Nukuu ya mazungumzo ya kwenye video
"Wapinzani wanailaumu Serikali, wanalaumu mifumo, wanalaumu mahakama, wanalaumu Jeshi la Polisi, na kadhalika.
Lakini wanasimama viongozi wa Serikali, wanawalaumu wapinzani, wanalaumu Diaspora, wanalaumu watu walioko nje.
Hakuna anayekaa mahali pa kuleta...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baba Mtakatifu Leo XIV amemteua Mheshimiwa Padre Vincent Lawrence Mpwaji wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo kuu la Dar es Salaam, leo Julai 11, 2026.
Mhashamu Askofu mteule Padre Vincent Lawrence Mpwaji alizaliwa Juni 05 mwaka 1978 Jimbo...
Askofu Dkt. Bagonza amesema viongozi wengi wa vijana wamejaa uoga unaoitwa utii, hali inayowafanya washindwe kusimamia maslahi ya wenzao. Amesema viongozi hao wanaongoza vijana wengi waliokata tamaa na wanaokimbilia majibu mepesi, ikiwemo kutegemea miujiza, njia rahisi za kupata utajiri na...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema "Vijana wengi katika taifa letu wanabaguliwa katika michakato ya kisiasa kwa kulazimishwa kuwa wanachama wa vyama vya siasa."
Akizungumza Julai 9, 2026, katika Jukwaa la...
Sasa labda ili tuliweke kiudini maana tukiliweka kitaifa TUNAKUTANA na mijitu kama yule shekhe sijui nani, pasipo kumsaau shekhe majini.r.i.p.
Wakatoliki tunayo Nafasi ya kutafakari matendo anayotendewa mkiristu na mkatoriki mwenzetu na sisi tupo kimnya tuna maana Gani?;
Askofu huyu amekuwa mstari wa mbele kuonyesha kutofurahishwa na namna CCM na delegates yake inavyoongoza nchi hii akijinasibu kuwa mpenda haki!
Na mimi kama mdau wa haki ninaungana nae mara kwa mara kumuunga mkono kwa maoni na hoja zake!
Kitu ambacho huwa nashindwa kumuelewa ni yeye...
Kwanza nianze kumpongeza Askofu Gwajima, ukimsikiliza kwenye YouTube akiwa Kanisani kwake leo tarehe 04 June 2026, amempa makavu Boss wa Wasiojulikana Kwamba Hampati.
Hii Ina maana Boss huyo kamnyoshea mikono juu Askofu Gwajima Kwamba mwamba ni Jasusi wa Mbinguni hakuna anayeweza kumfanya...
DeletedMember281674
Thread
askofuaskofu gwajima
boss
gwajima
mikono
wasiojulikana
Baraza la Viongozi wa Dini nchini limeiomba Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufanya mapitio ya mahusiano ya kidiplomasia na nchi ya Marekani ili kulinda umoja na amani ya taifa.
Akisoma tamko hilo mbele ya waandishi wa habari leo Mei 26...
NJIA RAHISI YA KUIFUTA CHADEMA: AANDIKA ASKOFU BAGONZA
Watu wengi uraiani, vijiweni na serikalini wameniuliza nitoe maoni juu ya hatua ya Msajili wa Vyama Vya Siasa kuiandikia barua Chadema. Barua hiyo inatafsriwa kuwa ina lengo la kuifuta CDM au kuifungia. Maoni yangu yanapendekeza njia rahisi...
Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema kuwa sekta ya uchukuzi nchini imefanikiwa kuzalisha jumla ya ajira 198,480 kupitia ujenzi wa miradi mbalimbali na utoaji wa huduma za usafirishaji.
Akiwasilisha bajeti ya wizara hiyo bungeni jijini Dodoma leo Jumatano, Mei 13, 2026, Profesa...
Vyombo vya habari vya Kanisa Katoliki vimetakiwa kusimamia ukweli na kuepuka kujiingiza katika mtego wa kusambaza habari za uongo au zinazopotosha ukweli kwa maslahi binafsi na kutafuta umarufu wa kupata wasikilizaji na wasomaji au fedha.
Wito huo umetolewa na Mwenyekiti wa Kurugenzi ya...
Akizungumza Machi 27, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 uliofanyika Mkoani Mwanza, Amesema Askofu Mkuu wa Kanisa la Mennonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare, amesisitiza kuwa Haki na Amani vinaambatana kwa pamoja.
"Haki...
'TIKITAKA' ZA DANGOTE AKIELEKEA KENYA!
Unamtambulisha msichana hadharani kuwa ni Bibi Arusi wako mtarajiwa kumbe hujafika hata kwa wazazi wake kujitambulisha! Sasa kaamua kuolewa na 'Mnyilemi Kindamba' wa Uchindile anadai wewe ni 'Kapufi Mwanansao' ambaye ni Mfipa wa Kirando hujui hata kuvua...
Wakuu,
Askofu kalambishwa asali :Alien:
"Kwa wale wote wanaotamka mabaya juu ya Rais, sikia: Hakuna neno lolote kwenye Biblia linalosema unaweza kumtamkia Rais neno lolote, wala kumlaani kwa jambo lolote, haiwezi kumpata. Haimpati! Jambo lolote baya halimpati Rais.
Sasa kwa wale ambao...
Ni Bora ibada ikaongozwa na katekista kwasababu atatupitisha kwenye neno la Mungu kama lilivyo destur ya majukumu yao,
kuliko hawa maaskofu wetu ambao wanapiga siasa kwenye madhabahu ya Mungu, naona kama Wana frustration kubwa sana,
NB: Huwezi ukashindana na serikali hata ufanyaje
Wadau tumsifu Yesu Kristo. Mhashamu Prosper Balthazar Lyimo, Askofu wa Jimbo Katoliki la Bariadi, akiwa pamoja na kaka zake ambao pia ni mapadre.
Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa upendo wake usio na kipimo na kwa baraka alizozimwagia kupitia huduma hii ya kiroho.
Askofu Mkuu mwanamke wa kwanza Dame Sarah Mullally ameapishwa rasmi kuwa katika historia ya Kanisa la Anglikana duniani, akiongoza waumini takribani milioni 85.
Ingawa alianza majukumu yake tangu Januari mwaka huu, hafla ya kuapishwa imefanyika kama sehemu ya kuthibitisha rasmi mwanzo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.