Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Dorothy Semu amesema Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba anaendelea vizuri.
Jaji Warioba alipata shida ya kiafya na kudondoka ghafla wakati akihutubia katika mkutano wa kitaifa wa kutafakari hali ya kisiasa nchini unaofanyika jijini Dar es...
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy semu, akizungumza katika mahojiano mwanahabari Edwin Odemba, kupitia Jambo Tv Agosti 17, 2026, amesema Dola ilimuogoba aliyekuwa Mgombea Urais wa ACT-Wazalendo, Luhaga Mpina, kwa sababu alikuwa na ushawishi mkubwa
16 August 2026
Chief Odemba ambana na VAR (video) Dorothy Semu wa ACT Wazalendo / aishia kusema no comment
https://m.youtube.com/watch?v=Ux8YPPuItcM
Uhusiano wa ACT wazalendo na dola
Mahusiano ya ACT Wazalendo na CCM
Uchaguzi wa 2025 ulikuwa heshima kuu kwa ACT WZ
ACT Wazalendo ni chama cha...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amesisitiza kuwa Tanzania haiwezi kufikia maridhiano ya kweli na ya kudumu bila kuwepo kwa misingi ya ukweli, haki na uwajibikaji.
Semu ametoa kauli hiyo alipokuwa akifungua mafunzo ya siku tatu ya Madiwani wa ACT Wazalendo kutoka kata...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Juni 12, 2026 amefungua mafunzo maalum Kwa Mawaziri Vivuli wa Chama hicho Mafunzo yatakayoendela Kwa siku tatu hadi Juni 14 mwaka huu jijini Dar es Salaam.
Mbali na Mafunzo hayo Mawaziri hao,pia wamekabidhiwa nakala ya vitendea Kazi Kwa nafasi zao pamoja na...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, amekabidhiwa uenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) kwa kipindi cha mwaka mmoja, akichukua nafasi hiyo kutoka CHADEMA baada ya chama hicho kumaliza muda wake.
Kwa mujibu wa Katiba ya TCD, chama tawala cha Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Sasa kwanini mnaendelea kulalamika sasa? tulizeni vichwa sasa sio kelele nyingi
=============
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo , Dorothy Semu amesema chama hicho hakijutii wala hakitajutia uamuzi wake wa kushiriki Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 huku akieleza kuwa chama hicho kitaendelea...
"Siku zote katika chama cha siasa tarajia kuwa na watu wenye hoja mbadala zenye nguvu, kutakuwa na watu wenye utofauti katika kuwasilisha hoja zao, kutakuwa na wenye kupinga kabisa mawazo ya chama na wengine kuja na hoja ambazo haziendani na misingi ya chama".
"Sisi tunaamini katika kumjenga...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu kuwa chama hicho kikipata ridhaa ya kuongoza nchi kitahakikisha ndani ya siku 100 kinaunda tume ya kijaji ili itoe majibu ya matukio ya nani wanaohusika kupoteza na kuteka watu nchini
Ametoa kauli hiyo Oktoba 12, 2025 akiwa Kata ya Pasua na...
Kada wa ACT Wazalendo Selemani Bungala (Bwege) anaeleza kuwa Mpina alipojiunga ACT yalitokea makundi mawili kwa kuwa Dorothy ndiye aliyepaswa kuwa mgombea kuna watu wakasema Dorthy atolewa na kuna watu walisema abaki lakini mwisho wa siku wakamtoa.
"Walimtoa, yeye si alikuwa anakataa...
Kada wa ACT Wazalendo, Monalisa Ndala, amezungumza mengi kuhusu hali ya kisiasa nchini na kinachoendelea ndani ya chama chake ambacho kilishatangaza kumvua uanachama, ambapo amesema yeye alikuwa akimuunga mkono Dorthy Semu, pia ni mgombea mzuri huku akibainisha kuwa Dorthy alishaajiandaaa...
“Miaka 60 badala ya kukabiliana na ujinga, tumeamua kuupamba; tumeamua kusheherekea wahitimu wa shule za msingi wasiojua kusoma na kuandika: tumeamua kuwa na wahitimu wa sekondari wasioweza kufikiri na kujitegemea; tumeamua kuwa na wasomi wa vyuo vikuu wasioweza kujieleza na kujisimamia...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekitaka ACT Wazalendo kisimtafute mchawi katika sakata la kuenguliwa mgombea wao wa Urais, badala yake wajue kinachopandwa ndicho kinachovunwa.
Pia kimemtaka Kiongozi Mstaafu wa chama hicho Zitto Kabwe kuacha kutoa shutuma zisizo na sababu wakati Luhaga Mpina...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amesema kuwa ACT Wazalendo ndicho chama kilichobeba matumaini ya Watanzania. Amesema, "Tuna waambia Tume ya Uchaguzi Zanzibar, wasijaribu kuharibu Uchaguzi hatutakubali, kama kiongozi wenu nipo tayari kuyaongoza haya mapambano, nimeendelea...
Ndugu zangu Watanzania,
Dorothy Semu aliyekuwa ametangaza kugombea Urais Kupitia Chama chake cha ACT WAZALENDO.
Je anajiondoa ili kumpisha Luhaga Mpina?
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Dorothy Semu amewataka Makamishna wa Tume huru ya Uchaguzi kujiuzulu ili kupisha mchakato wa kupatikana makamishna wapya kwa mujibu wa sheria. Hapa tulipo, makamishna waliopo ni aliyewahi kuwa msemaji wa CCM, ndugu Omary Ramadhan Mapuri.
Pia soma KWELI...
"Chama cha Mapinduzi. Hakitaki kusikia wala hakijafanya jitihada zozote kuhakikisha uchaguzi unakuwa huru na kuaminika. Sisi tunawaambia kuwa tumejipanga. Tunakwenda kwenye uchaguzi tukiwa na mikakati."
Ameeleza haya katika mkutano wa hadhara uliofanyika Jimbo la Same Mashariki Mkoani...
Mimi kwangu hayo ni maajabu katika kutafsiri madaraka.ya uongozi wa chama
Na hii inatafsiri kuwa kwa Tanzania bara Zito ndiye defacto Kiongozi wa Chama
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, ametoa kauli kali akilaani kile alichokiita matumizi mabaya ya vyombo vya usalama na Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika chaguzi zilizopita.
Akihutubia mkutano wa hadhara Julai 5, 2025 katika eneo la Sapiwi, Jimbo la Bariadi Vijijini, Semu alisema...
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Bi. Dorothy Semu, amesema kuwa chama chake kinaingia katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 kwa lengo kuu la kulinda thamani ya kura ya Mtanzania, kuhakikisha Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakipitwi bila kupingwa na kutumia uchaguzi kama jukwaa la kusikiliza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.