iringa

Iringa is a city in Tanzania with a population of 151,345 (as of 2012). It is situated at a latitude of 7.77°S and longitude of 35.69°E. The name is derived from the Hehe word lilinga, meaning fort. Iringa is the administrative capital of Iringa Region. Iringa Municipal Council is the administrative designation of the Municipality of Iringa.
Iringa has been one of the coldest regions in Tanzania due to its geographical location but that has attracted a lot of tourists from colder regions abroad especially Western Europe. Iringa also hosts one of Africa’s largest national parks the Ruaha National Park.

View More On Wikipedia.org
  1. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Jamani ukarabati wa barabara ya Dodoma to Iringa (sehemu ndogo) unaendelea nimepita Jana na basi ya Kimbinyiko acheni kupotosha watu

    Ni eneo dogo sana ambalo ukarabati unaendelea na mkandalasi yupo site nimeona kwa macho yangu mwenyewe tuache upotoshaji Juzi tar. 13/10/2026.
  2. R

    JamiiForums Tanzania KERO Angalia Barabara toka Dodoma kwenda Iringa. Serikali ijitafakari

    Clip inatosha bila maelezo
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakusanya Ushuru Manispaa ya Iringa tunacheleweshewa sana malipo yetu ya mshahara

    Mimi ni kibarua wa Halmashauri ya Manispaa ya Iringa nakusanya ushuru, kumekuwa na utaratibu wa kucheleweshewa mshahara wetu ambao kikawaida ilitakiwa tuwe tunalipwa tarehe 01 ya kila mwezi ila tunacheleweshewa sana hadi muda mwingine tunalipwa tarehe 22. Hali hiyo inaathiri sana familia zetu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Barabara ya Iringa kushuka Mikumi imaliziwe kuwekewa kipande cha zege pembeni

    Barabara ya kutokea Iringa kushuka Mikumi kipande walichoweka zenge kina muda mrefu hakijamaliziwa chote, eneo hilo ambalo halina zege ni baya na hatarishi kwa wanaotumia vyombo vya usafiri. Breki ikifeli basi inaenda moja kwa moja kwenye nyumba za watu, nashauri wamalizie kwa kuweka zege...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Waziri wa Maji Ingilia Kati Wizi wa Mita za maji Iringa mjini

    Kero ya wizi wa mita za maji Iringa mjini. Siku za hivi karibuni kumejitokeza na wimbi la wizi wa mita za maji. Wizi huo umekithiri kiasi kwamba ukibiwa mita leo, na kesho ukienda ku report utapewa control number ulipie shilingi laki moja kama malipo ya kufungiwa mita mpya halafu ukifungiwa...
  6. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Niliweka rekodi Iringa > Dar

    Ni mwaka 1986 na PEUGEOT 504 Safari ilianzia Iringa Railway Hotel saa 12 asubuhi Dar es salaam saa 5 asubuhi.... ilipokuwa Embassy Hotel. Kipindi hicho kulikuwa hakuna tochi barabarani. Magari yalikuwa machache sana barabarani....Hivyo naweza kufuta kisahani 200 KM/H..baadhi ya maeneo...
  7. The Puncher

    JamiiForums Tanzania Shamba ekari 113 linauzwa Mufindi, linafaa kwa mazao mbalimbali

    Habari wakuu, "Ukitaka mali utaipata shambani" Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi. Iringa, hususani wilaya ya Mufindi ni injini ya horticulture inayokua kwa kasi sana Nyanda za Juu Kusini. Kuwa sehemu ya wawekezaji wa eneo hili la kimkakati. Kwa anayehitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KATIBU wa CCM Iringa afutwa kazi kwa tuhuma za ulevi

    KATIBU wa CCM Mkoa wa Iringa, Said Goha, amefutwa kazi na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC), Idara ya Oganaizesheni, Paul Chacha, kwa tuhuma za ulevi uliokithiri unaodaiwa kuchafua taswira ya chama hicho tawala. Chacha ametoa uamuzi huo wakati akizungumza katika mkutano maalumu wa CCM...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Responded Halmashauri ya Mufindi tumeanza kulipwa fedha zetu za Kujikimu, japo tumelipa nusu

    Ningependa kutoa mrejesho kuhusu thread ya malalamiko niliyowasilisha hapo awali kuhusu kutolipwa fedha za kujikimu kwa watumishi wa Halmashauri ya Mufindi, Mkoa wa Iringa. Soma: Mufindi: Watumishi wapya wa kada ya Tabibu Daraja la II na Maafisa Afya hatujalipwa fedha zetu za kujikimu...
  10. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Licha ya Iringa Kua na Mbao Tele, Wanafunzi Shule ya Msingi Igeleke Bado Wakaa Chini!

