chuo

  1. CHAGOSI GERALD

    JamiiForums Tanzania MAKALA YA SABA “JKT: Chuo cha Sayansi, Ubunifu na Uzalendo”

    Ndugu zangu, Kizazi cha taifa hakijengwi kwa silaha pekee. Hakijengwi pia kwa muziki wa starehe pekee. Kizazi cha taifa hujengwa kwa mafunzo ya uzalendo, sayansi, na ubunifu. Hapa ndipo JKT ilipaswa kusimama kama injini ya taifa. Tazameni ndugu zetu wa Burkina Faso, chini ya uongozi wa kijana...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu, serikali ya Tanzania kukopesha fedha mwanafunzi anaeanza chuo na kumnyima mkopo aliyemaliza chuo

    Viongozi wa Tanzania, yaani unamkopesha fedha mwanafunzi anayeanza chuo ambaye hana uhakika nae kama atamaliza chuo na kupata kazi halafu unamnyima MKOPO wa biashara mwanafunzi aliyemaliza chuo au kunakuwa na mazingira magumu ya kupata mikopo ya biashara benki na kuwaambia wakajiajiri , je,hii...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kama Chuo Kikuu Huria (Open University) kilitengenezwa kwa ajili ya Wanasiasa pekee, mngetuambia mapema

    Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati. Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo, unaweza kuwekewa matokeo wiki mbili baada ya Graduation na ukakosa nafasi ya ku-graduate mwaka husika...
  4. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Wadogo zetu, watoto wetu mnaoenda na mliopo Chuo Kikuu kwa sasa, huu uzi unawahusu

    Wadogo zetu, watofo wetu mlipo vyuo vikuu na mnaoenda chuo kikuu msione watu wanandamana mkaona hawana maana hii nchi tajiri tena tajiri jiulizeni Kwanini zamani chuo kikuu mwanafunzi alipewa mkopo bila asilimia yani ukila boom ni ada, chakula, field, stationary unapewa watasema wanafunzi...
  5. Seran

    JamiiForums Tanzania Kapata Chuo Dodoma Asome Accounts Akiwa Amesoma PCB –Ushauri

    Habari wakuu, Naomba kupata mawazo yenu kuhusu hili. Mdogo wangu amefaulu vizuri kidato cha sita akiwa na combination ya PCB, lakini amepangiwa kusoma chuo kimoja huko Dodoma Bachelor of Commerce in Accountancy katika. Hii kozi hakuichagua kabisa. Jana kapokea majibu ya mkopo kutoka HESLB na...
  6. Richard

    JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Yale wamechukua picha za satelite zinoonyesha mauaji huko El Fashar. Je, waweza kufanya hivyo kwenye miji ya Tanzania?

    Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera. Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
  7. Damaso

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Afya Mac Wish kinakwama kwenye Marekting bila kufahamu

    Ni jambo la kushangaza kuona taasisi ya elimu kama Chuo cha Afya Mac Wish ikishindwa kunufaika na fursa ya kujitangaza ipasavyo. Badala ya kuwa na kitengo cha masoko chenye ubunifu na mvuto, kimeonekana kutochukua hatua madhubuti – na matokeo yake, majukumu nyeti ya marketing yameachwa mikononi...
  8. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je, thesis defence ya chuo inapaswa kuwa wazi ama siri?

    Katika ulimwengu wa taaluma, ulinzi wa tasnifu (thesis defense) ni tukio la heshima na ukomo wa safari ya mwanafunzi wa shahada ya Uzamili au Uzamivu, Master's pamoja na PhD. Ni hapa ndipo mwanafunzi huwasilisha matokeo ya utafiti wake mbele ya jopo la wasomi na kujibu maswali ya kina, ili...
  9. dronedrake

    JamiiForums Tanzania Ripoti mpya yaweka wazi uharibifu uliofanywa na makombora ya balistiki ya Iran nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion

    Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita Uharibifu huo ni...
  10. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Hii bajeti ya graduation kwa huyu mtoto wa chuo, si mtaji kabisa huu?

