mashamba

Mashamba East is an open pit copper mine near to Kolwezi in Katanga Province, Democratic Republic of the Congo, currently not being actively worked.

View More On Wikipedia.org
  1. W Mallya

    JamiiForums Tanzania KERO YA KUNYANG'ANYWA MASHAMBA MAKOMERO IGUNGA

    WAMILIKI WA MASHAMBA – KATA YA MAKOMERO IGUNGA MJINI – TABORA TANZANIA Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: MHESHIMIWA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU DODOMA YAH: OMBI LA SERIKALI KUPITIA OFISI YA WAZIRI MKUU KUINGILIA KATI NA KUCHUNGUZA MGOGORO WA MASHAMBA KATIKA...
  2. W Mallya

    JamiiForums Tanzania Ombi la serikali kupitia ofisi ya waziri mkuu kuingilia kati na kuchunguza mgogoro wa mashamba katika kata ya Makomero, Igunga mjini, Tabora

    Mheshimiwa Waziri Mkuu, Sisi, wamiliki wa mashamba katika eneo la Makomero, Igunga Mjini, Mkoa wa Tabora, tunawasilisha kwako ombi hili kwa heshima kubwa tukiiomba Serikali kupitia Ofisi yako iingilie kati na kuwezesha uchunguzi wa kina kuhusu suala la matumizi na umiliki wa mashamba katika...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali iingilie kati na kuchunguza mgogoro wa mashamba katika Kata ya Makomero, Igunga Mjini

    WAMILIKI WA MASHAMBA – KATA YA MAKOMERO IGUNGA MJINI – TABORA, TANZANIA Tarehe: 17 Septemba 2026 KWA: MHESHIMIWA WAZIRI MKUU Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Waziri Mkuu DODOMA YAH: OMBI LA SERIKALI KUPITIA OFISI YA WAZIRI MKUU KUINGILIA KATI NA KUCHUNGUZA MGOGORO WA MASHAMBA KATIKA...
  4. funaku

    JamiiForums Tanzania Je mwenendo wa Chuo cha SUA kuipeleka nchi kwenye Vijishamba vya mjini badala ya kukuza mashamba ya vijijini upo sawa?

    Chuo cha Kilimo SUA kiliwekwa makusudi ili kuleta tija katika kilimo chenye kutupatia chakula na mazao ya biashara. Kwa uchunguzi wangu naona kama vile kinataka kutupoteza na sasa kinatoa wahitimu na ujuzi wa kilimo cha nchi zisizokuwa na utajiri wa ardhi. Wengi wa wahitimu wa SUA wanakuwa na...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Upimaji wa Viwanja na Mashamba Waendelea Nchini

    Katika mwaka wa fedha 2025/26, Wizara ilipanga kuratibu upimaji na uidhinishaji wa viwanja 500,000 na mashamba 500. Hadi Mei 15, 2026, jumla ya viwanja 193,317 vimepimwa na kuidhinishwa, sawa na asilimia 38.66 ya lengo, huku mashamba 515 yakiwa yamepimwa na kuidhinishwa, sawa na asilimia 103 ya...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Snails zimechukua Mashamba Mwea Rice Farmers Cry Out as Harvests Face Collapse

    Wakulima wa mpunga kutoka Mwea Irrigation Scheme wako na hofu kubwa baada ya uvamizi wa konokono (snails) kuharibu mazao yao kwa kiwango kikubwa. Hii ni crisis ambayo inaathiri moja kwa moja chakula na kipato cha wananchi wa kawaida. Farmers wanasema snails wanashambulia mpunga tangu nursery...
  7. danmarc

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mashamba karibu na mto, ziwa au bwawa lisilokauka mwaka mzima, kuanzia hekari 5-40

    Habari wadau usikeni na kichwa cha thread hapo juu , nahitaji shamba kwa ajili ya ufugaji na kilimo lenye chanzo cha maji cha uhakika mwaka mzima , lenye ukubwa wa heka 5 mpaka 40 , liwe mkoa wowote lakini ikiwa mikoa ifuatayo itapendeza zaidi : RUVUMA , IRINGA , SONGWE , MOROGORO Nawasilisha
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wangu, mashamba mengi makubwa ya bangi huwa ni ya viongozi wakubwa

    Ukibisha bisha tu lakini kiuhalisia ndio iko hivyo. Pwani wilaya ya Kisarawe maeneo ya mto Ruvu nikiwa huko kulikuwa na mashamba makubwa tu bangi ya vigogo na yana wafanyakazi kama sisi tulivyo na wafanyakazi kwenye kilimo cha nyanya. Vile napenda kuzurura nikaenda Morogoro tena hukohuko mto...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakulima wa Mpunga Kilosa tunateseka na Mashamba, wakati wa mavuno Halmashauri wanakuja na ushuru unaotuumiza

    Halmashauri ya Kilosa kuchukua Sh 2,000 kwa kila gunia la mpunga kwa Wakulima wa mpunga katika Kata ya KIMAMBA A na KIMAMBA B Wilayani KILOSA mkoani MOROGORO, ni maumivu makali kwetu kwa kuwa ni kama hawatusaidii chochote kisha Wakulima wanaolima Bonde la Kimamba kwa sasa wanahangaika na...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Walia, Serikali Yaingia Kazini Kutatua Migogoro ya Mashamba Muheza

