chuoni

Chuoni Football Club abbreviated as Chuoni FC is a Premier League football club in Zanzibar based in Unguja Island.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Nimefurahi sana kukutana na 'Makomandoo' wa Chuoni Kiharaka Mapinga Bagamoyo wakiwa Wanafanya mazoezi yao Barabarani Mbweni

    Hakika kwa nilivyowaona wakiwa Vifua wazi wamejengeka Kimwili Wamekomaa na wana Morali ya hali ya Juu ya Kimedani hakika si Uganda, Kenya, Burundi, Rwanda na hata Israel, Marekani, Cuba na Uingereza ambao watatuweza Tanzania kama wakituchokoza. Hongereni sana JWTZ kwa Uimara!!!!
  2. Street brain

    Maisha ya chuoni bila mishe yoyote ni magumu

    Habari wanajf....... Nawasalim kwa jina la jamuhuri ya jf....... Leo nipo na mada moja ni kuhusu maisha ya chuoni .... Mimi nipo chuo fulani Ivi apa Tanzania nasoma bachelor of Accountancy with information technology, Nilichagua hiyo programu maana ni kitu napenda na pia napenda kuwa programmer...
  3. U

    Sometimes ujivuni ya kusoma chuoni ni mzigo, vijana wengi wanaohitimu vyuo wanachelewa sana kustuka kwamba tunaishi mara moja tu na miaka hairudi

    Kijana kamaliza degree yake akiwa na 23, mindset yake imekuwa tuned kujiona yeye ni special keki kwamba inabidi asubiri kazi za ofisini zenye ulaji mnono, ujinga huu huwa wanajazana sana vyuoni. kijana anamaliza chuo yupo kitaa anazungusha barua kwa kutafsiri msemo "one day yes" ndivyo sivyo...
  4. S

    Kwa Wizara ya Elimu: Kuhusu cut point za kuingia chuoni kwa waliomaliza Form Six 1980s- 2014

    Hili suala la cut point za kuingia chuo kikuu zilipandishwa na waziri wa Elimu kipindi hicho (Ndalichako) kiliwaumiza wengi wengi sana hasa watumishi wa umma wenye kutaka kujiendeleza kielimu. Wiziri alipandisha kwenda cut point 4 Kila chuo badala ya cut point 2 hili suala liliwaumiza vijana...
  5. KIBUGAmk

    Anawezaje kupata Chuo?

    Wandugu kuna mdogo wangu ambaye amehitimu kidato cha nne mwaka jana na wakati wa kujaza selform, alichagua kwenda chuo, sasa alikuwa anauliza ni kwa namna gani anaweza akapata connection hapo chuoni, na ni kwanamna gani anaweza kutengeneza marafiki wengi awapo chuoni, ikibidi hata chuo kizima...
  6. Maleven

    Hivi chuoni watu hawasomi bila "discussion"? Kila mara naambiwa niko discussion

    Kila mara unaambiwa nipo discussion subiri kidogo, sasa najiuliza huko chuo watu hawana muda wa kusoma wenyewe? Au discussion ni lazima chuoni?
  7. Colgate3

    Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo

    Hii ni taarifa mbaya sana kwa mstakabali wa hatima ya taifa letu. Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo baada ya mitihani kukaribia. Kwa mujibu wa utaratibu wa chuo, mwanafunzi atakayeruhusiwa kufanya mtihani yaani UE atawajibika kuwa na kitambulisho cha chuo na sio...
  8. TTCC_TECNO

    UZINDUZI WA SIMU WENYE SUPRISE KUBWA CHUONI (UDSM)

    Habari wapenzi wa teknolojia! Habari za kusisimua kwenu wanafunzi wa chuo ni kwamba simu ya TECNO SPARK 20 inatarajiwa kuzinduliwa chuoni UDSM tarehe 06 Februari 2024, hii itakuwa ya kipekee sana kwani sisi wanafunzi wa chuo kikuu ndio washiriki wakuu! Si tu kuhusu uzinduzi wa simu; bali kuna...
  9. Nyani Ngabu

    Rais wa Harvard University ajiuzulu kutokana na Plagiarism iliyobainika kwenye machapisho yake

    Hii ni baada ya kugundulika kuwa kwenye baadhi ya machapisho yake, alinyakua maandiko ya wengine bila kuweka bayana alikoyatoa, na hivyo kuleta taswira ya uongo kwamba ni maneno yake [plagiarism]. Haya yote yalijitokeza baada ya yeye Bi. Gay na marais wengine wawili wa vyuo vya Ivy League...
  10. sky soldier

    Chuoni tuliaminishana kwamba ni sehemu ya kujenga connection za ajira lakini kiuhalisia ajira za connection 90% ni za kifamilia ama kindugu tu

    Nakumbuka tukiwa chuoni miaka hio 2011 tulikuwa tunaaminishana sana kwamba mtu inabidi ujenge connection sana chuoni ndio zitakusaidia kupata ajira, lakinii uhalisia baada ya kumaliza chuo ulikuwa ni tofauti sana. Hata uwe rafiki wa mtoto wa kigogo ni ngumu sana baba yake akupigie connection...
  11. B

    Nilikosea sana kuamini wanawake wazuro wako Chuoni tu.

