Je, unajua kuwa tarehe 7 Julai 1954 (Saba Saba) haikuwa siku ya kawaida katika historia ya Tanzania?
Miaka 72 iliyopita, ndani ya chumba kidogo cha mtaa wa New Street (sasa Lumumba Street), Dar es Salaam, kundi la wazalendo, wasomi na viongozi wa harakati za uhuru walifanya mkutano ambao...