machawa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Video: Ukimsikiliza Lissu alipokuwa bungeni halafu ukisoma nyuzi za machawa humu JF utagundua, Machawa kuna namna fulani wana laana

    https://www.tiktok.com/@emmanoeli3/video/7681738572277288210?_r=1&u_code=e0hkf9aj984902&preview_pb=0&sharer_language=en&_d=dmbi6bhhk236d0&share_item_id=7681738572277288210&source=h5_m&timestamp=1791747785&user_id=7073563122229298182&sec_user_id=MS4wLjABAAAAUJa_GofDENFj0b3t4zylnDgbbtbouvSMjso0y1zh...
  2. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Yanga kukaa kimya na kutopiga promo tayari machawa na wachambuzi wanaumia na simba pia, je mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu?

    I salute you kinsmen Yanga kama wageni wa mechi ya kesho. Na simba kwa wageni Sasa SIMBA ndio walitakiwa kupigia promo.game yao sio yanga Kimsingi mwanzo ilikuwa sawa hadi pale simba walipoanza utoto huo na sasa yanga wamelipa hilo na milio ya kubanwa kende imeanza tayari kutoka kwa machawa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mtego wa Algoriti na Shauku ya Umma: Kwa Nini Maudhui ya "Machawa" Yanasonga Mbele Kuliko Mada za Msingi?

    Katika ulimwengu wa sasa wa kidijitali, kuna kitendawili kinachoshangaza lakini kikitazamwa kwa kina kinaeleweka kijamii na kisaikolojia: mada zinazohusu ushangiliaji wa kisiasa au kijamii—maarufu kama "uchawa"—zinapata wafuatiliaji na mwingiliano wengi (engagements) na kujadiliwa kwa kasi kubwa...
  4. K

    JamiiForums Tanzania 🦟 "A fool thinks himself to be wise, but a wise man knows himself to be a fool" — Ugonjwa wa 'Machawa' na Unafiki wa Kupiga Vigelegele

    Katika ulimwengu wa sasa wa siasa na mitandao ya kijamii nchini Tanzania, neno "Chawa" limeacha kuwa jina la mdudu tu anayetafuta hifadhi kwenye usafi duni. Leo hii, ukiwa na uwezo mkubwa wa kusifu bila breki, kupiga vigelegele hata pasipostahili, na kugeuza mapungufu ya bosi kuwa "ubunifu wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania OMBI MAALUMU: Machawa na Kina Juma Nkamia, Huu Ndio Wakati wa "Kumuonea Huruma" Rais Wetu Kipenzi—Kazi ya Machi 2021 Iishe Kabisa!

    Wana-JamiiForums, Machozi ya furaha yananilenga nikitafakari mapenzi makubwa ambayo Rais wetu mpendwa anayo kwa Watanzania, hadi baadhi ya wanasiasa wa upande wa pili sasa hivi wanakunywa chai Ikulu na kusahau mikutano ya hadhara. Kwa wingi huu wa kura na asilimia tulizonazo, hivi kweli...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Machawa kuendelea kuomboleza

    baada ya baba yao wa kambo kufariki je tutegemee machawa kuendelea kuomboleza? naomba jibu jamani.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Zinduka Sehemu ya Pili: Swali kwa Machawa wa Mfumo na Ukweli Kuhusu Nguvu ya Madereva

    Hapa kuna swali la msingi mno linalogonga ikulu ya fikra za kila mzalendo anayejitambua kufuatia mgomo wa madereva nchini na hatua za haraka zilizochukuliwa na serikali: Hii serikali inayotaka kuleta mabavu, ina hayo magari na madereva mbadala wa kutosha nchi nzima kutoa huduma? Jibu ni fupi na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania CCM ni familia za Maraisi tu hazigusiki wengine wote ni mafisi na machawa

    CCM ni familia za Maraisi tu hazigusiki wengine wote ni mafisi na machawa. Kama sio chawa basi wewe ni fisi mwoga. Watu ambao wanajiamini ni familia za Karume, Mwinyi, Samia na Kikwete.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Puuzeni Machawa wa CCM na usalama hasa Tlaatlaah

