Mambo ya kuepuka kama baba wa familia
Siku moja tukiwa kazini tunaendelea na majukumu, nikapokea simu ya rafiki yangu akiomba ruhusa kwa bosi ya kutokufika ofisini kutokana na changamoto za kiafaya, mie nikatimiza wajibu wangu na nikawa naendelea na ratiba zangu, nikiwa naenedelea na kazi zangu...
★Wanawake watakiwa kuachana na dhana potofu kuwa ardhi ni mali ya wanaume
Serikali imewasisitiza wanandoa kumiliki ardhi kwa pamoja ili kuepuka na kupunguza migogoro ya umiliki wa ardhi na mirathi isiyo ya lazima ambayo inaweza kujitokeza baada ya mmoja wa wanandoa kufariki.
Akizungumza kwenye...
Wengi huangalia bei ya gari na kusahau gharama zinazoweza kuja baada ya kulinunua.
Unaponunua gari, ni muhimu kutenga bajeti ya ziada (Buffer Amount) kwa ajili ya kuboresha au kubadilisha baadhi ya vitu muhimu kama Tairi, Rim na Interior.
Tairi na Rim
Kwa hali ya barabara zetu zilizojaa...
Lazima tukubali ukweli kwamba Waswahili na Wabantu hatuna historia kubwa kuu ya kale kihivyo na kwa hiyo hatuna mengi ya kujifunza, kuchangamsha na kuimarisha misuli ya bongo zetu kutoka kwenye historia yetu na tamaduni zetu wenyewe na kati yetu.
Kwa hiyo kwa kiasi kikubwa tunahitaji...
Salamu zenu, wenzangu.
Ninauliza swali: Ni njia gani bora ya kupata vifaa vya ujenzi kama mitambo ya kuchimba na mitambo ya kupakia kutoka China bila kuingia kwenye udanganyifu?
Kuna kituo cha biashara cha kimataifa cha mitambo ya ujenzi nchini China ambacho kinalenga kurahisisha mchakato wa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewaasa viongozi katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kuepuka migogoro miongoni mwao na baina yao na watumishi wanaowaongoza, akisisitiza kuwa migogoro mahali...
Habari zenu wakuu,
Uwekezaji kwenye hisa au hatifungani (bonds) unaweza kuwa njia nzuri ya kujenga utajiri kwa muda mrefu. Lakini kama ilivyo kwenye uwekezaji mwingine, unaweza kupoteza fedha si kwa sababu uwekezaji ni mbaya, bali kwa sababu ya maamuzi mabaya ya mwekezaji mwenyewe.
Katika mada...
Unapo jisaidia haja kubwa hakikisha unafanya haya ili kuepusha bawasiri ya kujitakia.
1. Hakikisha ukifika chooni unachuchumaa na kutulia subiri haja itoke yenyewe.
.yaan epuka kuisukuma haja yako kwa kujikamua kwa njia yeyote ile. Lakufanya una chuchumaa tu tulia ukikaa sana huja yenyewe...
Nitaeleza leo
umuhimu wa kununua mchanga kwa gari kubwa kama unaproject kubwa ya ujenzi
UMUHIMU WA KUNUNUA MCHANGA KWA GARI KUBWA UKIWA NA PROJECT KUBWA
1. Unaokoa pesa nyingi
FAW/Mende trip 1 = TZS 350,000 inaleta 18 cubic metre
Canter kuleta 18 cubic metre = trip 6 × 60,000 = TZS 360,000...
Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un amewapongeza wanajeshi wa wa nchi hiyo waliojitoa uhai kwa kujilipua wakati wakiipigania Urusi dhidi ya Ukraine, na kuthibitisha sera inayoshukiwa kwa muda mrefu kwenye uwanja wa vita.
Katika hotuba yake wiki hii, kiongozi huyo wa Korea Kaskazini alisema wale...
Kwakweli kuwa mnafiki mi siitaji kamwe
Lakini nifenyeje jaman Mimi siitaji kuwa mnafiki Mimi siwezi waombea watu walio jiweka madarakani kwa kuuwa watu 518 please please padri padri Baba yangu Paroko wa ushirika wa karanga mm.ukiwataja tuwaombee Mimi ntakuwa nawatukana Sasa tatizo ni kutukania...
Kuna hili suala nafikiria mara mbilimbili.
Mwanaume aliyelea watoto na kuwasomesha halafu mwisho wa siku anakuja kugundua watoto hao sio wake, kumbe mke alisha cheat tangu zamani, sipati picha atajisikiaje. Kivyovyote vile hiyo feeling itakuwa ni mbaya kuliko hata kuumwa
Now, huwezi kulaumu...
Let's be short and clear...
Kama kijana, unawezaje kukabiliana na wimbi kubwa la ushawishi wa wanawake wa Rika zote eneo lako la kazi, hasa ukiwa mgeni kazini?
Unawezaje kuepuka bila kuvunja heshima na uhusiano wa kikazi?
Nipeni mawazo yenu, nipo njia panda mzigo huu umenielemea.
Waziri wa vijana elewa kitu kitu kimoja SI kwamba serikali haitoi fedha kwenye HALIMASHAURI la hasha,
Ilikuwa inatoa tuliisha kwambia fedha hizo zililiwa na mchana uvccm na wake na ndugu wa madiwani
Sasa wewe ni waziri wa vijana wote weka utaratibu mzuri wa kuwasajili vijana platform kila mkoa...
Nimefuga kwa miaka kadhaa ,kwa mtu ambaye anataka kuanza serious ufugaji wa kuku 2026 ,ningemshauri azingatie haya
Habari ya mwaka mpya wafugaji wenzangu,
Kila mwaka kuna watu wengi wanaanza ufugaji wa kuku kwa matumaini makubwa, lakini wengi wao wanakata tamaa njiani kutokana na hasara ambazo...
Wafanya biashara wengi hupigwa fines wasizozitegemea na wanajikuta na mrundikano wa madeni makubwa yanayo waelemea kila uchwao.
SAbabu kuu zinazofanya wafanya biashara wanapigwa fines ni kutokuzijua compliances wanazotakiwa kuzifanya kila mwezi na kila mwaka.
Nimekuandalia E-book inayoitwa...
Mkurugenzi wa shirika la afya duniani ( WHO) ukanda wa Africa, Professor Janabi
Amesisitiza wananchi kuepuka pilau na nyama Kwakuwa ni Milo yenye madhara kiafya
Pia ameshauri watu kuacha kutumia soda na beer 🍺 siku hiyo
Badala yake ameshauri watu wale matunda, mboga za Majani na maji mengi
Kabla ya Ndoa, haya ni mambo muhimu sana mnayopaswa kuyazungumza ili kuepuka maumivu na kuvunjika moyo baadaye:
1. Fedha - Tutazisimamiaje? Pamoja au kila mmoja kivyake?
Nani ataweka akiba, nani atatumia, na tufanye nini mambo yakibana?
2. Watoto - Je, tunataka watoto?
Wangapi? Na ni maadili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.