january makamba

  1. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Je, January Makamba “anahifadhiwa” kisiasa kwa ajili ya urais wa baadaye?

    kuna theories nahisi kwamba huenda January Makamba kapumzishwa kwenye spotlight ya siasa za kila siku ili kulinda brand yake kisiasa dhidi ya scandals, migogoro ya ndani, na kelele za uchaguzi wa ubunge. Wapo wanaoamini strategy inaweza kuwa hii usimuweke sana kwenye mapambano ya majimboni...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yakutana na January Makamba

    Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na mwanasiasa January Makamba. - Mkutano huo wa Tume na Makamba, ambaye amepata kuhudumu nafasi mbalimbali ikiwemo uwaziri katika awamu tofauti za...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Hapa January Makamba alimlenga nani hasa ndani ya CCM?

    Kuna maneno aliyachapisha January Makamba kuelekea uchaguzi wa kumpata mgombea Urais wa chama chake CCM kwa mwaka 2015 yamenitafakarisha Sana. Hivi haya maneno ya Makamba yalikuwa yamelilenga kundi lipi ndani ya chama chake? Jee CCM kuna kundi ilikuwa likishinda uchaguzi wa mgombea Urais wa...
  4. kyagata

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi January Makamba?

    Huyu jamaa toka jina lake likatwe huko CCM sijamsikia tena. Hata kutoa pole kwa waliokufa kwenye maandamano hajatoa. Hivi yupo kweli?
  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makamba: wingi wa wanatanga katika mikutano ya Samia ni ishara ya ushindi Oktoba 29

    liyekuwa Mbunge wa Bumbuli Mkoani Tanga Mhe. January Makamba ameelezea mapokezi ya Mgombea wa kiti Cha Urais Kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi(CCM)Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Tanga ambapo amesema kuwa wingi wa wanatanga katika Mikutano ya Dkt. Samia ni ishara Tosha itakapofika Oct 29,2025...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2025 January Makamba apokelewa kwa shangwe jimbo la Bumbuli, Tanga

    Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Bumbuli, January Makamba leo Jumatatu ya Septemba 08, 2025 amepokelewa kwa shangwe na wananchi wa jimbo hilo baada ya kuwasili katika uzinduzi wa kampeni za udiwani kwenye Kata ya Mponde. Makamba ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM)...
  7. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Siasa bhana, Nape anachonga vonyago na simanzi moyoni, nimeambiwa January Makamba akafungua Madrassa

    Kuna picha inamwonesha mwanasiasa Nape Nauye aliyemwita mwendazake mshamba, akamla kichwa, Leo anachonga vinyagooo. Leo hii NASIKIA Makamba amefungua Madrassa je nikweli? WALIOKUWA makampeni mastamind Leo hii wako benchi.
  8. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Baada ya Pole Pole kutubu (alivyoratibu CCM kuiba kura kimfumo), ipo siku January Makamba, Nape au Kinana nao watakuja kutubu

    Mungu sio Athumani, na wala Mungu hadhihakiwi, ipo siku mbichi na mbivu za michezo michafu ya wizi wa kura inahusishwa kufanywa na January Makamba, Nape Nnauye na Kinana itawekwa wazi na wao wenyewe huku wakitubu kwa machozi. Nipo paleeee!
  9. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania January Makamba kujiajiri?

    Baada ya kutemwa ngazi zote (uwaziri na ubunge) Je Makamba atajiajiri kama Sisi Makenge?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi - January Makamba: Madaraka uliyobeba ni kama koti la kuazima

    Mbunge wa Bumbuli anayemaliza muda wake, January Makamba alipokuwa kwenye mahojiano na kituo cha Radio 1, April 2019 kwenye kipindi cha kumepambazuka alieleza kuwa madara ni kama koti la kuazima. "Madaraka uliyobeba ni kama koti la kuazima na ukiwa na mbwembwe na nyingi ukiwa umelivaa lile koti...
  11. kibori nangai

    JamiiForums Tanzania Mimi Kibori Nangai naamini hadi leo January Makamba na Stephen Biabato wakiwa mawaziri kuna kitu walifanya