    Puuzeni hawa machawa wanaolipwa pesa za walipa kodi kuja hapa kuwasafisha Wanzanzibari na wazalendo
  10. V

    JamiiForums Tanzania Asilimia 99.5 ya watu duniani ni machawa

    Hii ni kwa sababu uchawa ni kusifia kitu au mtu ata katika madhaifu yake. Mtu ambaye siiyoo chawa atakuambia wapi umekosea na wapi umepatia.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Machawa wamechanganyikiwa baada ya IGP, CDF na DCI kupewa amri ya kwenda kutoa ushahidi

    Nimeingia mitandao mbalimbali na kukutana na taarifa kuwa IGP, CDF na DCI wanatakiwa kwenda kutoa ushahidi kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu, lakini kilichonishangaza ni kwamba machawa yanaonekana kuchanganyikiwa zaidi kuliko mshtakiwa hii inamaanisha nini wadau? Naomba majibu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Je machawa yaamemtelekeza mama yao aliyefiwa?

    Nimekuwa nikifuatilia taarifa mbalimbali mitandaoni hadi sasa nimegundua kuwa taarifa inayofatiliwa kwa kiwango kikubwa ni kesi ya mchongo aliyobambikiwa Jabali la siasa ambapo hata machawa wameipa kipaumbele, sasa swali langu ni je hawa machawa wamemtelekeza mama yao aliyepatwa msiba wa baba...
  13. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Picha za machawa mbalimbali wa mama

  14. T

    JamiiForums Tanzania Katiba hii inaua ubunifu umahili na ushindani inaibua machawa na wanafiki haitufai hata kidogo.!

    Katiba hii inatoa nafasi kubwa sana za nafasi za utendaji muhimu sana kwa maisha ya wananchi na maendeleo ya nchi kwa kuteua teua tu. Ukweli ni kwamba hii inawafanya watu wazembe wawekeza sana kwenye kujipendekeza kusifia na kupiga majungu kwa sababu wana uhakika mteuaji ana nafasi kubwa ya...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona wamepuuzwa wamekuja na kiki ya Machawa wao wanaowaita wasanii

    Waungwana naamini mko poa, kunajambo nimetafakari ya kuwa katambi yule waziri fake wa mambo ya ndani baada ya kuona genge lao la wateka, wauwaji, mafisadi na Macartel ya mafuta limepuuzwa sasa wameona waje na kuita wasanii polisi Kwa akili yangu hii ni kujaribu kudraw attention kwa wajinga so...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mshangao: Mpaka Leo kosa la Nchimbi haliko wazi sasa machawa wanapongeza nini??

    Machawa wameanza kupongenza kufukuzwa kwa Nchimbi bila hata kujua sababu!!! semeni kwa Watanzania kosa la Nchimbi ni lipi????
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Machawa wa CCM VS Machawa wa CDM ..Kwa nini hatuna wasomi wa siasa wenye kuja na ukweli kipindi hiki?

    Nchi yetu ipo katika eneo la kimkakati na hivyo inaingizwa kwenye vita ya kiuchumi na kiutawala kutokana na Jografia yake. Jambo linaloshangaza ni kuona hakuna wasomi wabobevu mithili ya Kabudi wanaojitokeza kutoa lecture muhimu kwa kizazi cha GEN Z badala yake wanaibuka malecturer machawa na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Rasmi sasa Watanganyika ni machawa tu ndani ya CCM

  19. K

    JamiiForums Tanzania Wadau kitendo Cha Nchimbi kufukuzwa kama nguruwe kwenye shamba la mihogo, je machawa wa humu jf na kwingineko watafukuzwaje?

    Ikiwa Nchimbi amefukuzwa kama nguruwe kwenye shamba la mihogo, hebu piga picha machawa wa humu jf na kwingineko namna watakavyofukuzwa.
Back
Top Bottom