Search results

  1. P

    Nataka kujifunza kwenu wana JF kuhusu Katiba na nafasi ya Urais Tanzania

    Tunatarajia kuwa na katiba mpya hivi karibuni! Ngoja tusizungumzie hiyo ijayo tuzungumzie iliyopo! Katiba iliyopo inaitambua nafasi ya Urais kuwa ni ya watanganyika na makamo wa Rais shariti atokee Zanzibar! Kwa minajiri hiyo, huku bara, yaani Tanganyika, ndiko anakotokea Rais wa muungano wa...
  2. P

    Licha ya mambo mengine kuwa magumu kwako Rais Samia, basi tuondolee January Makamba tu!

    Staki nirudie mambo mengi tu ambayo kila leo yanasemwa na kuandikwa hapa jukwaani kuhusu ughali wa maisha n.k nadhani mh Rais ameamua kuyaacha ili kuandikwe historia nyingine mpya Katika nchi yetu, ambapo watanzania watakuwa kila wakikumbuka kuhusu hayo, basi linatajwa na jina la mh Rais wetu...
  3. P

    Kunyimwa kura kwa January Makamba kumewachanganya walamba asali, hususani Mzee Makamba

    Ukisikia mtu kupagawa ndio huku sasa! Walamba asali wamechachamaa baada ya jina pendwa la January makamba na Nape Nnauye walamba asali wakuu na walamba asali kwa ujumla kupigwa chini! Kwa Yale yanayowatoka wastaafu inatupa kuanza kuamini kwamba, nguvu yao ndani ya chama ni ya Mashaka Mashaka...
  4. P

    Hakuna mpango wowote wa kuwanasua Watanzania na umasikini uliyotopea!

    Nilimsikiliza Rais Dkt. Samia akigusia suala la behewa zetu used akisema, zimeagizwa ili zianze kutumika kabla ya zile mpya na nzuri na zenye gharama kubwa kuja, na ambapo amesema zitakuja mwaka kesho 2023. Swali la kujiuliza, kulikuwa na uharaka gani wa kutumia pesa zingine ambazo ninahisi...
  5. P

    Watanzania, tunaujasiri tena wa kusimama mbele za Wakenya kuwaringishia SGR yetu?

    Viongozi wetu ki ukweli mnajua kutuaibisha saaana yaani! SGR ya Wakenya tulikuwa tukishinda hapa kuwacheka na kuwalingishia ya kwetu kwamba, lao linatembea mwendo wa kinyonga, na ya kwetu itakuwa mithili ya bombardier yaani! Mlivyotufanyia viongozi wetu kwenye hizo behewa tuu, inatosha kabisa...
  6. P

    CCM haiaminiki hata kidogo kwa sasa. Tuna uhakika gani ikiwa siyo wao wanaohusika na ukamatwaji wa ndege zetu?

    Siwachoshi! Mliorogwa na jina JPM muendelee kuamini kuwa hasara zote za nchi hii chanzo chake ni yeye hata kama miaka miwili yuko kaburini! Swali ni je, ndege yetu iliyokamatwa huko imefanya safari ngapi za kwenda na kurudi hata kabla ya JPM kuwepo? Tutaaminije kama siyo mikono michafu ya...
  7. P

    Kwa nini tunaagiza magari kwa zaidi ya M300 na kisha kuyauza kwa M5 tena ndani ya mwaka?

    Tusiwe wanafiki, Elimu zetu mmiliki wake huwenda ni shetani! Na Kwa bahati mbaya shetani hana mazoea na watu eti waishi vizuri na Kwa raha! Serikali zetu endapo watu wake wangelikuwa na nia ya kuzitoa nchi zetu kwenye Lindi la umasikini wa watu wao! Basi kusingelikuwepo na matumizi makubwa...
  8. P

    Viongozi mnaudhi sana! Mbolea ya ruzuku inakaeje Dar na hamnaga mashamba huko!?

    Niko pwani, eti nikitaka mbolea ya Ruzuku niifate Dar? Na unatonywa kisiri siri? Mbolea inakaaje kwenye magodauni ya Dares alam ili hali inapaswa ikatumike Kwa wakulima waliolo Pwani? Mh msatasfu Rais Kikwete ni mkulima mwenzangu, Je yeye kweli anachukulia mbolea Dar badala ya huku kwetu...
  9. P

    Mbali na kukaa BBC miaka kibao! Naye hawezi kumshauri Rais? Watanzania na mkate!!? Mmh

    Nchi imekwama, kila kitu kimekwama, si maji wala umeme, si mvua wala chakula, si biashara wala viwanda, Kila unapogusa pa moto, Alipoteuliwa huyu dada yetu jina kapuni kwenda kukaa Ikulu yetu kutokea hapo BBC nikajua walau mambo yatakuwa sawa, tutatembea ki Uwingereza wingereza! Kipindi cha...
  10. P

    Kiongozi anayetetewa na viongozi wenzake badala ya wanachi, upo mkwamo pahala

    Ukiona hivyo, ujue hao viongozi wanaomtetea hawampendi kiongozi wao. Ni kweli kabisa maisha yamebadilika mno, natamani kiongozi wetu siku moja aache tu maisha yake hayo yasiyozijua dhiki na tabu, ajichanganye mtaani ashuhudie maisha ya wananchi kwa sasa, atatoa machozi bila kupigwa. CCM, jambo...
  11. P

    Hakuna mfanya biashara aliyeporwa fedha zake, kuwarudishia ni mbinu nyingine yenye ufisadi na viongozi kutengeneza biashara zao wenyewe!

