kaburini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tukikubali maridhiano na CCM tutakuwa watu wa ajabu sana. Damu ya Polepole itatulilia hadi kaburini

    Watanzania wenzangu lazima tujitofautishe na wanyama ambao pengine hawana kumbukumbu wala utashi. Polepole alituambia kabisa kwamba kuna wazee wamepangwa kuja kufacilitate maridhiano baada ya uchaguzi wa 29 October 2025. Just imagine Balozi Humphrey Polepole alitufungua macho kuhusu script ya...
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ulipo kaburini unatamani urudi hata dakika kurekebisha ulichokikosea.

    Waliokufa wengi wanatamani hata wapate dakika chache warudi kurekebisha makosa yao. Na mwandikia hapa ni marehemu job ndungai kama nahisi anatamani hata hawa waliopo na kiburi wajiulize baada ya maisha ukifa utaacha nini wakukumbuke. Leo hata mtu ukimuuliza kulikuwa na spika wa bunge...
  3. baharia 1

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuzika haraka kwa Waislamu; Haiwezekani kuwa kuna watu wanazikwa wakiwa kwenye Coma?

    Hivi utaratibu wa waislamu kuzika mtu ndani ya masaa machache hauwezi kuwa unazika watu wakiwa hai? Kuna jambo nimekuwa nikalitafakari kwa kina sana hasa kwa upande wa sayansi na uhalisia wa kibinadamu. Hili suala la utaratibu wa ndugu zetu Waislam kukimbilia kuzika mwili ndani ya masaa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi Binafsi. Leo ningetimiza miaka 15 kaburini

    Hii ni kumbukizi ambayo natamani kusherehekea nanyi wana JF. Hili ni tukio binafsi lililonikuta miaka 15 iliyopita. Nitasimulia kwa ufupi nanyi mjifunze kitu, pia hata kama utakuwa unanifahanu au urahisi mi ni nani, acha haya mambo hukuhuku mtandaoni. Nikiwa nimemaliza chuo kikuu kimoja hapa...
  5. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Mkumbisheni Raisi kwamba Nguvu inayotumika kuwapeleka kaburini wateule wake inastahili

    Helolloooo Hizi off target hatuzipendi tunataka malaika watoa roho wapige panapostahili. Tutamaliza bia zote hadi tutaenda kunywea kwenye masufuria ya viwandani.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kusema ukweli nimeshindwa kabisa kusahau yaliyotokea oktoba29 sitasahau mpaka naingia kaburini!

    Nafanya mengi lakini ile siku ya oktoba 29, 2025 imegoma kutoka kichwani, sitasahau kabisa, nimekata tamaa kabisa ya maisha haya chini ya jua uzalendo wangu wa nchi hii uliishia pale! sina imani na yoyote! Waafrika tunaroho mbaya sana, waafrika sio watu wa kawaida kabisa ni kama kuna laana...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Chama cha Mwalimu, Chama cha ukombozi wa Afrika, Chama cha kijamaa, leo imeshtakiwa ICC. Julius Nyerere anabingirika kaburini

    ROSTAM AZIZ, Mweka Hazina Mstaafu wa CCM, anasema alipoanza mishe zake chamani, alikuta fomu za CCM hazina mahala pa kujaza MFANYABIASHARA. Chama kiliundwa kwa raison detre (SABABU YA UWEPO) ya kupigania wanyonge, masikini wa kutupwa, wakulima na wafanyakazi. Yeye anasema akasukuma...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Hata kama ninaowapenda wamekatwa majina yao, nitasimama na CCM hadi naingia kaburini

    Mimi nimezaliwa babangu mzazi akiwa Katibu Tarafa, alikuwa akifanya kazi pale Shirika la Ugawaji la Taifa - KIUTA, enzi hizo magazeti ni Uhuru, Mfanyakazi, Daily News na Sunday News.Sasa hivi Mfanyakazi halipo. Babangu ambaye ss hivi ni marehemu alikuwa kada lia lia wa CCM, hata hivyo amebakia...
  9. U

    JamiiForums Tanzania "Ukiwa na uwezo wa kumswalia mtume mara mia moja kwa siku hakuna siku utalala njaa mpaka unakwenda kaburini

    Nukuu ya Dr Sulle
  10. ubongokid

    JamiiForums Tanzania Shairi: Karibuni karibu

    ### Karibuni Kaburini Karibuni, enyi wapenzi wa nchi, Katika kaburi la matumaini, Miongoni mwa majani ya kijani kibichi, Tunakusanya mawazo, tunazungumza kwa ukaribu. Hapa, mahali pa historia, Tunakumbuka waliotangulia, Wale walioshinda vikwazo vyote, Wakijenga ndoto zetu, bila hofu yoyote...
  11. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naapa kutomkopesha Mtanzania hela mpaka naingia kaburini

