• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

chama tawala

 1. technically

  CCM Mwisho wake kuwepo kama chama tawala ni 2020

  Sitaki kusema mengi kwanini kinaenda kufa ila hoja kubwa ni toka baba wa taifa afariki CCM kimekuwa kikitawala kwa ujanja ujanja na propaganda Kikubwa zaidi hawamu ya 5 imekizika kwa kupuuza wananchi wanataka nini kiufupi ccm haifanyii kazi matakwa ya watanzania walio wengi ili swala linaenda...
 2. F

  Rangi za asili za nembo ya taifa zinabadilishwa kufanana na za chama tawala?

  Kila anayefuatilia historia ya nchi hii na kujua maana ya rangi na alama mbalimbali atagundua kuwa baada ya kuondoa Kwa Mwalimu Nyerere, Muasisi wa Taifa hili, walioachiwa nchi chini ya CCM wanafanya kila kinachowezekana kulazimisha watu wote waone "CCM is synonymous to Government". Kuna vitu...
 3. Nzi ni nyuki mjinga

  Chama tawala dhidi ya akili za wapinzani

  Nimekuwa nikipitia na kuchunguza siasa za nchi yetu na nasikitika kusema kuwa hapa JF, home of great thinkers kuna wakosoaji na wapinzani mahiri sana wa utawala wa chama tawala lakini ni wakosoaji wasiobadilika, wamekuwa kama watoto wa kambo na msemo wa baba/mama angekuwepo tusingekuwa na maisha...
 4. N

  Sudan yakifuta chama tawala cha Al-Bashir, hii ina maana gani?

  Sheria imepitishwa nchini Sudan ya kuvunja chama cha rais aliyeng'olewa madarakani Omar al-Bashir. Bwana Bashir alichukua mamlaka 1989 kwa mapinduzi na kuliongoza taifa hilo kwa takriban miongo mitatu, hadi alipoondolewa kwa vuguvugu la maandamano ya upinzani mwezi Aprili. Mamlaka inayoongoza...
 5. THE BREED

  Dhamira ya kuua upinzani ni kwa faida ya Chama Tawala au Ubinafsi wa mtu mmoja?

  Wanabodi za asubuhi!naenda moja kwa moja kwenye mada. Kwa wale makomredi wa chama tawala naombeni ufafanuzi wenu kuhusu lengo la kuua upinzani nchini linaisaidiaje CCM kama chama tawala? Upinzani si ndio kioo? kama kwa miaka mingi upinzani umekuja na ajenda nyingi za wananchi ambazo serekali...
 6. J

  Rais Magufuli akutana na viongozi wa chama tawala cha China Ikulu

  Rais Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa chama tawala CCM amekutana na viongozi wa chama tawala cha kikomunisti cha China. Viongozi hao kutoka China wamempongeza Rais Magufuli kwa namna CCM inavyoongoza kwa ufasaha serikali zake mbili ya Muungano na ya Zanzibar. Source Eatv habari!
 7. n00b

  Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

  Spika Ndugai ameipongeza Serikali kwa kazi nzuri na Muswada umepita kwa kura za Ndiyo ====== BAADHI YA NUKUU (KUTOKA UPINZANI) Kambi ya rasmi ya upinzani bungeni imekosoa muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa wa mwaka 2018 ikisema ni uonevu mkubwa dhidi ya vyama hivyo...
Top