chuo kikuu ardhi

  1. P

    Mapacha waliokiri kufanyiana mtihani chuo matatani, Chuo cha Ardhi wasema wanachunguza suala hilo

    Hivi unakiri vipi kwenye kweye TV inayotazamwa na watu wengi hivyo jambo linaloweza kukuingiza matatani? Haya sasa mambo yameharibika! Chuo Kikuu Ardhi kimepata taarifa kupitia Wasafi FM, chaneli ya YouTube ya mahojiano kati ya waandishi wa habari na mapacha wawili wanaofanana. Mahojiano hayo...
  2. D

    Chuo kikuu Ardhi na adha ya maji

    Chuo kikuu Ardhi Dar es salaam kuna changamoto kubwa ya maji ambayo hayatoki katika hostel za kike na kiume. Wanawake wanateseka sana wanaingia siku zao lakini maji hakuna na waziri anajitahid kufuatilia changamoto inakua ni kwa wakubwa kutekeleza. Hostel za wanaume Zina wakazi zaidi ya 300 na...
  3. Aliko Musa

    Jinsi ya kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo ndani ya miaka miwili (2)

    Kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo imekuwa ni chanagamoto kubwa kwa wengi. Changamoto hii inasababishwa na kukosa maarifa sahihi na kufanyia kazi maarifa sahihi. Ili uondoe hofu ya kuanza kuwekeza kwenye ardhi na majengo unahitaji kuwa na maarifa sahihi. Maarifa sahihi yatasaidia kuondoa...
  4. sychellis

    Ni njia zipi za kukuza GPA kama ikitokea umemaliza Chuo na GPA ndogo

    Wakuu naomba mwenye ujuzi anijuze njia zipi unaweza kutumia kukuza GPA kama ukimaliza na GPA ndogo. na pia nataka nijue ukimaliza chuo na GPA chini ya 3 unaweza kupata kazi
  5. Mlenge

    Kujiunga Na Chuo Kikuu Ardhi

    Angalia kiambatisho, mahsusi kwa wenye diploma na kwa waliosoma kidato cha sita. JIUNGE SASA http://admission.aru.ac.tz/
Back
Top Bottom