Chief Mkwawa—ambaye jina lake rasmi la kiukoo na kiutawala tangu kuzaliwa ni Chief Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga—anasalia kuwa alama kuu ya heshima, uzalendo uliotukuka, na msimamo usiotikisika. Makala hii ya kiweledi inachambua ukweli wa kihistoria wa shujaa huyu na kufanya tathmini ya kina...
Rapa nguli wa Marekani na mmiliki wa lebo ya Maybach Music Group (MMG), William Leonard Roberts II (Rick Ross), amejikuta katikati ya dhoruba kali ya kisheria nchini kwake. Hatua hiyo imekuja siku chache tu baada ya msanii huyo kujipambanua kama msifiaji mkubwa wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Nini maana ya uchawa?
- UCHAWA ni UPUMBAVU kwasababu tafsiri ya UPUMBAVU ni kuujua ukweli lakini ukaupindisha.
-UCHAWA unatokana na Mtu kuwa MCHAFU hivyo anatafuta Watu kwa gharama zozote zile wawe wanamsafisha.
Hivi ni lazima Mkristo kuvaa mavazi ya kiislam katika msiba wa Muislamu
Alternatively , waislamu mbona huwa hawavai misalaba wanapokwenda kuwafariji wakristo?
Watu wengi mtandaoni wamekuwa wakipiga kelele wakiamini kuwa China au Marekani zinaweza kusimama peke yake bila kusaidiwa na mtu, au kwamba nchi hizi zinaweza kutengana kirahisi tu. Huu ni upofu wa kifikra unaoletwa na kukosa data na kutazama dunia kupitia vioo vya simu.
1. Kwa nini Marekani...
As long as CCM mmekataa neno HAKI to be in your vocabulary, kila mmoja atafikiwa. It is a matter of time. Unadhani Nchimbi alifikiri kuna siku atakuwa " mfungwa" wa CCM?
Kila mmojja atafikiwa, hata chawa mkubwa Katambi atafikiwa
Kazi yangu mimi ni biashara ya genge, nauza mboga. Nilichogundua hapa kijijini kwetu ukiona noti mpya nyingi zinakuja gengeni kununua bidhaa ujue watumishi wamelipwa misharaha yao. Wingi wa hela hizi nyingi na mpya unapotea ndani ya siku 7 hadi kumi tu. Nikamuuliza mwenzangu anaemiliki glossary...
Insonekana mdomo siku hizi unalipa kuliko Elimu ya darasani, Jaku boy aporomosha bungalow jingine la kifahari. Tizama hilo dude la jaku boy
https://youtu.be/wLAM96wo7Bc?si=VBBhGihNMUkNwIz_
Kina doto magari wametoka kuwa wezi, sasa wanasafiri ughaibuni na kula maisha ya kifahari kuliko wasomi...
Taifa linakuwa na msomi kama huyu Dk Denis Muchunguzi litafika mbali kweli?
Msomi mzima anajikomba badala ya kueleza ukweli na uhalisia wa siasa mbovu zinazoendelea nchini.
Wasomi kama akina Dk Sengondo Mvungi hawatatokea tena. Hawakujikomba wala kujipendekeza.i
Dk Denis kusifia uovu wote wa...
"Kijana wa kiume kulilia ajira, kulia unapofukuzwa kazi, halafu ukajinyenyekeza kuomba kurejeshewa ajira ambayo hujaitengeneza wewe wala baba yako, ni dalili ya utegemezi uliokithiri wenye kuzalisha uchawa. Taifa linahitaji vijana wanaotengeneza ajira, si wanaoziabudu." — Alloyce, P.R.
Tangu Samia aingie madarakani tokana na ajali ya kifo cha Jiwe, ameshikilia sera uchwara ya uchawa.
Je, naye ni chawa au mfuga machawa?
Je, taifa. limefaidika vipi tokana na sera hii kama kweli ni sera?
Je, kuwaita watu machawa, hata kama wanakubali tokana na uzwazwa na ukosefu wao wa ubunifu...
Wanazuoni wameweka wazi kuwa nywele zisizo na mpangilio mzuri ni kiashiria cha awali cha ugonjwa wa akili ... haya ameyasema Flament, F, et al (2025)
Someni hyo article
Ndugu wana-jamvi,
Inasikitisha kuona kuwa leo hii nchini, elimu yako, weledi wako, na uchapakazi wako maofisini havina thamani tena. Ili upandishwe cheo, ulindwe usitumbuliwe, au upate mkataba wa serikali, huna haja ya kuwa na akili kubwa—unachotakiwa kuwa nacho ni "Cheti cha Uchawa"...
KILIBA , TAHLISO, MAMA ASEMEWE
Iacheni DIT Kama TAASISI YA ELIMU YA JUU YA TEKNOLOJIA haiwezi Kuwa TAASISI YA KICHAWA
Majuma ya hivi karibuni yamekuwa na kipindi Cha ajabu Kwa sura ya Siasa ya Tanzania na DIT kwa ujumla, kwani tangu kuanze na Tukio la Michezo Ndani ya Taasisi kumekubwa na Upepo...
KILIBA , TAHLISO, MAMA ASEMEWE - Iacheni DIT Kama TAASISI YA ELIMU YA JUU YA TEKNOLOJIA haiwezi Kuwa TAASISI YA KICHAWA
Majuma ya hivi karibuni yamekuwa na kipindi Cha ajabu Kwa sura ya Siasa ya Tanzania na DIT kwa ujumla, kwani tangu kuanze na Tukio la Michezo Ndani ya Taasisi kumekubwa na...
Kwa sasa, kama taifa, tuna tatizo kubwa tu.
Nalo ni uchawa. Uchawa umeondoa uwezo wa kuthubutu na kufikiri.
Kujipendekeza kumechukua nafasi ya kila kitu.
Utu wetu umedhalilishwa na kuhujumiwa.
Je nini kifanyike kuondoa kadhia hii ili baadaye asitokee tena rais mfuga na mpenda uchawa?
Nawasilisha.
Wanabodi,
Baada ya kuibuka kwa fani mpya ya uchawa, mimi nimekuwa nikiwaona machawa kama ni majitu fulani majinga zero brain!, nilipoangalia line up ya wagombea ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini, kupitia CCM, kulikuwa na very good big brain, siku ya matokeo ya kura za maoni ya CCM zikitangazwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.