Taabu za kusomea vyuo private ama vya makanisa/misikiti, ni heri usomee chuo cha serikali kwa hapa Tanzania.

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
- Wifi internet ni tatizo, vyuo kibao hata free wifi haipo na kama ipo kuipata access yake ni shughuli ama ipo slow sana, kwa vyuo vya serikali angalau ttcl nayo ni taasisi ya serikali huwa wanajitahidi kuwasambazia,

- Umeme ukikatika vyuo private ni wao wenyewe wayajitegemea kwenye mafuta, hapa kuna vyuo vya private havinaga jenereta vingine wana majenereta ila kuwasha ni kwa manati, vyuo vya government wanajitahidi kutumia majenereta umeme ukikatika.

- Uchumi wa Wakufunzi, uchumi wa lecturers wa vyuo binafsi upo chini na sababu kuu ni malipo kidogo, ni kawaida kukuta lecturer anapokea laki 9 akiwa profesa maybe milioni 2, dau kuongezeka labda awe na jeuri ya kufundisha chuo cha serikali at the same time, Government levturer anakunja Pesa safi wale wanaofundisha degree almost milioni 2 na nusu, kwa proffesors huko ni mpaka milioni 6.

- Kwenye suala la kazi nako ajira hasa za serikali zimeelemea zaidi wahitimu wa vyuo vyake vya serikali, sisemi kwamba hakuna watu wa Private universities serikalini lakini nachomaanisha ni kwamba serikali ina favor zaidi wale waliosoma vyuo vya serikali,
 
Back
Top Bottom