chuo

  1. Good doctor

    JamiiForums Tanzania Kujitegemea maisha kipindi nipo chuo cha afya bila msaada wa wazazi

    Kama mpo mlio weza naomba mnipe codes hususani kipindi cha rikizo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Cheti cha Emmanuel Kayumpu kutoka chuo cha Mzumbe kimeokotwa

    Habari za muda wakuu; Kuna Cheti cha huyu mtu kamaliza mzumbe 2018 kimeokotwa ...nashare hapa Kwa anayemfah amfahamishe.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Chuo gani cha Cha community Development kinatoa certificate online?

    Habarini za mchana wadau wa JF, Jamahaani naomba kujuzwa Kama Kuna chuo chochote cha maendeleo ya jamii kinachotoa certificate online? Mimi nimemaliza chuo cha maendeleo ya jamii mwaka 2013,lakini mpaka Sasa sijawahi kupata ajira yoyote,kwa hyo nimeona Bora nikasome certificate maana Mimi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Naomben ushauri natak kwenda chuo na nilikuw natak kusoma mechanical engineering na kama kun cozi nyingin bora ninayowez kujiari mnisaidie

    Kisw B Eng C Geo C Civi C Hist C Bios C Chem C Math D Phys D
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Baraza la Madiwani ladai Kifo cha Hayati Magufuli kimekwamisha ujenzi wa Chuo Kikuu Chato

    BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chato mkoani Geita, limembebesha mzigo mzito Mkuu mpya wa Wilaya hiyo wakimtaka kufuatilia sababu za kukwama kwa ujenzi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania tawi la Chato, tangu kutokea kifo cha Hayati Rais Dk. John Magufuli. Kauli hiyo imetolewa na...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yafungua chuo cha kimataifa barrick academy katika mgodi wa buzwagi uliofungwa

    Waziri wa Madini, Mhe. Antony Mavunde, ameipongeza Kampuni ya Dhahabu ya Barrick ambayo inaendesha shughuli zake nchini kwa ubia na Serikali kupitia kampuni ya Twiga Minerals, kwa kufanya uwekezaji unaoendelea kuchangia kukuza uchumi na kufanikisha miradi ya kijamii ambayo inaendelea koboresha...
  7. ngilo one

    JamiiForums Tanzania Ni mbinu gani za kusoma sheria na kufaulu katika Chuo Kikuu Huria

    Natumaini ni buheri wa afya ndugu zangu katika jukwaa la elimu. Mimi ni mhitimu wa Stashahada ya Utunzaji wa Kumbumbu, Nyaraka na usimamizi wa Taarifa katika chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere nchini Tanzania. Baada ya kumaliza kozi tajwa binafsi nimekuwa nikivutiwa na masomo ya sheria kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

    Habari wadau. Kuna binti anatred sana mtandaoni huyo hapo kwenye picha anaitwa LILIAN LEMA. Huyu binti ana elimu nzuri tu na ana degree ya uchumi kutoka chuo kikuu cha taifa udsm Amepata division one form 4. Na amepata division one form 6. Baada ya kumaliza chuo kajiajiri kama kungwi...
  9. uttoh2002

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Chuo cha Uhasibu Arusha

    Hongereni kwa ujenzi wa Hostel, frames na majengo mengine mengi yanayoonekana karibu na fence mnayoendelea nayo. Swali langu: Kama zege ya 4 by 15 ( Estimate) mlishindwa isimamia, baada ya kujenga ikaporomoka kabla ya kukauka, mpaka mkahamisha gate kwa muda. Hii ni aibu Kubwa sana kwa mifumo...
  10. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania IGP Camillus Wambura afanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe na Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Camillus Wambura amefanya mabadiliko ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe na Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar. Katika mabadiliko hayo, aliyekuwa Mkuu wa Chuo cha Polisi Zanzibar, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga anakwenda kuwa...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Hivi inawezekana kumaliza chuo bila kuingia kwenye mahusiano