    Aliyeporwa fefha zake, anapaswa aishitaki serikali na sio serikali kushughurikia malalamiko hewa ya wakwepa kodi Serikali Kulipa fedha yoyote Kwa mfanya bishara bila kuwepo madai ya kimahakama, ni mbinu nyingine Kwa viongozi kukwapua pesa na kujilimbikizia Mali za umma Hakuna aliyeporwa na...
  12. P

    Ikiwa wenye PhD feki wana manufaa na uchungu kwa nchi yetu, basi tunawataka waongoze nchi yetu

    Wahasimu wa Hayati JPM wanaendelea kutuaminisha kuwa, JPM hakuwa Mtanzania pia PhD yake ilikuwa feki. Licha ya hayo yote, wanaungana na wengi kuduwaa jinsi PhD feki ilivyo tofauti na PhD original. PhD original tulizonazo hapa Tanzania, hazitusaidii na hazijawahi kutatua matatizo yetu kama...
  13. P

    Tuliwaambia/Tunawaambia tena! Uongozi ni kipawa, Hayati Magufuli bado ni shujaa na atakuwa shujaa tuu!

    Kwa nini tulifikia uchumi wa kati mdogo Kabla ya lengo halisi la serikali? Malengo ya Serikali yake wakati wa uhai wake, ilikuwa tufikie uchumi wa kati 2022, lakini cha ajabu, Taifa lilifikia uchumi wa kati 2020 mapema kabisa, mbali na Dunia kuwa kwenye msukosuko wa Covd, lakini hakikuharibika...
  14. P

    Waziri wa Fedha, Tanzania haihitaji kukopa, udhibiti wa mapato yetu uongezwe na wezi wanyongwe!

    Iwapo ripoti za Mkaguzi mkuu wa fedha za serikali CAG ziatakaposoma upigaji 0.001, na pesa haitoshi ktk kuendesha nchi, hapo ndipo twaweza kwenda kukopa Waziri wa fedha unasini mikopo ya bilioni 500, huku upotevu na wizi wa kodi zetu ni zaidi ya bilion 700, maana yake ni nini.? Form four felia...
  15. P

    Ajali hii imetupa kujua, wananchi si kipaombele cha viongozi wao!

    Ndiyo maana mambo yanajiendea tu ili mradi liende! Wanachokiamua huko hata kama wanajua kina maumivu makali kwa wananchi, wao wanapitisha tu! Ajali zinatokea, wao ndiyo kwanza wanakuja na viti wakae kuona watu wanavyohangaika pindi ajali ikitokea! Tukio hili Watanzania kote waliko tumekuwa...
  16. P

    Kijana aajiriwe sawa, Je, Jeshi la uokozi waende wapi?

    Unajiuliza, huyu kijana anayepewa ajira kwenye Jeshi la wanamaji, Jana asingekuwepo kungetokea nini ili hali jeshi la uokozi lipo tu tangu nchi ipate Uhuru! Kwa nini wasifukuzwe kazi kwanza hao waliokuwepo Jana na kazi ilikuwa ni yao?
  17. P

    CCM, mna matatizo ya ubongo.? Miaka miwili kaburini, eti bado anaiba kodi za watanzania

    Kuvaa viatu vya mpambanaji na mtu wa vita, yapaswa na wewe uwe mtu wa vita ikiwezekana Mara mbili yake, kama alikuwa haruhusu sharubu zake ziguswe, kwa wewe iwe marufuku hata kusogelewa tu na kinyamkera chochote, kwani mazoea ni mabaya. Kwa nini imekuwa ni vigumu sana kuondoa umaarufu wa...
  18. P

    Vilaza, wafoji vyeti mlio hapa JF, Thibitisheni wizi wa JPM na sio ngojera zenu!

    Mmekuwa mkisema, Serikali ya JPM, ilikuwa ikipika data ya makusanyo, makusanyo hayakuwa hayo, alikuwa akikusanya billion kadhaa tu, Cha ajabu sasa, miradi ya matrion iliyokuwa ikiendeshwa na serikali yake na hakuna hata mmoja uliotelekezwa na awamu yake, tena bila tozo wala miamala ya kibenk...
  19. P

    2015/2021 Machi, kila kitu ilikuwa tumwombe Mungu, sasa ni zamu ya machifu kuomba kwa mungu wao ili mvua zije

    Jina Mungu lilitajwa kila alipokuwa asiyependwa na wafoji vyeti, JPM, Kwenye shuguhuli zote za Kiserikali, jina Mungu lilisimama, kwenye korona, jina Mungu lilisimama, na Kwa tarifa tu ni kuwa, Tulianza kuamini zaidi kuhusu Mungu na uweza wake Mvua hazikukata, shibe ilikuwepo, hatukushuhudia...
  20. P

    Ushoga ni utamaduni wa Magharibi, kwanini iwe shinikizo kwa nchi nyingine?

    Dunia yote imekubali kuwa ni wachumba tu kwa nchi za Magharibi, Marekani ikikohoa kuhusu utamaduni wake uheshimiwe na viongozi wote duniani, wote wanapiga saluti! Hakuna asiyefahamu, Mungu amewaumba wanadamu wenye jinsia tofauti, na kwa sababu hiyo, ili wanapokutana na kufanya tendo la ndoa...
Back
Top Bottom