    Mimi binafsi Naamini huko serikalini JANUARY NA BIABATO kuna kitu cha ajabu sana walifanya wakiwa mawaziri wa Mambo ya njee Na aliyemponza Biabato ni JANUARY hakuna mwingine Na walijua fika hawatarudii Bungeni hata iwejeee . Sasa Biabato anapoteana akati January' anasindicate kubwa ...
  12. Lucas mwashamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwako ndugu January Makamba

    Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January Makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME maana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
  13. B

    JamiiForums Tanzania GE2025 January Makamba: Hoja kwamba nautaka Urais hizo ni ramli tu, muda bado upo

    Mbunge wa Jimbo la Bumbuli anayemaliza muda wake, January Yusuph Makamba, amesema amepokea kwa moyo mkunjufu na utulivu maamuzi ya Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya kumuengua kwenye orodha ya wanachama wanaowania kuteuliwa kugombea ubunge katika jimbo hilo kuelekea uchaguzi mkuu wa...
  14. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania GE2025 January Makamba aliwa kichwa Bumbuli

    Jina lake limekatwa huko Bumbuli. Aanze kula pensheni yake aliyoichota akiwa Waziri wa Umeme Pia soma 1. > Pre GE2025 - Kutoka Jimboni Bumbuli tunasema Rais Samia mitano tena, Januari Makamba hatumtaki 2. > Pre GE2025 - Wanaodai kuwa Wananchi wa Bumbuli wamtaka Makamba ajiuzulu Ubunge, wadai...
  15. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi January Makamba na Nape wamechukua form za ubunge kweli?

    Hawa watu wawili sijaona wala kusikia kama wametia nia ya kutetea nafasi zao za ubunge kwa kuchukua form. Kuna mwenye kujua lolote?
  16. Mtoa Taarifa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba alivyowasili kwenye Mkutano Maalum wa CCM

    Mbunge wa Bumbuli na Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiwasabahi Wajumbe wa Mkutano wa CCM uliofanyika Jijini Dodoma ambapo yeye pia amehudhuria Mkutano huo Maalumu.
  17. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi Bumbuli wamtaka Makamba aendelee kuwa mbunge hadi Mungu atakapomchukua

    Hivi hawa watu huwa wamepangwa ama huwa wanaongea kwa akili zao timamu kabisa? === Wananchi wa Bumbuli wakati wakizungumza mbele ya Mbunge wao January Makamba wameeleza kuwa wanamshukuru kwa uchapa kazi wake na watasimama naye 2025-20230 huku wengine wakienda mbali zaidi wakisema wanamtaka...
  18. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wazee Bumbuli: Tutamchukulia Fomu January Makamba kwa Fedha Zetu!

    Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) pamoja na wazee wa Jimbo la Bumbuli, Mkoani Tanga, wameibuka na ahadi ya kumchukulia fomu ya kugombea ubunge kwa Mbunge wao wa sasa, January Makamba kwa kutumia fedha zao binafsi kama ishara ya kutambua mchango wake mkubwa katika maendeleo ya jimbo hilo kwa...
  19. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanaodai kuwa Wananchi wa Bumbuli wamtaka Makamba ajiuzulu Ubunge, wadai amekuwa mtalii Jimboni

    Wananchi wa Jimbo la Bumbuli mkoani Tanga wamemtaka Mbunge wao, January Makamba kujiuzulu nafasi hiyo kwani ameshindwa kutekeleza aliyowaahidi wakati wa kampeni. Wamesema, Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu kura zote za Urais watampa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, lakini ubunge hawatampa January...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 January Makamba: Bumbuli imeendelea kwa kiasi kikubwa ukilinganisha na miaka ya nyuma

    Mbunge wa Bumbuli na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM, Mhe. January Makamba amesema kuwa Wana-Bumbuli wana vitu kwa kujivunia sababu wametoka mbali sana kimaendeleo ukilinganisha na miaka ya nyuma ilivyokua kwenye jimbo hilo. Makamba ameyasema hayo wakati wa mikutano mbalimbali aliyoifanya...
Back
Top Bottom