askofu

  1. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Eusebius Nzigirwa: Ukichezea thamani ya Binadamu Kanisa litapinga kwa sauti kubwa

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mpanda Eusebius Nzigirwa amesema katika kusherekea sikukuu ya Christmas siku hiyo inawakumbusha watu thamani na hadhi ya utu wa mwanadamu na kanisa limekuwa likisimama kukemea kwa sauti kubwa wale wanaojaribu kuuchezea utu wa mwanadamu. Askofu Nzigirwa amesema...
  2. gallow bird

    JamiiForums Tanzania Askofu Malasusa: Kuna watu jamii ikikaa kwa amani wanaumia

    Katika kile kinachoonekana kujibu mapigo ya maaskofu wa kanisa lile walioamua kuwa wanasiasa,askofu dkt malasusa amesema kuna watu hawapendezwi na jamii kukaa kwa amani Wale wa kanisa lile wameshindwa kung'amua kuwa huwezi tafuta haki pahala pasipo amani,licha ya kusifiwa kuwa na elimu za chuo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Huyu Askofu mbona haeleweki?

    Nimesikiliza sana ila sijaelewa, nikasema pia na machapisho bado sijaelewa... means waendelee kuandamana au kudai vipi? Wapi? Tuseme Leo askofu amekuwa disappointed kwa watu kutoandamana? 🤔Tuendelee kutafakari lengo lao, huku papa anasema msitumie dini.... 🙌 ASKOFU AWAHIMIZA WAKRISTO KUDAI HAKI...
  4. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Ni vema Askofu Ruwai'chi akatubu kwa kumuita lofa mtu aliyemshitaki Padri Kitima kwa Papa

    Katika Hali isiyo ya kawaida Askofu amemuita lofa mtu aliyeandika barua kwenda Italy kwa lengo la kumshitaki Kitima. Askofu Ruwai'chi ameonesha kukosa uvumilivu wa kimungu na kumtukana lofa mtu huyo, Hivyo basi ni vema akatubu hadharani watu waone ili asamehewe. #Roho itendayo dhambi ndiyo...
  5. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Askofu Mihali Wakatoliki waliosimamia uchaguzi na kufanya Udanganyifu wakafanye kitubio

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali, amewataka Wakristo, hususan waumini wa Kanisa Katoliki, kutimiza wajibu wao wa kusimamia haki, amani na uadilifu, hasa katika masuala ya uchaguzi, wakisisitiza kuwa kutotenda haki ni dhambi kubwa. Askofu Mihali alitoa wito huo wakati...
  6. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Askofu Mihali: Umepewa wajibu wa kusimamia uchaguzi, umesimamia vizuri?

    "Tungeweza kusema ujio wa Yesu Kristo umeondoa kila aina ya dhuluma, uwe umeondoa kabisa hali ya uonevu, uwe umeondoa kabisa hali ya kutojali utu, uwe umeondoa mauwaji au kuuawa kusipokuwa na hatia, uwe umeondoa kabisa unyanyasaji wa aina mbalimbali , tulidhani imengekuwa hivyo miaka yote...
  7. upupu255

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Kisale: Kwanini ukitaka kusema masuala ya Haki unaambiwa hapana sema Amani

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonnite Tanzania, Dkt. Nelson Kisale, amesema hofu inayotawala mioyo ya watu sasa ni zao la matendo yetu hata kutufikisha Kwenye yaliyotokea Oktoba 29 na siku zilizofuata. Akihubiri kwenye ibada ya Noeli leo Desemba 25, 2025 mkoani Mara, Dkt. Kisale ameshangaa kuona...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwa'ichi: Watanzania hawashabikii haki, wengi kwa ujinga au kutokujua wanajidai wadau wa amani

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa'ichi, amesema Watanzania wengi hawashabikii haki wala siyo wadau wa haki. Amesema wengi wao kwa ujinga, kwa kurubuniwa au vinginevyo wamekuwa wadau wa amani akiweka msisitizo kuwa pasipo na haki hakuna amani. Askofu Ruwa'ichi...
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania Askofu Kisare: Tuwasikilize vijana wanataka nini, Hakuna haja ya kutumia nguvu kubwa kuwanyamazisha kundi hili

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Menonite Tanzania, Askofu Nelson Kisare, ameishauri Serikali pamoja na viongozi wa dini kuweka mifumo bora ya kuwasikiliza Vijana na kuwapa nafasi ya kutoa maoni yao, badala ya kutumia nguvu kubwa katika kuwanyamazisha. Askofu Kisare ametoa kauli hiyo jana, Desemba 17...
  10. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Utesaji wa vyombo vya ulinzi kutafuta ushahidi unalivunjia heshima taifa letu

