Mchora Katuni Masoud Kipanya ambaye pia amewahi kuwa Mtangazaji wa Redio na TV kupitia chaneli ya Kipanya Tell A vision kuhusu Mtazamo wake kuhusu Waandishi wa Habari walioshiriki katika kuwania nafasi za uongozi kupitia Vyama vya Siasa.
Je, wewe ni Mwandishi wa Habari na ungependa kushiriki katika Fellowship ya miezi tisa kuhusu uandishi wa habari za maslahi kwa umma (PIJ)? Jisajili sasa na ujaze fomu kupitia kiungo (link) hiki:
https://fellowship.utpc.or.tz/auth
Tafadhali soma maelekezo yote kwa makini kabla ya kuanza kujaza...
Maamuzi mengi ya Taasisi za kudhibiti yanakua na double standard, huyu jamaa wote tunajua kua yuko CCM na anatumika kuhoji Viongozi wa kiasiasa na pengine kuzungumzia siasa, Kiuandishi hii imekaaje ? Tueleweshane taratibu msifoke.
Umeongea kwa ufasaha, utulivu na hoja zenye mashiko, jambo linalodhihirisha si tu uwezo wako wa kujieleza bali pia upeo wako wa kufikiri kwa kina. Ni wazi kuwa umejiandaa kwa umakini mkubwa; umechambua mada kwa ustadi na kuwasilisha ujumbe kwa namna ya hali ya juu sana. Mtiririko wa mawazo yako...
Leo ni siku ya mchezo wa mwisho wa kundi la AFCON, mjadala mkubwa haupo tena uwanjani bali pia kwenye vyombo vya habari. Leo asubuhi baadhi ya waandishi wa Clouds FM wamejikuta wakilaumiwa kwa kile kinachoonekana kama kulazimisha matumaini yasiyo na msingi kwa Watanzania.
Asubuhi ya leo kwenye...
Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema:
Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari.
Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
al jazeera
bbc
cnn
documentary
documentary ya cnn
hadhi
kuandaa
maana
makala
mauaji
mmoja
msigwa
namna
nyingine
post
post election
ripoti
ripoti ya cnn
sana
serikali
tanzania
uandishi
ujinga
upande
uthibitisho
wako
Serikali yatoa wito kwa vyombo vya habari vya nje kufuata maadili ya uandiahi wa habari kwa kuchapisha habari ambazo aio za upande mmoja, serikali ipo tauari kutoa ushirikiano kwa vyombo vya ndani na nje ya nchi pale watakapohitajika.
Msigwa amesema sio sawa kilichofanywa na CNN, Al Jazeera na...
Miaka ya mwanzoni mwa 2010 ilikuwa zama za dhahabu kwa mashabiki wa filamu za Marvel Cinematic Universe (MCU). Kila filamu iliyotoka ilikuwa tukio la kusisimua. Kuanzia Iron Man (2008), The Avengers (2012), hadi Avengers: Endgame (2019).
Marvel ilijenga himaya ya hadithi zilizochanganya...
Kampuni ya utangazaji ya Global TV imetangaza nafasi za kazi kwa vijana wenye vipaji na shauku ya kujiunga katika timu yake ya vipindi vya runinga.
Kwa mujibu wa tangazo lao , jumla ya nafasi 6.
Habari za Burudani & Udaku – nafasi 4
Masuala ya Kijamii – nafasi 2
Miongoni mwa sifa...
Mwenyekit wa kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, Prof. Penina Mlama, ametangaza vigezo vya kushiriki katika duru ya nne ya tuzo hiyo ya ya mwaka 2025/2026 yenye lengo la kukuza lugha ya Kiswahili na kuthamini mchango wa Mwalimu Nyerere.
Ameeleza hayo kwenye kikao na...
Nina kero moja, ngoja niiweke hadharani leo, ni kuhusu Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kinafanya Watu wapate tabu saana kupata ajira kupitia Ajira Portal.
Mfano hizi kazi za Walimu wa Economist au Mathematics, Mtu kasomea Pschology of Education in Mathematics and Economics, cheti kinaandikwa...
Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), Tido Mhando, ameongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, akitangaza kuanzishwa kwa mfumo mpya wa kidigitali wa kupata Ithibati na Kitambulisho cha Uandishi wa Habari (Press Card).
Kupitia mfumo wa TAl-Habari, waandishi...
[Chorus]
Sifa ya Uandishi
Tunga bila Sifa
Nikifa na Sifa nzuri
Ni Sifa kwa alionisifu
Mistari 16
Uvumi unasikika
Lini mistari ya Mhuni itakwisha?
Tungo zaidi ya Sifa
Mdundo wa Kibabe
Mikunjo ya Kimista
Gumzo za Kipambe
Nachana
Kisha naepuka lana
Kichwani ni mtindo wa Rap
Nimeusuka toka zama...
Utangulizi
Tarehe 29 Aprili, 2025, wakati wa maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani jijini Arusha, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aliwataka waandishi wa habari wa Tanzania kukumbatia Akili Bandia (AI) kama zana muhimu ya kuimarisha kazi zao. Kauli hii ya uthibitisho kutoka ngazi...
ingawa kazi ya waandishi wa habari za uchunguzi wakati mwingine inahusisha kuwasiliana na vyanzo visivyojulikana kwa taarifa zilizofichwa au hata kufanya kazi kwa siri, nyuzi za habari kuu mara nyingi hupatikana katika vyanzo vya wazi vinavyopatikana kwa kila mtu. Kwa sababu hii, "web scraping"...
Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
1. Je, AI inaweza kuchukua nafasi ya waandishi wa habari wa kibinadamu kabisa? Hapana, AI inatazamwa vyema kama zana inayoongeza uwezo wa uandishi wa habari, lakini uangalizi wa kibinadamu na uamuzi wa kimaadili unasalia kuwa muhimu kwa kudumisha ubora wa...
Na Mwandishi Wetu.
BODI ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imesema kama vile Serikali inavyothamini taaluma ya Uandishi wa Habari na Waandishi wenyewe, ndivyo ambavyo waajiri/wamiliki wa vyombo vya habari wanavyotakiwa kuwapa thamani wanayostahili.
Akizungumza katika mahojiano na kituo...
Katika miaka ya nyuma, blogu zilikuwa moja ya vyanzo vikubwa vya habari na burudani nchini Tanzania. Zilitoa majukwaa huru kwa waandishi, wachambuzi, na watu binafsi kueleza mawazo yao, kushiriki matukio, na kutoa taarifa kwa umma. Blogu nyingi zilianza kama miradi ya kibinafsi lakini zilikua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.