    Unajua katika maisha haya exposure ni kitu muhimu sana. Yaani mtu huwa unajua na kuelewa mambo yaliyo ndani ya Upeo wako tu. Kutokana na kuishi nao na kushinda kwenye circle/ cycle yao basi unajikuta huna option nyingine. Ktk Class unakuta kuna wasiachana kama letsay 20 kwente darasa la...
  12. sky soldier

    Tunaombeni uzoefu wenu wale mlioweza kuwatoa mabinti bush kuwaleta mjini, wana nafuu ?

    Kwa wale mlioweza kuwatoa mabinti huko vijijini na kuwaleta mjini, - kero ni zipi -raha ni zipi -mambo yapi ya kuzingatia -gharama -n.k.
  13. Roving Journalist

    Chuo Kikuu cha Mzumbe chakiri Wanafunzi zaidi ya 500 wanadai malipo ya 'refund' chuoni hapo

    Baada ya malalamiko kutoka kwa memba wa JamiiForums kuwa kuna Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Mzumbe ambao walijilipia Ada wakati wa kujisajili kabla Bodi ya Mkopo kuingiza malipo ya mkopo wao, hivyo wakaahidiwa kurejeshewa kiasi cha fedha kilichozidi lakini hali imekuwa tofauti, ufafanuzi...
  14. sky soldier

    Aende chuoni miaka 5 kisha apewe mtaji au aende kusaidia biashara ya familia miaka mitano kisha afunguliwe biashara?

    Kamaliza form 6, Ni mtoto wa kwanza wa kwanza wa kiume, wa pili yupo form 5 wa kike, wa tatu wa kiume yupo form 1, wa nne wa kiume yupo darasa la saba Wazazi wanajishughulisha na biashara, mambo ya usafirishaji na makazi. option mbili 1. Apprenticeship miaka mitano afunzwe kwa ukaribu...
  15. sky soldier

    Kijana Msomi asie na ajira kamteka kimapenzi mtoto wa kigogo, Anataka kumpa mimba ili apate ajira / mtaji , Ni njia sahihi ?

    Kijana ana degree na masters Kwa sasa bado yupo kitaa anauza duka la mahitaji ya nyumbani Kwa miezi kama nane hivi yupo kwenye mahusiano ya kimapenzi na binti mwenye miaka ambae kamaliza moja ya kozi undergraduate, hivi karibuni ndio kajua kwamba binti ni mtoto wa kigogo mzito tu serikalini...
  16. Lycaon pictus

    Kama ni mwanafunzi wa lugha(Kiswahili) UD na upo chuoni ni PM unisaidie kazi fulani hapo chuoni.

    Habari. Kama ni mwanafunzi wa UDSM na una muda mchache wa kufanya kazi fulani nicheki PM. Mwanafunzi anayesomea masomo ya kiswahili. Natanguliza shukrani.
  17. Meneja Wa Makampuni

    Ni kipi humfanya mtu kupata GPA ndogo chuoni? Kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi ana uwezo mkubwa?

    Kuna watu hapa wana GPA chini ya 3.5 na wengine chini ya 3.8. Jambo hili linawafanya wengi wao kukosa baadhi ya nafasi za kazi. Sasa je ni kipi husababisha mtu kupata GPA ndogo. Na je kati ya mwenye GPA ndogo na kubwa ni yupi anauwezo mkubwa?
  18. M

    Kwa mabinti waaminifu mlioko chuoni na mnaoelekea chuoni

    Natumai mko salama, Leo nawiwa kuwaandikia haya enyi mabinti wenye nia ya kuutunza usichana wenu hata kama uko chuo au unatarajia kuingia huko. Fanya yafuatayo kama hutaki uasherati chuoni. 1. Hakikisha una marafiki wa kike na wakiume kwa vyovyote lazima wawe na tabia kama zako au ziendane...
  19. NetMaster

    Jux apewe ajira ya kuwa mwalimu chuoni (lecturer), anafaa kuwa balozi wa kuwapa moyo vijana wasiache elimu kwajili ya usanii

    Asisubiriwe mpaka apoe, muda sahihi ni huu wakati bado anashika chati kwenye muziki. Jux ni msanii alieweza kufanya muziki na kusoma kwa mpigo, anastahili kupewa ajira ya kipendeleo kabisa, ilibidi na mshahara wa ziada ili awe balozi kwa vijana wengi nao watamani kupita njia aliyopitia Jux...
  20. NetMaster

    Biashara ni utamaduni sio elimu: wachaga, wakinga na wapemba wasio na elimu wanatoboa kupitiliza kuzidi wasomi wenye degree / masters

    Elimu inayozungumziwa hapa ni ya darasani (formal) Chuoni unaweza kwenda kusomea degree business administration ama ya ujasiriamali na ukawa unapata 100 wenye mitihani kwa kujibu kwa usahihi kwamba mjasiriamali inabidi asikate tamaa, aipende biashara yake, asidokoe mtaji, awe mvumilivu kwa...
Back
Top Bottom