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Leonard Akwilapo (wa pili kulia) akizungumza wakati wa kikao cha kujadili utatuzi wa migogoro ya mashamba ya uwekezaji katika wilaya ya Muheza mkoa wa Tanga. Wa pili kushoto ni Waziri wa TAMISEMI Prof Riziki Shemdoe na kulia ni Naibu Waziri wa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Mradi wa maji uliojengwa na China wafufua mashamba ya Kenya

    Kando ya kingo za Mto Nzoia magharibi mwa Kenya, mabadiliko ya kimya kimya yanaendelea kuonekana na kukita mizizi. Mashamba ambayo hapo awali yalikuwa matupu, yakikauka kwa ukame na kuathiriwa na mafuriko yasiyotabirika, sasa yamenawiri huku yakiwa yamesheheni safu zilizostawi za mazao, kutokana...
  12. Mwami Ntilubhazwa

    JamiiForums Tanzania Mashamba ya kilimo cha Nanasi Bagamoyo na Chalinze

    Mashamba kwa ajili ya kilimo cha Nanasi/mahindi/migomba nk yanapatikana,Bago,kiwangwa na Talawanda..Na mashamba pori yanapatikana pia. Bei rafiki. .Simu 0626431257
  13. Mwami Ntilubhazwa

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Mashamba Bagamoyo Chalinze

    Kwa anayehitaji Mashamba pori Wilaya ya chalinze na Bagamoyo kwa ajili ya kilimo,ufugaji na ujenzi anichek 0626431257. (MWAVI,KIWANGWA,TALAWANDA,MSATA,MWETEMO,MASUGURU,NK) WHATSAPP/CALL:- +255626431257
  14. Mashamba Makubwa Nalima

    JamiiForums Tanzania Kijana wangu ameteketeza kama 500M TZS kupata teuzi, leo kanipigia anasema bora tungebeba viwanja na mashamba tu Pwani

    Watu wengi walijua uteuzi mkuu utafanyika tena kipindi hiki na ushindani ungeishia ndani ya chama pekee, huku kwenye kura iendelee kuwa kiini macho. Pole mwanangu T, ulikuwa mpumbavu tu kwa kuwa ulikuwa unaenda kutetea utekaji, uuaji, ufisadi, maongezeko ya tozo in the name of KULINDA AMANI...
  15. MkuuXyz

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Mikoa gani inaongoza kwa kuwa na Ardhi za bei nafuu?

    Hivi ni Mikoa gani inaongoza kwa kuwa na ARDHI ZA BEI NAFUU ( MASHAMBA kwa ajili ya KILIMO NA VIWANJA kwa UJENZI WA NYUMBA ) Ukinitajia top 3 yako inatosha .
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Allah alitoa kibali cha kufaidi wake zenu vyovyote tutakavyo. Tusipangiane matumizi ya mashamba yetu

    ALLAH AMEWARUHUSU WAISLAM KUNYONYA MATITI YA WAKE ZAO NA KUNYWA MAZIWA YAO NA KUWAINGILIA KATIKA TUPU ZAO WATAKAVYO. Allaah Kamhalalishia mume kufurahi kwa mkewe atakavyo. Anaweza hata kufanya naye mapenzi kwa njia mbalimbali. Allaah (Ta´ala) Kasema: نسآؤكم حرث لكم فأتوا حرثكم أنى شئتم "Wake...
  17. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania 4BEDROOM FOR RENT,LOCATED AT MBEZI BEACH 🇹🇿

    #rent #STAND_ALONE HOUSE IKO-DAR-ES-SALAAM Tz MAHALI- MBEZI BEACH UPANDE WA CHINI ——————————————————— KODI USD 1300$/=KWA MWEZI ________________ MALIPO YA MIEZI 6 ————- IKO PEKE YAKE KWENYE FENSI _________________ KUBWA YA KIFAMILIA ______ YENYE:- Vyumba vinne vya kulala, # Master #Ac...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Bei ya mchele ukanda wa kusini na bei ya kukodisha mashamba ya mpunga

    Habari Wana jf samahani nilikua naulizia bei ya mchele kwa Sasa na bei ya kukodisha mashamba pia ya kulima
  19. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania YARD &GODOWNS FO SALE

    Eneo zuri sana kwa uwekezaji wa Viwanda, Yard na Magodown linauzwa Vingunguti Machinjioni, Ukubwa wa eneo ni 2 Acres Bei 2.5bill tsh Document: Available Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #plot #sale #realestate #housforsale #plotsforsale #godowns
  20. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Kwa zama hizi tulizopo urithi wa mashamba na mifugo umeshapitwa na wakati , kwa sasa mtoto wako kama hajui teknolojia ataendelea kuwa mtumwa .!

    Dunia ya Leo wanaomiliki bidhaa za kiteknolojia ndo wanamiliki ukwasi. MTU Kama mirradayo , diamond n.k Max Melo Ili uwafikie sijui unabidi ufuge mbuzi wa ngapi na ulime heka ngapi Dunia inashuhudia economic transformation kubwa Sana.
Back
Top Bottom