    Wanafunzi wa Shule ya Msingi Igeleke iliyopo katika Manispaa ya Iringa wanakabiliwa na mazingira magumu ya kujifunzia kutokana na uhaba mkubwa wa madawati unaowalazimisha baadhi yao kukaa chini wakati wa masomo. Kipoti hicho kimebainika wakati wa sherehe za mahafali ya darasa la saba...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Iringa Wanazalisha mbao, lakini Wanafunzi wa Iringa wanakaa Chini. Samia Suluhu hajali

    Mzanzibar Samia Suluhu hawajali Watanganyika. Wala hana utu kwa Watanganyika. Ndo maanna anateua Wasaidizi weenye uwezo mdogo ambao wana roho mbaya. Habu fikiria mtu anafurahia Mwananchi wake kuteseka. Unashindwa kukomboa Wananchi wako kwa umasikini ndo utawakomboa Wapalestiina? Shule ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mufindi: Watumishi wapya wa kada ya Tabibu Daraja la II na Maafisa Afya hatujalipwa fedha zetu za kujikimu

    Tangu tuliporipoti kazini miezi sita iliyopita, sisi watumishi wapya wa kada ya Tabibu Daraja la II na Maafisa Afya hatujalipwa fedha zetu za kujikimu. Tunapofuatilia madai yetu, tunaelezwa kuwa fedha hizo hutolewa na TAMISEMI na bado hazijaingizwa hadi sasa. Aidha, tuliitwa kusaini fomu za...
  13. chokambayaa

    JamiiForums Tanzania KERO Ubovu wa barabara Iringa Dodoma

    Naomba kuwasihi mamlaka zinazohusika na marekebisho ya barabara kufanya matengenezo barabara ya Iringa Dodoma hasa kipande cha Chipogolo, Seluka hadi Fufu kuna mashimo makubwa, kwakweli ni kero kubwa kwa watumiaji wa barabara hiyo. nawasilisha
  14. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania CCM yatikisa Iringa, maelfu wajitokeza, Watanzania bado wanaimani kubwa na CCM

    CCM inazidi kujidhirihisha kua ndio chama kikubwa Africa hii ni ziara ya mwenezi mkoani iringa Karibuni sana Chama kubwa
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Wafanyabiashara wa Library za Video Iringa Watishia Kutofanya Kazi na Umoja Movies

    UMOJA wa wafanyabiashara wa filamu maarufu kama Library za Video mkoani Iringa umeazimia kusitisha kwa muda kufanya kazi na kampuni ya Umoja Movies, ili kutoa nafasi kwa viongozi na wawakilishi wa wadau kukutana na kampuni hiyo kujadili changamoto zinazodaiwa kujitokeza katika mfumo mpya wa...
  16. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Samia Suluhu Hassan Waambie Polisi Iringa Waache Kunibugudhi

    Huu ni ujumbe wangu kwako, naendelea kusambaza vipeperushi vya amani kuomba Humphrey Polepole arudishwe haraka sana kwaajili ya kutusaidia kujenga hoja za maridhiano. Nimeona CHADEMA wanaendelea kupaza sauti ili Tundu Lissu aachiwe kabla ya maridhiano. Nadhani wako sahihi pia. Sasa kwanini...
  17. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi mkoa wa Iringa acheni kunibugudhi mimi ni raia mzalendo

    Kipindi nagawa vipeperushi vya amani kwenye mitaa mbalimbali ya mji wa Iringa, jeshi la polisi mkoani humo limeanza kunibugudhi kisa ujumbe uliopo ndani ya vipeperushi. Ujumbe huo ni mfupi tu unasomeka kuwa "tunamhitaji ndugu Humphrey Polepole aje atusaidie kujenga hoja za maridhiano" Nadhani...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded Hoja ya miundombinu kutokuwa rafiki Ofisi ya PSSSF Iringa, uongozi wasema “Tutafanyia kazi maoni ya Mdau”

    Baada ya Mdau kutoa hoja kuwa Ofisi ya Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSSF) Mkoani Iringa ina changamoto ya miundombinu kwa watu wenye mahitaji maalum kwa kuwa wanashindwa kupanda katika ghorofa ili kupata huduma, PSSSF imesema “Tunashukuru kwa mrejesho kutoka kwa mdau, tumepokea kwa ajili ya...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Sugu, Lema, Boni Yai Wasusia Mkutano Iringa

    Mwandishi : Kwanini Sugu, Lema na Boni Yai walisusia mkutano wa Makamu Heche Iringa. John Mnyika : Nakiri kweli hawakuja, ila sikuwauliza kwanini hawajaja, japo hilo jambo tumeomba Baraza la Wazee liingilie ili lifanye usuluhishi wa viongozi wetu. 🎤 : Press
  20. Harrykany

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kazi Arusha mjini au Moshi mjini, Mimi nipo iringa

    Mimi ni kijana mwenye umri 28 nipo iringa ni fundi sofa na vitanda vya sofa kwa pamoja, najua kutumia cherehani na kukata vitambaa kwa jiri ya kushonea sofa, hivyo kama Kuna mtu anahitaji mtu wa kazi iyo naomba anitumie ujumbe, inbox kwa mawasiliano zaidi, hata kama ipo kazi nyingine yoyote...
Back
Top Bottom