Waafrika wengi siyo attractive, sababu hatuchagui wenza!

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,412
8,913
Ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi.

Chagua mke au mume wa kuanzisha naye maisha na familia na moja kati ya vigezo viwe attractiveness pia utapata mzao attractive, huwa nashangaa mpaka leo hii utakuta kijana anaoa mwanamke siyo attractive kabisa huwa najiuliza kwa nini lakini?
 
ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi.

chagua mke au mume wa kuanzisha naye maisha na familia na moja kati ya vigezo viwe attractiveness pia utapata mzao attractive, huwa nashangaa mpaka leo hii utakuta kijana anaoa mwanamke nit attractive kabisa huwa najiuliza kwa nini lakini ?
Duh hivi mimi labda ndio naona vibaya waafrica sio attractive kina nani hao walio attractive zaidi sasa yaani wasomali, Rwandan, Ethiopian south african tanzanian sio attractive wewe unaumwa..!
 
ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi.

chagua mke au mume wa kuanzisha naye maisha na familia na moja kati ya vigezo viwe attractiveness pia utapata mzao attractive, huwa nashangaa mpaka leo hii utakuta kijana anaoa mwanamke nit attractive kabisa huwa najiuliza kwa nini lakini ?
Hoja ya Kibaguzi na kujitoa Thamani..
Hakuna Mtu asiye atractive..

Nikuulize Who set the atraction SI Unit (Nani aliweka Vigezo vya Mvuto) kwamba Mtu akiwa hivi ndio ana mvuto..

Jifunze kujithamini na kujiamini, Kingine Jikubali, usidanganywe na watu kwa matamanio yao ya kingono Wanafikiri watu fulani ni Bora kuliko wengine..
Oa/olewa na mtu unayeona anafaa kwako kulingana. Na Sifa zako usipangiwe na mtu sifa za kuoa kwa sababu huendi kuishi na watu waliopanga unaenda kuishi na mtu wako..
 
Akili za mwafrika, anawaza, shape, sasa shape na sura inakusaidia nini? samsung inatoka Korea, umeona sura zao? Toyota inatoka Japan, umeona sura zao? Vietel/halotel iliyoajiri ndugu zako, inatoka Vietnam, umeona sura zao?
Hapo ulipo kuanzia chupi, mpaka nguo,na asilimia 99%ya, vitu ulivyonavyo ndani inatoka nje!
Wewe unachijari ni sura na muonekano? ;
Ujinga ni janga kubwa sana
 
ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi.

chagua mke au mume wa kuanzisha naye maisha na familia na moja kati ya vigezo viwe attractiveness pia utapata mzao attractive, huwa nashangaa mpaka leo hii utakuta kijana anaoa mwanamke nit attractive kabisa huwa najiuliza kwa nini lakini ?
uzuri wa mwanamke sio urembo ni tabia, Full stop 🐒
 
attractive kwako si attractive kwangu
 
Hoja ya Kibaguzi na kujitoa Thamani..
Hakuna Mtu asiye atractive..

Nikuulize Who set the atraction SI Unit (Nani aliweka Vigezo vya Mvuto) kwamba Mtu akiwa hivi ndio ana mvuto..

Jifunze kujithamini na kujiamini, Kingine Jikubali, usidanganywe na watu kwa matamanio yao ya kingono Wanafikiri watu fulani ni Bora kuliko wengine..
Oa/olewa na mtu unayeona anafaa kwako kulingana. Na Sifa zako usipangiwe na mtu sifa za kuoa kwa sababu huendi kuishi na watu waliopanga unaenda kuishi na mtu wako..
unakunywaga soda nikununulie😊
 
Kweli kabisa, kati ya watu makini katika kuchagua mwenza ni Slavics na waarabu kwa mbali kidogo. Hawa watu hutumia vigezo vingi tu kabla ya kuchagua wenza na inapotokea vigezo kutimia utakuta mji mzima au nchi kama imejaa mahandsome na mabeauty queens kibao.
Huku kwetu wanachagua wowowo au mfuko wako tu.
 
Aaaaah wapi hakuna mtu anayetaka kukaa na kitu kisichoeleweka
utang'ang'ana kutafuta had mvi zikutoke 🐒

uzuri unatengenezwa bana,
usione wanapendeza tu huko mtaani, kuna nguvu ya ziada nyuma ya huo urembo 🐒

hata awe srepa namna gani unaweza mrekebisha kwa kumtimizia tu mahitaji akawa kama malaika 🐒

unafaaa mchezo nni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom