waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stability

    JamiiForums Tanzania Hadi leo waafrika lukuki wanajiuliza kazi kubwa iliyokuwa inamfanya biggy kukutana na viongozi wa juu afrika ni ipi?

    jamaaa alikuwa muwekezaji kama dangote au alikuwa ni mtu wa tenda na supply za kimataifa?
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Waafrika wengi wamedumaa akili kwa sababu ya kuugua Malaria utotoni.

    Malaria imewahi kuwa na bado ni ugonjwa mbaya sana uliwowaathiri mamilioni ya watu hasa wakiwa watoto katika nchi zote za Africa Kusini mwa janga la Sahara(Sub-Saharan Africa) hasa na Tanzania ikiwepo. Athari mojawapo za ugonjwa wa malaria hasa kwa watoto wadogo ni kudumaa ubongo wao na...
  3. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Dhana Potofu ya Umri (makazini na jamii kwa ujumla)

    Katika jamii za wamatumbi tuishiyo, kuna hii dhana kuwa mtu akiwa mdogo kiumri basi hata executive function yake na akili zake haiwezi kufanya makubwa. Ila hii ni dhana mbaya sana, ambayo wamatumbi wengi wamekuwa nayo, hasa makazini. Ukienda kufanya kazi na ukawa mtu wa kutoa output ya kazi...
  4. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini waafrika tunaona unene ni fashion?

    Yaani mtu akiwa mwembamba bongo ataonekana hana hela, hana maisha mazuri.. Ila watu wa namna hii wanaonekana wamejipata, Ila kwa wenzetu hii inatafsiriwa kama obesity yaani ugonjwa wa nyama uzembe.. Kwa sababu ya eating disorders. Je ni misinformation ya namna nzuri ya ulaji walionayo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Lets be honest: Watanzania tunaposema elimu ni ufunguo kuna cha ziada nje ya kuitumia kuajiriwa kujenga maisha kwa Mishahara, poshio, Rushwa na dili ?

    wachina wameitumia elimu vizuri ni manufacturers, wahindi wameproove kuwa vizuri kwenye usimamizi wa biashara na ndio maana makampuni mengi sana duniani yana CEO muhindi, Wazungu na Wayahudi wameshabuni vingi sana tukianza kuvitaja hatumalizi. Lakini kwetu waafrica wengi hasa tukijizungumzia...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Waafrika turejeee kwenye matambiko yetu ndugu zangu. Tukio la mlinzi wa Morogoro kuua kwa risasi leo limenitafakarisha sana

    Taarifa inasema, marehemu alikuwa anatoka Dar kwenda Mwanza kwa gari lake binafsi. Alipofika Morogoro tayari ulikuwa umefika muda wa swala, so akapaki gari karibu na petrol station akaenda msikitini kuswali. Aliporejea akiwa ndani ya gari lake mlinzi akamfuata na kumtaka alipe sh elfu 15 kama...
  7. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Waafrika wameanza kuzipuuzia dini za Wazungu na Waarabu

    Jana niliona post, Mzungu aliuliza vijana wa Kenya kama wanamwamini Mungu. Vijana walimjibu kuwa hawamwamini Mungu ambaye anayekaa mbinguni, wala dini ya Ukristo wala uislamu bali wanamwamini Mungu aliye ndani yao ambaye ni wao wenyewe Nilidhani comments za Wakenya zitakemea hili suala ila...
  8. I

    JamiiForums Tanzania YA NEPAL, SAYANSI, MUNGU NA AKILI ZETU WAAFRIKA

    Hivi karibuni tumeshuhudia mafuriko ya Nepal yanayofahamika kama flash floods yalivyosomba makazi ya watu na kusababisha uharibifu wa mali, majumba, miundo mbinu na zaidi hasa maisha ya watu wengi kupotea. Katikati ya majanga haya, kuna jengo moja lilibaki likisimama peke yake, likistahimili...
  9. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Sisi waafrika ndiyo tuwe wapiga kura na siyo viongozi wetu watuamulie!?,au mwasemaje?

    What do you,thought?..labda maisha yatakuwa sawa na bora kwa kila mwafrika...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hivi wazungu na Waasia huwa wanatuchukuliaje sisi waafrika.

