ushoga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Z

    JamiiForums Tanzania MNAPATA WAPI NGUVU ZA KUSAPOTI USHOGA?

    #Hali ni mbaya Guys,hili suala la watu kusapoti ushoga waziwazi linazidi kuota mizizi, je huu ndo unaitwa "uwana harakat..?" au ni watu wako kazini kupitia NGO's zinazosapoti masuala ya ushoga? Hata kama wewe hufanyi ule usodoma,haimanishi uko salama Mfanyaji na mfanwaji wote ni...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Maskini hawana kazi ya kufanya, ndio wanaojifanya wana uchungu na ushoga. Ndio wanaompa airtime Dudubaya

    Let's say Juma na Salum wanafanya mapenzi wao kwa wao wewe ambaye hufanyi inakuuma nini? Unaathirika vipi? Biashara zako na kazi zako haziendi kwakuwa kuna wanaume 2 Dar wanageuzana? Maskini hajui Sheria wala haki zake na za watu wengine. Watu walioendelea huko USA na kwingineko wameona ni...
  3. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kushinda ushoga kama unaedhania ndio atakaye kuwa msaada wako ni mtumiaji wa mashoga hao.

    Kwa hii hali ambayo mashoga wana tamba mitandaoni hadi wanaji rekodi live video, kuna kitu nyuma yake
  4. ngara23

    JamiiForums Tanzania Vita ya ushoga ni ngumu sana kuliko hata madawa ya kulevya, Dudu ashafungiwa na Basata

    Binafsi sioni kosa la Dudu baya Naona anajitoa kupinga uvunjifu wa maadili Badala BASATA kama chombo cha serikali wamfungie? BASATA wanamfungia Dudu Kwa kosa gani? Kuna uwezekano hadi uko BASATA yamejipenyeza mabwabwa Mashoga yamejipenyeza hadi serilini Wafanya maamzi baadhi ni machoko
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Huwezi ukawa mzinzi halafu ukawa mwanaharakati kuponda ushoga. Ushoga ipo ndani ya uzinzi!

    HUWEZI UKAWA MZINZI ALAFU UKAWA MWANAHARAKATI KUPONDA USHOGA. USHOGA IPO NDANI YA UZINZI YAANI NI SUB SECTION. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Angalizo: andiko hili limeandikwa kwa lugha na maneno magumu kidogo. Hivyo kama wewe sio mvumilivu na haupendelei maneno magumu Mtibeli anakushauri...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Kama utani, dudu baya ameipeleka mbele hoja ya ushoga Hadi JF😌😌

    Ilianza kama utani lakini ndo hivyooo, great thinkers Sasa wanaongelea ushoga tu muda wote. Kijijini kwetu, mwanaume unatakiwa kujiamini na hutakiwi kuyazungumzia mambo ya kijinga kama ushoga Kila dakika.....yaani Kila unapofungua kinywa basi wewe ni kutaja neno hilo tu. Jamii itaanza kukuwekea...
  7. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Psychoanalysis ya wapinga ushoga

    Mara zote niko makini sana kusoma tabia na saikolojia ya wapinga ushoga kwa muda mrefu sana sasa. Ni wazi na bila shaka kabisa, nimebainisha na kujiridhisha, na ninaweza kusema bila hofu yoyote kwamba, wapinga ushoga wengi wao ni mashoga, au kwa asilimia chache, ni watu wanaoogopa kuwa mashoga...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Afumaniwa akidaiwa kuwaingilia vijana wawili kinyume na maumbile

    Wanaume watatu wamekutwa katika chumba kimoja eneo la Msasani, Kitongoji cha Oloresho, Kata ya Moivo, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, katika mazingira yaliyoibua mashaka miongoni mwa Wananchi. Mmoja wa Wanaume hao, aliyefahamika kwa jina la Alex Kimario, anayedaiwa kuwa dereva wa bodaboda...
  9. Pakome

    JamiiForums Tanzania Acheni kuwaaminisha watu kuwa ushoga unarahisishia vijana kupata maisha mazuri, tabia hii itatochea vijana kushogeka

    Kumekuwa na tabia ya kutukana vijana wenye maisha mazuri kuwa wanahongwa au wanashogeka ndiyo sababu ya kupata maisha mazuri Tabia hii itaongeza idadi kubwa ya mashoga kwasababu si ngumu kwa kijana kuacha Landcruser au Mercedes Benz kwasababu ya kuogopa kutoa utu wake Kumbukeni kuwa vijana...
  10. tpaul

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dudubaya: Je Serikali inaunga mkono ushoga?