    Habari wanajf, Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo. Tukaenda advance tukaendelea kutiwa moyo zaidi huku tukisisitiziwa kwamba chuo hata boy anatongozwa. Lakini sasa ni miezi kadhaa tangu nifike chuo sioni dalili zozote za kupata...
  12. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tax atembelea chuo cha Ukamanda na Unadhimu wa Jeshi - Arusha

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Stergomena Lawrence Tax ametembelea Chuo cha Ukamanda na Unadhimu wa Jeshi kilichopo eneo la Duluti Mkoani Arusha na kujionea kazi zinazotekelezwa na chuo hicho.
  13. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa fursa za kujiajiri kwa Mhitimu wa chuo fani ya Computer Science

    Habari wakuu Mimi ni mwanafunzi wa chuo katika fani ya Computer science (degree mwaka wa pili), Naomba ushauri kutoka kwenu juu ya fursa ambazo naweza kujiajiri nazo ,( kwenye fani hii ya Computer science) nikimaanisha nitajiajiri vipi? Pale nitakapo maliza degree yangu ya Computer science...
  14. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Ardhi kuweni makini na huu mtego wa suala la mapacha kudai kufanyiana mtihani

    Habari. Naomba niende moja kwa moja kwenye hii issue. Kuna taarifa ambayo kwa sasa inatambaa sana hapa jf na hata kwenye mitandao ya kijamii kama x,na you tube. Issue inahusu swala la mapacha wawili waliokuwa wanafunzi wa ardhi kusema kuwa kuna Mtihani mmoja wa supplementary walishawahi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wakufunzi wa Chuo cha CATC wahimizwa kufanya kazi kwa weledi

    Chuo cha Usafiri wa Anga(CATC) kimefanya hafla ya kufunga Kozi mbili za ‘Area Control Procedure’ namba 35 na Kozi ya Ndege nyuki (Drone) namba 16 kwa wakufunzi hao kuhimizwa juu ya kufanya kazi kwa weledi. Nasaha hizo zimetolewa Machi 08, 2024 na Mkuu wa Chuo cha CATC, Aristid Kanje wakati wa...
  16. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tujipange kugawana hao Mapacha wa Chuo cha Ardhi wenye skendo ya kufanyiana Sup ya Hydrology

    Kwa haraka haraka kifuatacho ni majanga kama ya ujane na watoto. Nashauri baharia wote tukae mkao wa kula tugawane hizo toto's. Hio inaitwa wamrambee, wamnyonyoee, hawavumi ila wako Ardhi. Ndio hivyo tu Wadiz
  17. L

    JamiiForums Tanzania Chuo gani cha Private cha Afya (Medical laboratory) ni bora?

    Eti jaman chuo gani cha private chenye ada nafuu na bora kwa upande wa diploma ya medical laboratory . Ambacho mtu anaweza kumalizia diploma bila shida.
  18. P

    JamiiForums Tanzania Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Hivi unakiri vipi kwenye kweye TV inayotazamwa na watu wengi hivyo jambo linaloweza kukuingiza matatani? Haya sasa mambo yameharibika! Chuo Kikuu Ardhi kimepata taarifa kupitia Wasafi FM, chaneli ya YouTube ya mahojiano kati ya waandishi wa habari na mapacha wawili wanaofanana. Mahojiano hayo...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Profesa Mgaya ateuliwa kuwa Mkuu wa chuo cha Usafirishaji (NIT)

  20. Z

    JamiiForums Tanzania Kila inapokaribia mitihani napata stress kali nashindwa hata kulala naishia kupostpone chuo. Naomba msaada

    Habari wana JF, Mimi nina tatizo kila nikiamua nisome chuo basi ikikarbia mitihani napatwa na hali ya anxiety au kichwa kujam. Hii hali imepelekea mimi kupostpone au kuacha chuo mara tatu. Sasa nnaona kabisa Nahtaji elimu ili inikomboe na umaskini. Nifanye nini kupambana na hii hali...
Back
Top Bottom