chama kimoja


  1. S

    Tanzania tunarudi kwenye mfumo wa chama kimoja?

    Waswahili husema dalili ya mvua ni mawingu. Japo sio kila mara mawingu huleta mvua lakini kila yaonekanapo walau kunakuwepoa matumaini au labda hisia kuwa mvua itanyesha. Hali ya kisiasa ya nchi yetu chini ya awamu hii ina dalili nyingi ambazo zikitazamwa kwa pamoja na haiba na kaliba za...