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ Utesaji unalivunjia heshima taifa letu. Zipo taarifa za uhakika kuwa katika jitihada za vyombo vya ulinzi kutafuta ushahidi, vinatumia mateso na udhalilishaji (torture) ili kuwalazimisha watuhumiwa waseme...
  11. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu wa KKKT Dr Malasusa (PhD) anastahili pongezi kwa uzalendo

    Mhashamu Dr Askofu Mkuu KKKT Alex Malasusa (PhD) . Pongezi kwa kupambania Tanzania na Kanisa lako
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Ruwa'ichi: Mkiua nyoka wote, panya watawasakama mpaka kieleweke

    Katika Adhimisho la Misa Takatifu ya hija ya WAWATA Jimbo Kuu la Dar es Salaam iliyofanyika Disemba 6, 2025 Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap amesema nyoka anawasifu wa kuhifadhi mazingira na kuleta uwiano lakini...
  13. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Askofu usikubali kumsujudia shetani wajua wanawinda kichwa chako

    Wajua nini chakusema. Bakia palepale guy. Miye nilikuambia Siku Ile uhame pale wajua nini kingetokea kama usingehama. Leo wamekuwekea mtego hapo kwako Kesho wakunase. Au wajuemo wapi uko. Bakia humohumo. Mulemule mayi. Hutaki utekaji siye pia. Nye Nye Nye. Hiyo hutuba uliyoletewa usisome. Wape...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mzee wetu Askofu Zachary Kakobe yuko wapi?

    Askofu Mkuu wa Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF) jijini Dar es Salaam, Bishop Zachary Kakobe ni miongoni wa watu wenye umaarufu mkubwa ndani na nje ya Tanzania, kutokana na huduma zake za kiroho kama Mtumishi wa neno la Mungu. Lakini si hivyo tu, Bishop Kakobe ni mmoja wa watu wenye...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mchungaji Hananja alimponda Askofu Gwajima kuwa anatukana Matusi madhabahuni, leo mwanaye kapigwa risasi

    Nimeshanga sana kusikia kuwa Mch Hananja ana mwanae anayesoma Udsm. Alipigwa risasi Mgongoni na ana jeraha kubwa. Huko nyuma alimtakia Askofu Gwajima kuwa aache matusi madhabahuni. Kisa tu anakemea utekaji na maovu. Hapa tunajifunza nini? Tusitetee maovu.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Taifa lililoungana linaweza kupambana na Mabeberu

    Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza, amesema Taifa lililoungana lina uwezo wa kupambana na Umoja wa Ulaya (EU), Benki ya Dunia (WB) na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF). Pia akisisitiza kuwa hatari kubwa kwa Tanzania si...
  17. Roboti Wa Nape

    JamiiForums Tanzania Nini hasa lengo la hii Press ya Fr. Kitima siku ya leo?

    Binafsi nadeclare interest ni Mkatoliki pia sijawahi na kiukweli nimeumizwa na yale yaliyotokea 29/10. Hapa katikati kulikuwa na fukuto kubwa la kidini baada ya kauli na waraka wa TEC. Siku zikapita na lile joto kuisha na kila mtu anaimba HAKI kuelekea D9. Gen Z wakafanikiwa kuuzima moto wa...
  18. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Askofu Bagonza: Hivi kuna sababu ya kumwacha huru GWAJIMA wakati utekaji unaendelea na Safe House zimejaa mateka?

    Hivi kuna sababu ya kumwacha huru GWAJIMA wakati utekaji unaendelea na Safe House zimejaa mateka?
  19. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima kaa kimasta, usijitokeze kabisa

    Walahi miye sijui hehee. Gwajima nilipokea shukrani zako miye sina baya wanijua. Walahi usingehama pale wangekukula kichwa. Leo nimepita mule Tengeru mayii wanahaha. Wapagawa vile vibaya. Kesho tuwe Babati bro. Wajua nafulahi mini. Kesho desemba. Nye nye nye poti wakagua id Kila road. Usitoke...
  20. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Dec 6 Askofu atakuja kama Winga wa Kulia

    Ametokota akarojeka. Hajui kilichombele yake. Haehe! Halula! Nilisema soon huu ujinga wakomeshwa. Jazeni ulinzi Chooni. Heheee! Bafuni hehee! Litakufa jitu. Na bado. Najuzwa Yule askofu sasa ataingia kama sub super akiwa winga ya kulia. Dec 6 kuna Jambo. Semeni nisiseme. Walahi watu wabaya...
Back
Top Bottom