalia uwezekano wa kuongeza idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa MUHAS kozi ya Nurse Anaesthesia

    Habari za muda huu. Tunaomba Serikali na mamlaka husika, hususan Muhimbili University of Health and Allied Sciences (MUHAS), kuangalia uwezekano wa kuongeza idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa katika kozi ya Bachelor of Science in Nurse Anaesthesia. Kozi hii imekuwa na mahitaji makubwa, hasa kwa...
  3. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais kuna course za degree zitafutwa, nyingine zitahamishiwa masters, nyingine zitapunguzwa idadi ya wanafunzi, na nyingine kuungwanishwa

    Kwa sahivi kuna lundo la course zinatolewa ambazo hazina tija na nyingi zinatakiwa kufutwa, zinatakiwa zihamishiwe kwenye masters na phd sababu ni kama zinatolewa na vyuo kwa ajili ya kupata faida na huku wanafunzi akihitimu anakua na nafasi ndogo sana ya kupata ajira, nyingine zitapunguzwa...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa maishani mwako degree(s) yako imechangia mafanikio yako kwa asilimia ngapi?

    “Change is the end result of all true learning.” — Leo Buscaglia
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) kitatoa lini fedha za ‘refund’ tumesubiri tangu Mwaka 2024

    Ninayo heshima kuwasilisha kero yangu kuhusiana na ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za ada nilizolipa kabla ya kupata mkopo wa elimu ya juu. Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (Mbeya University of Science and Technology - MUST) wa Mwaka 2024. Kutokana na kuchelewa...
  6. hydroxo

    JamiiForums Tanzania Messi kutunukiwa degree ya heshima na chuo kikuu cha Buenos Aires.

    Kweli dunia haiko fair. Wakati goti wa kuvundika anafurushwa timu ya taifa kwa dharau the real GOAT Lionel Messi(LM10) anapewa degree ya heshima na chuo kikuu cha Aeres Buenos kama utambuzi wa mchango wake mkubwa katika soka la Argentina na dunia kwa ujumla. Nadhani mafuta yanaanza kujitenga...
  7. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kufanya harusi na mwanamke aliyemeza mikia mingi ni kujichoresha na kujizima data

    KUFANYA HARUSI NA MWANAMKE ALIYEMEZA MIKIA MINGI NI KUJICHORESHA NA KUJIZIMA DATA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. ANGALIZO; Mada hii sio nzuri kwa watu ambao hawana bikira na hawajaolewa. Na pia waliooa ambao wanawake wasio bikira. Na vijana wenye wachumba ambao hawakuwakuta bikira...
  8. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JKUAT Yakanusha Degree ya Mbunge Didmus Barasa: Iliingiaje Parliament na EBK Records?

    Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology (JKUAT) imesema Kimilili MP Didmus Barasa hakuwa mwanafunzi wake, na certificate inayodai kuwa Bachelor of Electrical and Electronic Engineering kutoka chuo hicho ni “NOT GENUINE.” Katika barua ya Septemba 14, 2026 kwa COFEK, Registrar Dr...
  9. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Dada ni mzuri, amesoma ana degree. Ila hana akili

    Imagine asubuhi hii ananitumia msg kuwa nimpe lift kwenda kazini gari lake limekufa battery. Anaishi wapi? Yeye anaishi Tabata Kifulu. Ofisi zake zipo Posta Town. Mimi naishi Mbezi Makonde ofisi zangu zipo Mikocheni. Haoni aibu na yupo serious ananiuliza umeshatoka home. Namwambia bado...
  10. V

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Stationery na uzoefu nayo zaidi ya miaka 5 Niko Mwanza

    Habar za wakati huu, Samahan Mimi ni Kijana mchapakazi na muaminifu. Niko Mwanza nina miaka 30. Natafuta kazi yoyote ya halali, Nina ujuzi mkubwa wa kutumia computer pamoja na ufundi upande wa software. Pia na ujuzi wa kazi za Stationery mambo ya online application, kazi, mikopo ya wanafunzi...
  11. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Miaka 26 sina nachomiliki zaidi Bachelor Degree valid traveling passport, Driving License class D. NATOKAJE

