magharibi

As of 2013 with the coming into effect of the new constitution, each county has its own government and therefore there is no central regional capital. Kakamega is the seat of government for Kakamega County, Bungoma County has its seat in Bungoma town, Busia County has the Assemble in Busia, Vihiga County in Vihiga town, all the County governments and governors are answerable to the people not to the national government.
The Western Region (Swahili: Magharibi) of Kenya, bordering Uganda, is one of former Kenya's seven administrative provinces outside Nairobi. It is west of the Eastern Rift Valley and is inhabited mainly by the Luhya people. Quakerism is widely practised here. Kenya's second highest mountain, Mount Elgon is located in Bungoma County. The Kakamega Forest rainforest is part of the area. The province capital is the town of Kakamega.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Diaspora ni kutoka nchi za Magharibi tu?

    Sijawahi kusikia watz waliochukua uraia wa Sauth Afrika, Korea Kusini, Japan, China wakilalamika na wakiandama iki watambulike. Wengi wanaojitambulisha kama Dispora ni kutoka nchi za Magharibi Maandamano yote dhidi ya tz ni kutoka Germany, UK, USA, Canada. Kwanini?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi

    Tuwazuie watanzania wanaokwenda kusoma nchi za Magharibi. Sababu kubwa kutapelekea nchi zetu za Africa ktk matatizo makubwa za kiuharakati na kuleta matatizo makubwa. Zipo nch kama Japqn, Korea Kusini , Malaysia, indonesia zipo mbele sana kielimu, tuwapeleke huko
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wengi wa Tanzanian wamesoma nchi za magharibi. Hawajui vizuri historia ya dunia

    Ktk akili zao wanaamini nchi za magharibi zitakuwa na nguvu mpaka dunia inaisha. Wamelishwa aina flani ya msimamo na propaganda Hawajui historia vizuri. Wamezaliwa wameona basi akili zao zinaishia hapo
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi. Heri ya Sikukuu ya Pasaka

    Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi. Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
  5. Echolima1

    JamiiForums Tanzania IRGC Yatishia Makampuni makubwa ya Magharibi

    Baada ya viongozi wakuu wa iran kuuwawa kila siku Sasa IRGC-Walinzi wa Mapinduzi ya Iran walitangaza kwamba kuanzia kesho saa 20:00 saa za Tehran, mauaji yoyote zaidi ya afisa mkuu wa Iran yatasababisha kulipiza kisasi dhidi ya orodha ya makampuni makubwa. Taarifa hiyo inataja makampuni ikiwa...
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya Uchafu Zanzibar, mkoa wa Mjini Magharibi, Wilaya ya Mjini Jang'ombe - Shehia ya Kidongo Chekundu

    Kwa shehia ya Jang'ombe, Kidongo Chekundu na Baraza la Manispaa mjini ishughulikie takataka zinazozagaa na kutelekezwa katika jalala la Jang'ombe, Kidongo Chekundu. Hii hali imekuwepo muda mrefu bila uchafu kuja kuchukuliwa, ukizingatia jalala lipo kwenye makaazi ya watu na karibu na skuli...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Iran inataka kushambulia Pwani ya Magharibi ya Marekani kama kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Marekani

    Ripoti zinasema kuwa FBI imetoa tahadhari kwa vyombo vya usalama katika jimbo la California kwamba Iran inaweza kufanya shambulio la kulipiza kisasi dhidi ya Marekani. Inaelezwa kuwa shambulio hilo linaweza kutumia ndege zisizo na rubani (drones) zinazoweza kurushwa kutoka meli isiyojulikana...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi wale vijana wa CHADEMA waliofanywa mamluki wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi na kuhifadhiwa nchi jirani bado wapo?

    Au kwasasa wameishiwa ubunifu wa porojo, uongo na uzushi mpya dhidi ya taifa lao kwa manufaa na hisani ya mabwana zao waliokua wakiwatumikisha? Na ile ahadi ya kutafutiwa kazi ubiligiji wametimiziwa? Umaskini wa kifikra na unyonge wa kiuchumi unaweza kupelekea vijana wengi wa chadema kufanywa...
  9. X

    JamiiForums Tanzania Kwanini China haiingilii kati kusaidia mataifa mengine yanapovamiwa na nchi za Magharibi?

    Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu China kutoingilia kati pale mataifa ambayo yamekuwa na uhusiano wa karibu na China yanapovamiwa. Wengine wamefikia hatua ya kusema China ni waoga na sio wa kuwaamini. Gumzo lilianza Marekani na washirika wake walipovamia Syria na Iran na sasa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wakati Nchi za Magharibi wakijiandaa na Christmas, Masheikh wa huko waamua kuivuruga

    Uislamu umevamiwa na Maislamists ambayo yanaongozwa na Katiba na Mikakati ya Muslim Brotherhood (MB). Hawa jamaa hawana interest ya kuwafikisha waislamu Ahera, bali wao interest yao ni Islamic Conquest ya Jamii nyingine ambazo si za Kiislamu. Aidha, hatima ya yote wanataka kusimamisha Dola ya...
  11. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Media za Magharibi zinatumika kuharibu amani yetu

    Sijawahi kuwaona CNN ,DW wala BBC wakiwa karibu na nchi yetu kiasi hiki Tume kuwa tukifanya mazuri mengi hata mabaya vyombo hivi havijawahi kuonekana kujikita na taarifa za nchi yetu ila wakati huu wamekuwa mstari wa mbele sana kurepoti vya kweli na visivyo vya kweli kwa ukaribu na userious...
  12. Richard

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, rais mteule Samia Hassan akishaapishwa amejipanga vipi kuongea na mabalozi wa nchi za magharibi ambao aliwakatia mawasiliano Jumatano iliyopita?