    Dudubaya siku zote amekuwa mstari wa mbele kupinga vitendo vya kishoga hapa nchini. Huyu jamaa anastahili kabisa kuwa balozi wa kupinga ushoga. Hakuna mtu asiyefahamu jinsi Mambaz24 anavyopambana dhidi ya mashoga na wasagaji katika taifa hili. Pamoja na juhudi zote hizi, nimesikitishwa sana...
  11. ngara23

    JamiiForums Tanzania Afande Sele achukizwa wasanii kuunganishwa na wenye tuhuma za Ushoga kwenye Wito wa Waziri Katambi

    Afande Sele amehoji inakuwaje wasanii eanaunganishwa na watu wasio na maadili kama mashoga akina Anko T, Juma Lokole, Noela n. K, Hii inawafanya jamii ione kama usanii na Mziki kuonekana ni kitu kimoja na matendo ya ushoga Ndo maana mtu makini kama Dudu baya alikaidi wito wa Katambi Pia...
  12. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Je, bongo fleva ndio chanzo kikuu cha Ush

    Video za Bongo Fleva zina hamasisha Ushoga na kinyume na maumbile? Nyimbo ndio zinahamasisha/ Mashairi? Mavazi ndio yanahamasisha?
  13. Etwege

    JamiiForums Tanzania Wilaya ya Temeke yaongoza kwa ushoga nchini

    Ripoti ya kitaifa ya makadirio ya ukubwa wa makundi maalum ya mwaka 2025 (National Key Population Size Estimates), iliyoandaliwa kwa kutumia takwimu za makadirio ya idadi ya watu kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), imebainisha kuwa mkoa wa Dar es Salaam unaongoza nchini kwa kuwa na idadi...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kwanini Dkt. Dorothy Gwajima, akulizwa kuhusu ushoga au mashoga ambao wanajitapa anakuwa anakwepa kwepa?

    Nahisi Dkt. Dorothy Gwajima upo hapa JF. Umeweza kuibua na kuzibiti maovu mengi kupitia mitandao ya kijamii na mpaka wengine kuchukuliwa hatua. Ila Dkt. Dorothy Gwajima ili la mashoga limekuwa likilalamikiwa mpaka wengine ni watangazaji, wasanii na n.k ila kiufupi nikiangalia kwa ufupi wote...
  15. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Baa na Club Kubwa za Buza: Viwanda vya Kuzalisha Mashoga - Ni Wakati wa Kufichua Uovu Uliofichwa Mbele ya Macho Yetu!

    Dunia inacheka huku inaungua. Na sisi, Watanzania, tumelala usingizi wa pono, tukipuuza, huku moto ukiteketeza mtaa baada ya mtaa. Tumetulia, tukijiaminisha kuwa maafa bado yako mbali, bila kujua kwamba tayari yamevunja milango yetu na kuingia chumbani. Ukweli huu ni mzito na mchungu, na...
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa watu wanaopinga ushoga katika nchi za kihafidhina

    Kwa nini watu wengi wa mataifa yanayopinga ushoga hasa kutoka Africa na Asia huwa wanakimbilia mataifa yanayoruhusu ushoga badala ya yale yasiyoruhusu ushoga? Mfano Ghana imepitisha Sheria kali za ushoga nchini kwake ila raia wake wamejazana kama wahamiaji halali na haramu Africa Kusini hadi...
  17. bless on

    JamiiForums Tanzania Ghana Yapitisha Sheria Kali Dhidi ya Ushoga

    Ghana imepitisha moja ya sheria kali zaidi barani Afrika dhidi ya ushoga baada ya Bunge kuidhinisha Muswada wa Haki za Kijinsia za Binadamu na Maadili ya Familia wa mwaka 2025. Sheria hiyo inaweka adhabu ya kifungo cha hadi miaka mitatu kwa vitendo vya ushoga, na hadi miaka mitano au zaidi kwa...
  18. baharia 1

    JamiiForums Tanzania HOJA Janga la Mashoga Mitaani na kwenye Familia... Kwanini Serikali na Jamii wanafumbia Macho?

    Huu sio wito wa majadiliano, huu ni msimamo na ujumbe unaolenga kuhamasisha jamii kuhusu suala la ushoga. Inakuwaje ushoga uendelee kushamiri mitaani huku wahusika wakijinasibu mbele ya macho ya jamii? Wapo wanaoamini kuwa hali hii imeendelea kuvumiliwa kupita kiasi na kwamba jamii inapaswa...
  19. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mwana CCM Suphian akana tuhuma za kujihusisha na ushoga wakati akifanya mahojiano na Edwin Odemba

    Kama sio kweli basi badili Body movements ====== Edwin Odemba: Gazeti la Tanzania Daima, toleo la 421 la tarehe 20 April, mwaka 2019, liliandika kwenye ukurasa wake wa mbele kabisa ya kwamba Shoga Suphian awachanganya Zitto na Maalim Seif, na ikawekwa picha yako. Hatukuona mara popote...
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kuangalia kwa muda mrefu porn kunaweza kusababisha watu kuendelea kutafuta maudhui makali zaidi na mwisho kujaribu vitendo vya ushoga

    hili jambo jamii haitaki kulisema sijui inaona aibu kuliongelea kwa vile wenye indusrty yao watasema hakuna ushahidi wa kisayansi lakini amini usiamini matumizi ya porn yanaweza kusababisha kile kinachoitwa "escalation", ambapo mtumiaji huanza na maudhui ya kawaida lakini baada ya muda...
Back
Top Bottom