    1. Viongozi wakiafrika wanaiba Pesa kwao harafu wanaenda kuziweka kwenye mabenki ya ulaya na Marekani. Kichekesho nchi hizo hizo zinaenda kuomba mikopo huko.wanachofanya ni kutukopesha Pesa zetu zilizofichwa huko na viongozi wetu. 2. Rais wa inchi anaishi ulaya kwa kodi za wananchi wake nchini...
  11. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Nipe sababu ya msingi kuu ya kupinga kauli ya kuwa sisi waafrika nchi zetu sio "SHITHOLE COUNTRIES"

  12. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Waafrika tuliwafukuza wakoloni sasahivi watu wetu wanakimbilia nchi za Ulaya kutafuta maisha mazuri. Isn't that failure?

    Waafrika tuliwafukuza wakoloni, which was completely a right thing to do cause watu weusi na watu weupe hatuwezi kuchangamana. It failed in South Africa, na huko USA it's been hundreds of years na bado hadi leo wanahangaika to blend people together Shida inakuja, baada ya kuwafukuza tukafanya...
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Unafikiri kwa nini CCM haina ushawishi kwa members wengi humu JF?

    Hamjambo! Kwa mtu mgeni akiingia humu JF anaweza kufikiri Mtandao au forums hii niya wapinzani. Itisha polls zozote zile. Polls itakayohusisha CCM humu JF lazima ishindwe kwenye kura kwa kiwango cha kutosha. Juzi niliitisha Polls fulani hivi ya kishikaji. Kuona watu wanamaoni gani kuhusu...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Waafrika Kukabiliwa na Dhamana ya Hadi Dola 20,000 Kupata Visa ya Marekani

    Raia kutoka nchi 50, zikiwemo 30 za Afrika, watakabiliwa na amana za usalama za hadi dola 20,000 za Marekani wakati wa kuomba visa fulani za biashara na utalii chini ya programu ya kudumu ya dhamana ya visa iliyotangazwa na Marekani. Maafisa wanasema hatua hiyo inalenga kudhibiti watu wanaokaa...
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Waafrika hawawapi jina la Yesu watoto wao?

    Kwa nini Waafrika Wakristo wanaogopa kuwapa jina la Yesu watoto wao wa kiume? Ulaya, Marekani Kusini na Kaskazini watoto wanapewa Jina la Yesu, Waarabu na Waislamu wanawapa watoto jina la Issa, Waafrika Wagalatia tu ndio wanaogopa kuwapa hili jina watoto wao !
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kuna ujinga uko ndani ya Waafrika juu dini za kuja hadi inakera

    Habarini, Hata hili la muombaji kusoma biblia kwa kutumia miwani kwaajili ya kumponya mjongwa wa macho/kipofu hamulioni?
  17. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Wamatumbi: Amkeni Kutoka Matrix!

    Enyi wamatumbi acheni kuwa kama nguruwe. Acheni kuruka ruka kama nyani mkichekana nyuma zenu. Acheni kupoteza potential zenu mkifanya jambo lile lile kwa miaka 50. Hamkuumbiwa kufanya kazi kama mashine. Hamkuumbiwa dharau na u fukara wa kupewa matusi na dhihaka kutoka kwa binadamu wenzenu...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Mungu anatumiaje pesa wanazompa Waafrika makanisani na misikitini?

    Habarini, Viongozi wa Dini wanatunzwa na washiriki maskini wa kanisa na misikiti kwa kuambiwa watarajie muujiza ndani ya wiki! Viongozi wa dini nndiyo wanatumia pesa alizopewa Mungu na waafrika kwaajili ya kununulia majumba na magaari ya kifahari,kuishi maisha mazuri,kununnua kondom,nk...
  19. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Je, kuna ukweli kuwa waafrika weusi tumelaaniwa? (World cup rant)

    Kwa kinacho tokea world cup kuna namna kama huo msemo una coleration flani na reality Angalia, jinsi timu zinavyo hustle, zinakamia mwanzoni then baadae ni kama wanaingiwa pepo uzembe, wanaanza kuacha myanya, wanaanza kufanya makosa ya usahihi wa pasi.. Mpaka unajiuliza mbona kama ngozi...
  20. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Video: Waafrika tuna nguvu aise khaa !!, Hivi ilikuwaje wazungu wakatutawala.

    kuna mwamba anawashangaza watu huko ticktock kwa jinsi anavyo onyesha nguvu asili (raw power) aise ilikuaje Wazungu wakatutawala !! Link hiyo hapo chini: https://vt.tiktok.com/ZSQEfpWHf/ Nakiri kukubali nadharia kua hata Samson alikua mwafrika mwenzetu
Back
Top Bottom