wapambe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Asante CCM

    Wapambe siku zijazo: Rais Samia ni jembe ameukataa mkataba wa bandari

    NAPE: "Tukiwaambia Rais yupo kwa ajili ya maslahi ya umma muwe mnaelewa. Rasmi amekaa upande wa Wananchi na ameamrisha huo mkataba usimamishwe kwanza. Samia, oyeee!" GERSON MSIGWA: "Niliwaambia tokea mwanzo Rais wetu mama Samia Suluhu Hassan ni msikivu na katika hili nalo kawasikia Wananchi...
  2. Satoh Hirosh

    Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

    Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima. Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai...
  3. P

    CCM, mna matatizo ya ubongo.? Miaka miwili kaburini, eti bado anaiba kodi za watanzania

    Kuvaa viatu vya mpambanaji na mtu wa vita, yapaswa na wewe uwe mtu wa vita ikiwezekana Mara mbili yake, kama alikuwa haruhusu sharubu zake ziguswe, kwa wewe iwe marufuku hata kusogelewa tu na kinyamkera chochote, kwani mazoea ni mabaya. Kwa nini imekuwa ni vigumu sana kuondoa umaarufu wa...
  4. Poppy Hatonn

    Waziri Biteko awaasa wapambe wake kuacha ushamba

    Alikuwa anaongea kana,anasema watu wengine katika wizara yake wanamonopolize gari,hawataki mtu mwingine alitumie,kwa hiyo wakati mwingine kazi hazifanyiki wakati gari ziko idle. Huo ni ushamba,amesema. Sawa,labda ni ushamba. Lakini ushamba ndio unaoliokoa Taifa. Watu washamba ndio wanaotunza...
  5. Jidu La Mabambasi

    Ushauri tu: Wapambe tumwepushe Rais na sifa zinazoweza kumdhuru

    Nimeona clip hii ya uchambuzi wa kitabia, ambao nimeona vema kushare. Kimsingi waanasiasa walio karibu na rais inabidi waelewe kuwa Rais ni binadamu. Kwa kujipendekeza kwao wasijekufuru kumfananisha Rais na Mwenyezi Mungu kwa hali yoyote. Ni ushauri tu.
  6. chiembe

    Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

    Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri). Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa...
  7. Adharusi

    Wapambe wanavyojaribu kumchonganisha na Nduga na Rais Samia

    Kuna mjadala mkali Sana ishu ya mikopo ya Nchi ,Kwa makusudi au Kwa Nia hovu wapambe wanatufuta namna ya kumchonganisha Ndugai na Rais Binafsi nilimsikiliz Ndugai wala hakua anamkosoa Rais Samia ,Bali alikua anatoa hamasa Kwa jamii yake umuhimu wa Tozo (ili wengi wamelihaacha Kwa Nia mbaya...
  8. Imalamawazo

    Mwanasiasa sharti uwe na wafuasi siyo wapambe. Somo kutoka kwa Hayati Maalim Seif na Hayati Dkt. Magufuli

    Hawa miamba wawili waliotikisa siasa za Tanzania na Zanzibar kwa miaka ya hivi karibuni. Ulinganisho wao unatokana na ukweli kuwa wote walikuwa viongozi wa juu wa kisiasa na pia muda wao wa kiaga dunia ulikaribiana sana. Kila mmoja kati ya viongozi hawa walikuwa na misimamo, falsafa na mitazamo...
  9. Nyankurungu2020

    Tawala nyingi za kiafrika hunguka kutokana na Wakuu wa Nchi kupotoshwa na wapambe wao

    Kiongozi wa nchi anakuwa na wapambe wa kila namna. Hawa wanakuwa na jukumu la kumjuza mkuu wa nchi juu ya masuala muhimu ya taifa analoongoza . Hata akina Nkwame Nkurumah walipotoshwa na baadae wakajikuta wanapinduliwa. Maana kiongozi akipotoshwa huwa hasimamii kweli na madhara yake hufanya...
  10. Evelyn Salt

    Mashemeji huwa ni wapambe sana, wapambe nuksi

    Kwenu mashemeji... Hadi sasa hajatokea bado mtu wa kuivunja rekodi ya mashemeji kwa upambe, mashemeji ni wapambe sana yani ni wapambe nuksi. Halafu tabia zao zinavyofanana unaweza kudhani lilikusanywa kundi la watu wakawekwa pamoja wakaambiwa nyie mtaitwa shemeji na tabia zenu zitakua hizi...
Back
Top Bottom