Nikiwa shule ya msingi, miaka 30 aliyopita.Nikiwa darasa la nne au la tano hivi, nilitokea kuvutiwa sana na Dada mmoja, namuita Dada kwa sababu alikuwa mkubwa kwangu, alikuwa darasa la sita au saba wakati huo sikumbuki vizuri.Alikuwa anaitwa Caroline.
Alikuwa mweupe, nywele laini macho makubwa...
Mwigizaji mashuhuri wa filamu nchini Rwanda, Sandra Ishimwe, anayejulikana zaidi kama Nadia katika mfululizo maarufu wa "City Maid," ametoa wito mzito kwa wazazi kuchukua jukumu la kuwafunza watoto wao jinsi ya kufanya maamuzi sahihi wanapochagua watu wa kuingia nao kwenye mahusiano ya...
Nimeona taasisi za Serikali zinatoa Pole kwa mke mdogo wa Hafidh tu. Je, Mke wa Kwanza ni kwamba hajafiwa au?
Kufa au kifiwa hakina cheo.
Taasisi zingesema pole kwa Wajane, Watoto na Familia ya Hafidh Hassan.
Lakini haya ya kumpa pole Mzanzibari Samia Suluhu Hassan pekee ni pole za kinafiki...
.
Leo ngojea nijaribu kuandika kwa kifupi.
Kaka zangu,kama una mke/familia ambae unampenda,unamjali na kumlinda kwa namna zote zinazomaanishwa na haya maneno na ikiwa kula yake,mavazi yake,malazi yake na huduma zote anazohitaji binadamu anazipata kutoka kwako halafu ikatokea mke huyu akachit...
Hivi kuna ukweli katika maoni kwamba wanawake ambao wameolewa au waliwahi kuolewa wake wenza mara nyingi huwa na hasira kali sana ya kisasi? Inasemekana kadiri walivyokuwa chini kwenye uke wenza ndivyo wanavyokuwa na roho mbaya zaidi - yaani mke mwenza wa tatu mara nyingi atakuwa na hasira kali...
Nianze na mimi huwa namuita My Racing white darling❤️ yeye huniita Daddy.........................................Je, wewe unamuita kwa jina gani la utani ili kukoleza upendo?
Unakuta mdada au mmama anaingia faragha na mwenzake lakini jogoo anagoma kuwika.
Badala ya kumbembeleza ndio anaanza kumkejeli na kumdhihaki.
Utasikia huna lolote. Nini hiki huku anashikashika dudu. Hii mbaya sana maana watu tuna stress.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi amezungumza hayo Mei, 26, 2026 kuelekea, kikao kazi cha kitaifa kitakachofanyika jijini Dodoma Juni 1 hadi 3, 2026.
Kikaso hicho kitawakutanisha Wakurugenzi na Wakuu wa Idara za Utawala na Usimamizi wa...
1. "Uko wapi?" (The Tracking Syndrome)
Kisaikolojia: Mwanamke huuliza kwa usalama, lakini mwanaume husikia kama anafuatiliwa au haaminiki (distrust).
Ushauri: Badala yake, sema: "Natumai uko salama huko uliko, nakusubiri nyumbani." Hii inampa hamu ya kurudi.
2. "Nipike nini?" au "Tule nini...
Yaani mwenza anapost vitu ambavyo unaona kabisa kakulenga wewe kufuatia mkwaruzano uliojitokeza. Mimi nachukia hii tabia ambayo wanawake wanayo zaidi. Kupost status ni kuwapa faida watu wengine.
Mapenzi hayahitaji third party kabisa. Kuhusisha watu wengine kupitia watsapp status ni...
SINGLE MOTHERS WANAHAKI YA KUWASILIANA NA WAZAZI WENZA. KAMA HUTAKI UNGEOA ASIYE NA WATOTO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
1. Huyo mwanamke sio Wako peke yako. Hilo lifahamu. Sio wako peke yako kwa sababu ana mtoto na mwanaume mwingine.
2. Kabla yako alikuwepo mwanaume mwingine ambaye...
Kumbe kuna watu wanabaki ndoani kisa wanawadai wenza wao, yaani mtu kashaona hapa hapakaliki ila sababu aliwahi kumkopesha mwenza wake pesa anaona akimuacha na pesa itapotea hivyo anaendelea kubaki kusubiri mpaka alipwe ndio kama kuondoka aondoke.
Sikiliza mwenyewe
Bwana Yesu asifiwe watumishi wa Mungu, karibuni tena katika maombi maalum ya siku 21 kwa walio katika mahusiano kwa ajili ya kuombea mahusiano na uchumba.
Day 05
Bwana Yesu, naomba moto wako ukafunike mahusiano yetu na kuyalinda mbali na uharibifu. Yasivunjike bali yakapate kustawi na kufikia...
Hello waungwana, mko salama? Poleni kwa shughuli za kila siku, na heri ya mwaka mpya.
Siku hizi mjini kuna biashara nyingi sana. Kuna wakati hadi unajiuliza, je, wanaume wameacha kutongoza au vipi? Maana wanawake wengi kwa sasa wanatafuta waume, na wako tayari hata kugharamia kuunganishwa na...
Yani usirogwe umpe siri yoyote ile.kesho lazima utaisikia somewhere tu.
Nishamuonya na wakati mwingine kumzaba mabao lakini mtu habadiliki.
Na nyie mna wenza wambea kama huyu wangu?
Note: Umri wake ni miaka 27, but sidhani kama umri vinahusiana na mtu kuwa mbea.
Inatia ukakasi MTU ameshazeeka yupo 30s anakuja kutafuta pension sehemu ambayo hakuwahi kufanya kazi.
Utasikia Mara ohhh nataka awe mchaMungu , Mara awe mrefu mwenye kipato
Are you insane?
Wakuu kumekuwa na malalamiko mengi kati ya jinsia me na ke kwa kila jinsia kuishutumu jinsia nyingine kutochukua hatua za kutosha kwenye suala la usafi hali inayosababisha harufu kali/mbaya wakati wa tendo na ivyo kusababisha mahusiano yaishie ICU.
Nani wa alaumiwe kwa haya na nini kifanyike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.