Wadogo zangu ambao bado hamjamaliza Please msicheze vyuoni mpate ufaulu ambao ni mzuri yaani GPA kuanzia 3.5 inakua nzuri kwako hata kama utaajiriwa na mtu au taasis ambayo haitaki GPA kubwa.
Kwa Tanzania na Population yake wasomi wamekua wengi na ili kupunguza michujo mingine ndo inafanywa kwa...
Mimi ni mmoja wa mzazi wa mwanachuo wa mwaka wa kwanza radiology kutoka chuo cha nkinga health institutes.
Kumekuwa na gharama zisizo na tija na kuzijurudia, huko nyuma wanafunzi walilipishwa hela ya field sh Laki mbili ambayo unaingiza kwenye account ya chuo baadae hiyo hela hawakupewa bali...
Napenda kuwatangazia juu ya Chuo Cha Kwanza Cha Vinyozi Tanzania, Tupo, Dar-es-salaam, Kinondoni, Morocco.Tunatoa Mafunzo Kwa Njia ya Vitendo.Mhitimu Atapata Cheti, lakini pia Tutamsaidia Kupata Ajira.Namba zetu-0652733553.
Kumezuka tabia mpya geti la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) ambapo kuna baadhi la Jeshi la Polisi wakishirikiana na SUMA wanasimamisha pikipiki kwa kigezo cha kuwakagua na kisha wanachukua pesa kwao mara nyingine 10,000/=, 5000/=, 20,000/= kitendo ambacho sidhani kama ni kwa mujibu wa sheria na pia...
Anonymous
Thread
chuochuo kikuu
chuo kikuu cha dodoma
dodoma
kikuu
rushwa
Mimi ni Mwanataaluma na mdau wa Maktaba ya Mkoa Iringa, pia ni Lecturer katika moja ya Chuo hapa Iringa Mjini.
Nimekuwa nikitumia Maktaba ya Mkoa kwa muda mrefu sasa, lakini mimi pamoja na wadau wengine wa Maktaba tumekuwa tukishuhudia mara kwa mara udhalilishaji wa dhahiri unaofanywa na...
Anonymous
Thread
chuo
iringa
iringa mjini
katika
lecturer
maktaba
mbovu
mdau
mimi
mjini
mkoa
moja
msimamizi
nidhamu
nyingi
siku
udhalilishaji
watumishi
Mimi ni Muhimu Chuo Kikuu kutoka Chuo Cha Uhasibu Arusha 2025 KERO yangu ni Kuna baadhi ya wahitimu wakienda kuchukua vyeti vyao unakuta matokeo yaliyoandikwa kwenye TRANSCRIPT ni Tofauti na Yale Mwanafunzi alipata kwenye mitihani yake.
Mfano alipata A transcript imeandikwa B+ katika module...
Kero yangu, kijana wangu amehitimu chuo Mwaka 2025 katika Chuo cha CBE Kampasi ya Dar, Kozi ya Business Administration lakini mpaka leo Februari 2026 ameenda chuo kufuatilia cheti amejibiwa mpaka mwezi wa tatu, kabla ya hapo waliambiwa mpaka Februari 2026.
Chuo amegraduate 02/12/2025, vyuo...
Anonymous
Thread
cbe
chuochuo cha cbe
dar
kutoa
sana
vyeti
wahitimu
wao
Mwaka jana nilimtimua ofisini binti wa field aliyekuja na sketi fupi iliyokuwa inabada mpaka mistari ya chupi zake zinaonekana. Nikamwambia akabadilishe ndio arudi ofisini.
Januari nilienda ofisi moja ya umma kufanya kazi, moja ya afisa aliyetuletea nyaraka alikuwa amevaa jinsi ya kubana mpaka...
Nina mdogo wangu wa kiume kapata dvn 1.7 sasa hatujajua achague chuo gani. Yeye hataki kwenda advance..
Anapenda mambo ya computer ila sasa hatujui computer imegawanyika vipi na ipi ni nzuri zaidi.
Pia je mwanafunzi anayetokea o level anaweza pata mkopo?
ipi course nzuri ya computer...