    Suruali mbili shati mbili boxer 3 vest 2 begi moja na smartphone Nahisi kupoteza Dira Wakuuu natokaje?
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Degree Si Lazima 2027? IEBC Yafafanua Nani Anaweza Kuwania Kiti

    Kamishna wa IEBC Ann Nderitu amesema kuwa kwa sasa hakuna sharti la jumla linalomtaka aspirant kuwa na degree ili kuwania nafasi hizo katika Uchaguzi Mkuu wa 2027. Ufafanuzi huo unatokana na maamuzi ya mahakama yaliyobatilisha baadhi ya vifungu vya Section 22 of the Elections Act vilivyoweka...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Malalamiko ya Walimu wenye astashahada na baadaye kusoma Shahada kuambiwa ni Overqualified

    Sisi walimu tuliomaliza mafunzo ya ualimu ngazi ya Astashahada miaka iliyopita, baadaye tukaamua kujiendeleza hadi ngazi ya Shahada, tunaomba ufafanuzi kuhusu changamoto inayotukabili katika ajira. Tulishiriki usaili kwa kutumia vyeti vyetu vya Astashahada, lakini wakati wa upangaji wa ajira...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba serikali ianzishe programu wenye degrees hawajapata ajira warudi shule kwa degree ya pili,na wapewe mikopo kama kawaida

    Kuna vijana wengi mitaani wanasubiri ajira lakini hakuna ajira ,ili waendelee kusubiri lazma tutafute utaratibu wa kuwakopesha kwa degree ya pili hii itaondoa vijana tegemezi kwenye familia zetu,maama hawana KAZI ya kufanya wanakula ugari tu
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kazi za Afisa Ardhi daraja la II zimetangazwa na degree ya Sheria imetajwa kama moja taaluma zinazohitajika lakini kwenye Ajira Portal huwezi omba

  16. idiomer

    JamiiForums Tanzania What to consider when applying for a college degree 2026?

    What to Consider Before Applying for a Degree Programme 2026 1. Know Your Form Six Subject Combination Your Advanced Level subject combination determines the degree programmes you are eligible to apply for. For example, PCB students may pursue Medicine, Pharmacy, Medical Laboratory Science, and...
  17. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na degree ya Patrobas Katambi. Kwenye Penal code hakuna kifungu kinachokataza ukahaba

    Yeye anajinasibu kuwa ni mjuvi wa mambo ya sheria. Na anadegree ya sheria toka SAUT. Lakini kwa mahojiano aliyofanya na mwandishi mmoja wa habari. Kwanza anajikanyaga kanyaga. Hajui vifungu ni aibu tupu.
  18. Gospel KTV

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Drilling Fluids Specialist, Bachelor's Degree or Diploma in Petroleum Chemistry, Petroleum Engineering, or a related technical field

    We Are Hiring!! Job Opportunity: Drilling Fluids Specialist Availability: Immediate Joiner Employment Type: Full-Time Note: Immediate availability required Oil & Gas field experience is mandatory Job Description: We are seeking an experienced Drilling Fluids Specialist to support drilling...
  19. Sprouts pre School

    JamiiForums Tanzania Degree ngumu kusoma hapa Tanzania

    Na hizi ndo bachelor degrees zinazohitaji uwezo mkubwa wa kufikiri na akili nyingi zaidi duniani 1. Bachelor of Medicine and Bachelor of Surgery (MBBS) – Udaktari Masomo mengi, muda mrefu wa kusoma, na mafunzo ya hospitali. 2. Bachelor of Aerospace Engineering – Uhandisi wa Anga Inahitaji...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Jamani naomba ushauri nimesoma form six PCM kwa ufaulu wa EED kuna watu wamenishauri kwamba naweza kusoma degree kwa baadhi ya vyuo binafsi

    Jamani naomba ushauri nimesoma form six PCM kwa ufaulu wa EED kuna watu wamenishauri kwamba naweza kusoma degree kwa baadhi ya vyuo binafsi je ni kweli.?
Back
Top Bottom