    Vijana wanaomaliza vyuo wanakuwa na vibe sana na graduation, bajeti ya zaidi ya 1.3M si mtaji kabisa huu? Then baada ya graduation ukute anahangaika kutafuta mtaji.
  11. R

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba yako

    Tangazo muhimu. Chuo cha biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba zako Bwana yesu asifiwe sana watumishi wa mungu. Mbarikiwe kwa kuendelea kuwa sehemu ya kazi hii. Safari hii tumewaandalia mpango mkubwa kabisa wa baraka utakaoanza rasmi mwezi wa kumi 2025. Sikiliza kwa makini...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya wahadhiri Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wanajiona miungu watu

    Kufundisha ni wito. Tenda kazi yako vizuri. Kwanini taasisi nyingi zinafanya kazi mpaka waone jambo kwenye mtandao? Hapo chuoni unakuta wanafunzi wananyanyaswa na hawana pa kwenda wakiofia kufelishwa. Mhadhiri anaingia darasani mara 7 kwa semester na hakuna attendance wala nini na hakuna...
  13. NecZec

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Tumaini Dar es Salaam

    Salamu! Nimechaguliwa chuo cha tumaini Dar Es Salaam kozi ya IT ngazi ya bachelor. Ila ada naona iko juu kulinganisha na vyuo vya serikali. Je loan board watalipa ada yote ikiwa ntapata mkopo 100% au niaje wakuu. Naomba majibu kabla sija confirm kujiunga na chuo hiki kwani nimechaguuliwa chuo...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Askari wanyamapori auawa na chui Mwanza - wengine 4 wajeruhiwa wakipambana naye - polisi waeleza

    Hawa , Angekua ni Mtanzania ndo Kauliwa ,wangeishia kutoa Matamko na kujifanya kama wao sio Watanzania Ila kwakua mwenzio ndio Kauliwa, hamna Maneno mtaacha kusikia kutoka kwao. https://youtu.be/ByUTXlIIKd0?si=k3kt4hSaLPB3T9Uk
  15. Knock life

    JamiiForums Tanzania Wakati nipo chuo nimesoma Mafilosofa wengi ila sikuona Mwanamke hata mmoja je wanawake wao sio wagunduzi wa mambo yanyohusu Akili n.k?

    Hii imekaaje sijawahi kuona philosopher wa kike Ina maana wenzetu wanawake hawana mchango wowote duniani ukiachana na mambo madogo Kama kubeba mimba , kuzaa na kulea.??
  16. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Changamkia Fursa Biashara ya Gesi ya CNG inazidi kupamba moto Vituo vya kujaza Gesi ya CNG vinazidi kujengwa

    Kufikia mwezi wa 4 2025, vituo 10 vya CNG vilianza kujengwa katika mikoa ya Dar es Salaam, Pwani na Morogoro. Kampuni ya PUMA Energy Tanzania Limited ilianza kujenga vituo Tegeta, Ubungo External, Mbezi Beach, na Morogoro. Energo Tanzania Limited ilianza kujenga kituo Mikocheni. Victoria...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Biblia ndio Chuo Pekee Duniani unachoweza kujifunza Upendo, Amani, Furaha na Uvumilivu

    Katika dunia yenye vitabu vingi vya falsafa, dini, na elimu mbalimbali, hakuna kitabu kinachoweza kulingananishwa na Biblia. Biblia si kitabu cha kawaida; ni chuo cha kipekee ambacho humfundisha mwanadamu masomo ya msingi ya maisha ambayo vyuo vikuu vya kidunia haviwezi kufundisha. Humo ndimo...
  18. Mookiesbad98

    JamiiForums Tanzania TATIZO SUGU LA CHUO CHA CBE KUTOPELEKA MATOKEO YA WANAFUNZI NACTEVET

    CBE nawalalamikia binti yangu kamaliza 2024 Diploma lakini akienda Nactevet anaoneshwa kwamba wahusika wa CBE examinations officers hawajampandoshia matokeo yake yote bila taarifa wala sababu.za msingi. Tunaomba Mkuu wa chuo Prof Thandi Luoga kulifanyia kazi hili.haraka ikiwezekana tumbua...
  19. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania CCM jengeni Chuo kikuu Mwanza na Hospital kubwa yenye hadhi ya nyota tano muziite CCM MEDICAL UNIVERSITY and Teaching Hospitali

    Haya mabilioni ya shilingi zenu njoeni muwekeze Mwanza mjenge Hospital ya hadhi ya nyota tano hafu mjenge chuo kikuu kikubwa Sana
  20. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania JF Story: Shambulizi la kinyama chuo cha Garissa

    Mnamo Aprili 2, 2015, mwendo wa saa 11:30 alajiri, Chuo Kikuu cha Garissa kilichoko Garissa, Kenya, kilikumbwa na ugaidi pale watu wanne wenye silaha waliojifunika nyuso zao kutoka kwa kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab walipovamia chuo hicho. Washambuliaji hao, wakiwa na AK-47 na mikanda ya...
Back
Top Bottom