Hii ni kwa mazingira ya Tanzania, sio Chatgpt au google inayochambua ajira kwa mazingira ya Amerika au Europe. (mifumo hio haina data za kutosha kuhusu mazingira yetu hata itakupoteza)
Kozi zenye nafuu kuajiriwa
Ualimu hasa masomo ya sayansi, hesabu na biashara
Uhasibu
Engineering -...
Nilikutana na mwanamke msukuma, ana sura ya baba ila biyo shape duuuh! Mk*nd mkubwa sana mzuri, somebody V .
kama upo hapa nicheki pm please, SIKUSAHAU.
tuliwahi ku do juu ya deka Maeneo ya TMK maduka mawili.
Come dm omease kama utaona hii.
Ulikua unavaa miwani hivi.
Usijiulize mengi njoo...
Kuna chuo cha afya kinaitwa City College Mwanza kinawanyanyasa sana Wanafunzi na Wazazi, Wanafunzi wanafukuzwa hovyohovyo kisa hawakamilisha michango.
Mfano chuo kimefunguliwa mwezi Novemba tarehe 23, 2025. Wanawafukuza wanafunzi wote ambao hawajakamilisha malipo ya awamu ya pili.
Sasa...
Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Laurent Lusetula (Mbunge), amewatunuku shahada ya uzamili wahitimu 2,250 wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), wakiwemo maafisa na askari 90 wa Jeshi la Magereza, waliosajiliwa katika mwaka wa masomo 2024/2025 katika fani mbalimbali zikiwemo amani na usalama pamoja na...
Udom wameingia mwaka mwingine wa masomo mwezi wa pili sasa huu unaingia lakini overpayment zetu bado hawajatupa. Na sasa tunaelekea kwenye graduation lakini kimya hamna mpango wowote wakutupa hizo fedha.
Udom msichojua ni kuwa baadhi yetu tunategemea izo fedha ili tufanye graduation tupeni na...
Anonymous (0740)
Thread
chuochuo kikuu
chuo kikuu cha dodoma
deni
dodoma
gani
kero
kikuu
kurejesha
malipo
mpango
udom
wahitimu
wanafunzi
wenye
Kero yangu ipo kwenye mfumo wa chuo Cha elimu ya biashara (CBE) Upande wa account za wanafunzi toka mwezi wa 12 mpaka sasa mwezi wa pili mfumo unasumbua wahitimu tunashindwa kufanya maombi ya vyeti na tuliomba ukifika chuo unaambiwa mtandao unasumbua hovyo tunapata tabu tupo nyumba ya soko la...
Anonymous
Thread
cbe
chuochuo cha cbe
mfumo
mkubwa
usumbufu
uzembe
uzembe mkubwa
wake
walimu
watendaji
JFs Members uzima upo?
Nisiwachoshe niende Moja kwa Moja kwenye hoja.
Safari ya chuo kuelekea mtaani inaanza tu pale graduation inapoisha
Hii naongelea experience yangu
Nilipongenzwa kwa bashasha kede kede kwenye graduation yangu na kupewa moyo nishatoboa kazi zipo tu
Sasa baada ya miezi...
Chuo cha Arusha Tech kimekuwa kero kwa baadhi ya wanafunzi ambao licha ya kulipia hostel mpaka leo hawajapata chumba, na wamekuwa wakiwazungusha wanafunzi ambao mpaka leo wanahangaika kupata chumba, unaweza ambiwa msubiri matron akupangie chumba ila ukakaa mpaka jioni bila mafanikio yoyote na...
Habari Wakuu.
Nkiendelea kuipokea Weekend ya Mwisho kwa Mwezi huu wa 01.26, Nikapata wasaa kupita na files zangu, mpaka kulikuta file la madeni yangu ya HESLB, na kugundua wananidai 20M kama gharama za ku-finance elimu yangu ya Chuo kikuu.
Sijaanza kuwalipa bado, Ila soon ntaanza kuwalipa...
Wanafunzi wa Chuo cha Ukutubi, Uhifadhi wa Nyaraka na Tafiti (SLADS) kilichopo Bagamoyo chini ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) tunapitia changamoto kadhaa:-
Nawasilisha kero hii kwa niaba ya wengine tumehitimu masomo ya Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (Library Records and Documentation...
Anonymous
Thread
ajira
chuo
hatuna
nyaraka
serikali
uhifadhi
vigezo
wahitimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.