    1. Mligo wa njombe 600000/= 2. Evodi wa kibaha 100000/= 3.Elibariki wa moshi kati ya 280000/= umenirudishia 15000/= 4. Dotto wa kibaigwa 45000/= 5. Mama Thadeo wa ilemela 68000/= Haya madeni yana miaka miwili na zaidi Mungu atanilipa. Ila mligo wa njombe ushapata adhabu yako hapahapa duniani...
  12. waungwanaTz

    JamiiForums Tanzania Simulizi za waungwana: Nzi hasiyefuata ushauri, huifuata maiti mpaka kaburini

    NZI Licha ya kuonywa na wazee,Chuwa aliziba masikio. Akaendelea kutumia fedha za mabeberu ili kuendesha kampeni zake. Baada ya kushinda uchaguzi na kuingia madarakani,mabeberu wakataka rejesho, rejesho hilo lilikuwa ni kumsainisha Chuwa mikataba mibovu ili wabebe mali za kijiji. Kadri mali za...
  13. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Usitafute Uhuru, maana Uhuru wa kweli Upo kaburini

    Maana ya Uhuru, huisha baada ya utambuzi, Baada ya kutambua kuwa uhuru si maamuzi, Maana kifungo na mipaka vinafanana, Aliyekuambia kuna uhuru, Utaupata Kakudanganya. Kuna asili inayofanya,Mwili wako mashine, Kufanya ugongwa uwe jela,halafu afya ni jela nyingine, Mjamaa amemwaga damu...
  14. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Tanganyika imejifunza mlipuko wa Gesi Kenya!Ujenzi kilalela tutavuna tunachokitaka! Wananchi wasubiri kupewa pole wakiwa kaburini?

    Leo 2-2-2024 "Lori moja ya nambari ya usajili isiyojulikana ambayo ilikuwa imesheheni gesi ililipuka na kuwasha moto mkubwa ulioenea sana. Mtungi wa gesi uligonga Godown na kuteketeza godown hilo linalohusika na nguo na nguo," msemaji wa serikali Kenya Isaac Mwaura alisema. TANZANIA. Biashara...
  15. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Tanga: Adaiwa kujinyonga baada ya kusikiliza Wimbo wa Dear Ex mara 60

    Kijana Jumaa Khamisi (32) amefariki dunia mara baada ya kujinyonga katika kijiji cha Kipumbwi Mji Mkuu Wilayani Pangani Mkoani Tanga huku ikihisiwa kuwa chanzo ni stress za kimapenzi kwakuwa Jumaa aliachana na Mpenzi wake na saa kadhaa kabla ya kujinyonga alisikiliza wimbo wa Dear X kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Umri huu ni kete yako ya mwisho, ukikosea ni majuto hadi unaingia kaburini

    Nina miaka 37, katika umri huu nimekuwa nafanya mambo mengi ya kiuchumi na kijamii hivyo najikuta nakutana na watu wengi sana tunaobadilishana nao mawazo yanayohusu mambo mengi ya uchumi na jamii, nilichokibaini wengi wa watu wanajutia makosa yao na wameshindwa kuyarekebisha makosa yenyewe ni...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Dunia hii! Sabaya Yuko Jela, Makonda hajulikani aliko, Magufuli kaburini, Mbowe anakula ubwabwa Ikulu

    Naomba niseme wazi, Sishabikii Kifo Cha Rais wetu Mzilankende, Ta Mwami Magufuli Joseph pombe na haitokaa itokee nishabikie kamwe, niseme pia sitokaa nimwombee Kwa Mungu eti amweke Pahala pema peponi. Niseme pia sishambikii Ole Sabaya kuwa jera, na hakika stokaa kamwe nimwombee kama niombeavyo...
  18. P

    JamiiForums Tanzania CCM, mna matatizo ya ubongo.? Miaka miwili kaburini, eti bado anaiba kodi za watanzania

    Kuvaa viatu vya mpambanaji na mtu wa vita, yapaswa na wewe uwe mtu wa vita ikiwezekana Mara mbili yake, kama alikuwa haruhusu sharubu zake ziguswe, kwa wewe iwe marufuku hata kusogelewa tu na kinyamkera chochote, kwani mazoea ni mabaya. Kwa nini imekuwa ni vigumu sana kuondoa umaarufu wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jinsi Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere alivyonisaidia mwaka 2011 akiwa kaburini

    Mwaka 2011 nilipewa kazi ya kutafuta almasi na kumtumia mfanyabiashara mmoja wa Ulaya. Katika harakati za kutimiza jukumu hilo nikajikuta nalazimika kwenda nchini Namibia ambako kuna wauzaji wa almasi ambao mfanyabiashara huyo alikuwa ameshaonana nao na akanituma nikakague almasi zao na...
  20. OffOnline

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka azuru kaburi la Hayati Mkapa Lupaso

    Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndg. Shaka Hamdu Shaka ametoa heshima kwenye kaburi la Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa huko Lupaso. Mhe Shaka Hamdu Shaka yuko mkoani Mtwara kwa ziara ya kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya 2020|25.
Back
Top Bottom