    Kama tunavyofahamu jumatano ilopita kulikuwa na patashika khasa baada ya internet kuzimwa nchi nzima kupisha kazi ya Mafwele na vikosi vya mamluki kuwasaka, kuwatambua na kuwakamata kisha kuwatesa na kuwaua vijana wadogo. Haya kama hayatakuwa mauaji ya halaiki ni lazima yawe documented kwa...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zinaongoza kwa rushwa duniani

    Ukichunguza vizuri nchi hizi utaona ndiyo vinara wa rushwa duniani. Rushwa zao wamezifichaficha na kuzihalalisha kwenye makaratasi. US wanapeana rushwa kubwa kubwa wanazoita lobbying. Unakuta wafanyakazi wengi wa serikali wakistaafu wanaenda kupata kazi nono kwenye makampuni yaliyokuwa...
  14. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Urusi yaanzisha mashambulizi mapya magharibi mwa Ukraine

    Urusi imerusha mamia ya ndege zisizo na rubani na makombora magharibi mwa Ukraine usiku kucha katika moja ya mashambulizi makubwa zaidi ya mabomu katika wiki za hivi karibuni, maafisa wa Ukraine wamesema. Mashambulizi hayo yaliripotiwa huko Zaporizhzhia, Dnipropetrovsk, na Lviv, ambapo mtu...
  15. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Magufuli anafariki Mashariki, Traore anaibuka Magharibi. Burkina Faso inapepea mwendo wa Ngiri mkia juu

    Upande wa mashariki mwa Afrika nchini Tanzania. Hayati John Pombe Magufuli aliupiga mwingi sana enzi za utawala wake kiasi kwamba uchumi ulipanda mpaka uchumi wa kati kabla ya kurudi kwenye uchumi wa chini katika utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan. Magufuli alileta Elimu bure jambo lilionekana...
  16. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vibaka wamekithiri katika Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja

    Mimi ni mdau wa JamiiForums, naishi Zanzibar mkoa wa Mjini Magharibi, Shehia ya Kwahani. Kero yangu kwa mamlaka za Usalama na hasa Jeshi la Polisi Zanzibar - mbona lipo kimya sana huku kukiwa na matukio ya baadhi ya wananchi mitaa hiyo wakitembea usiku na mchana Kuna vibaka wanawapora Mali...
  17. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania China imefungia Mtandao wa Onlyfans ikitaja kuwa chanzo cha Mmomonyoko wa Maadili

    Serikali ya China imefunga rasmi jukwaa la OnlyFans, ikilitaja kuwa ni mfano wa mmomonyoko wa maadili kutoka Magharibi. Hatua hiyo imechukuliwa baada ya jukwaa hilo kufunguka kwa muda mfupi bila VPN, hali iliyozua hisia kuwa huenda sera zimelegezwa, lakini marufuku ikarejeshwa haraka China...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya CHADEMA Same Magharibi yabadilishwa kuwa ya CHAUMMA

    Mali za Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Jimbo la Same zimetolewa nje katika iliyokuwa ofisi ya chama ya jimbo hilo kwa kile kilichoelezwa ni kutokulipwa kwa kodi kwa miezi sita. Leo Julai 17, 2025 wameonekana mafundi wakipaka rangi na kufuta majina pamoja na rangi za CHADEMA ili...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Hoteli, Loji na Gesti nyingi za Kagera na Magharibi ya Uganda zina Magodoro yaliyozungushia Nylons?

    Na kwanini ukitoka humo ndani (kama uliingia na Mwanamke) Wahudumu wakiona Nylons ni Kavu si tu Wanakucheka bali Wanakudharau mno? ONYO Kama unajijua huna Utani wa Kijadi na Kiutamaduni na Wahaya au Watu wa Mkoa wa Kagera (Bukoba) kama Mimi GENTAMYCINE tafadhali kaa nao mbali, kwani nawajua...
  20. Sun Zu

    JamiiForums Tanzania Urusi: Hatutishwi na blah blah za Trump na Magharibi

    Mkuu wa baraza la ulinzi la Urusi Dmitry Medvedev amesema Urusi haitishwi na kauli ya raisi wa Marekani Donald Trump kuhusu vikwazo zaidi kwa nchi hiyo endapo itagoma kusaini mkataba wa kusitisha vita huko Ukraine ndani ya siku 50 (49 sasa 😁) zijazo. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X...
Back
Top Bottom