mpigania haki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Heche: Bwege alikuwa mpigania haki

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleiman Said Bungara maarufu Bwege, alikuwa mwanasiasa anayepigania haki za watu wake na Taifa kwa ujumla. Ameyasema hayo leo Machi 31 katika mazishi ya Bwege wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi. Bwege alifariki Machi...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Katuga na Mawakili wenzake wa Serikali waombe darasa la kufundishwa Sheria na Bingwa wa Sheria na mpigania haki wa pekee Tundu Lissu

    Kesi bandia ya uhaini dhidi ya Tundu Lisu imezidi kuweka wazi unafiki, ushetani na ujinga wa mawakili wa Serikali, jeshi la polisi na wale wendawazimu waandaaji wa kesi za mchongo. Tumeshuhudia jinsi mashahidi polisi wakidhalilika mbele ya mahakama wanapobanwa na Mtaalam wa sheria Tundu Lisu...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tabasamu la Lissu kama la Nelson Mandela. Mpigania haki ni mpigania haki tu

    Highly spirited Tundu Lissu like Nelson Mandela
  4. Gabeji

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu uko wapi siku hizi? Ni nini kimekupata mpigania haki?

    Bila shaka wote ni wazima wa afya njema kabisa! Namuulizia jenersli ulimwengu yuko wapi sasa , ni mda mrefu Sijamsikia katika kupaza sauti juu ya uvunjifu wa haki za binadamu pamoja na uchaguzi wa serikali za mitaa. Awamu hii ya sita upo kimya sana ndugu yangu ni nini kimekupata? Njoo ungana...
  5. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula mpigania haki wa CHADEMA kanisa lake liko wapi?

    Sina maneno mengi wengi wanauliza kanisa la huyu askofu wa siasa lipo pande zipi waweze kwenda kupata msosi msosi wa kiroho na kisiasa!
  6. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwa na Imani na Freeman Mbowe kama mwanasiasa mpigania haki na uhuru

    Ndivyo ilivyo katika nafsi yangu kwa muda mrefu sana katika anga za siasa za Tanzania. Freeman Mbowe kwangu mimi hajawahi kuwa na ushawahi wa aina yoyote ile, sio mpigania haki wala uhuru. Binafsi Imani yangu tangu enzi hizo najua Mbowe anafanya biashara ya siasa kupitia chama cha siasa yaani...
Back
Top Bottom